mungu

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mama, Mwenyezi Mungu akutangulie katika kila jambo.

  2. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana. Aliweka wazi kuwa Bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa

    Mh CAG Assad Mungu ampe maisha marefu sana,aliweka wazi kuwa bunge ni dhaifu halafu kuna watu wakaja juu na kumuondoa. Ule udhaifu aliousema ni huu uliotufikisha hapa leo. KATIBA imeweka wazi kazi ya bunge ni KUSIMAMIA na KUISHAURI serikali. Hii kazi ya KUSIFU tu wameitoa wapi? Tulijiuliza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

    Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi, Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mungu anaifahamu vema katiba Yetu; alimtwaa JPM huku akijua VP ndiye atakuwa Rais wetu. Watanzania tupokee hii zawadi kwa mikono miwili

    Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu. Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  6. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia "Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu ugongewe mkeo ili akili ikue"

    Haiwezekani mtu kila nikiongea nae jambo lolote la maendeleo jibu lake ngoja nimshirikishe wife Mwaka juzi tulipanga mambo flani ya kujikwamua kiumchumi mchongo flani ukitulia hukosi hela za kutambia akanijibu ngoja aongee na mke wake jibu lilikoja eti wife kamkatalia Mwaka jana yakajirudia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

    Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache. Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao. Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta. Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Rais Samia Suluhu aendelee mpaka 2030

    Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Nape Moses Nnauye akihojiwa na Mwananchi amependekeza kwamba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2030. ----- Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameanza vizuri kwa kutoa maagizo...
  9. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Ya Mpango ni Ishara Mungu anakuonesha Mh. Rais

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa...
  10. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Tusidharau kauli yote tunamwachia Mungu

    Watu waliwadhihaki sana waliokuwa wanaonewa kwa kusema YOTE TUNAMWACHIA MUNGU. Nakuwatukana eti watanzania ni wajinga na kamwe hawatakombolewa kwa kusema yote tunamwachia Mungu. Vilio vingi sana vilisikika watu walipobomolewa nyumba zao na kusema YOTE TUNAMWACHIA MUNGU. Waliobambikiziwa kesi...
  11. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mungu aliyeumba Milkway(kilimia) galaxy na ulimwengu kwa ujumla ni mkuu sana

    Mfumo wetu wa jua na sayari zake vimo ndani ya galaxy inayoitwa milky way(kilimia). Galaxy ya kilimia ina umbo kama sahani iliyogawanyika kwenye mikia (arms)mbalimbali. Sahani hiyo ina upana wa 150,000 hadi 200,000 light years(miaka ya mwanga). Hapa maana yake kutoka mwisho mmoja wa sahani...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Maaskofu chonde; hubirini habari njema za ufalme wa Mungu na sio ufalme wa dunia hii

    Maaskofu, Yesu alihubiri habari za ufalme usio onekana, ufalme wa milele. Yesu hakuhubiri habari za ufalme wa dunia hii unao onekana kwa macho. Kama mkifanya hivyo mnaifanya injili ionekane kama ni nyepesi sana. Acheni kuhubiri injili za siasa, hizo injili za siasa acheni kuzihubiri. Hubirini...
  13. Regent

    JamiiForums Tanzania Dua: Mungu ifanye siku yangu ya leo iwe ya nzuri na furaha

    Ewe Mungu uliye Mkuu, Mungu wa mbingu na ardhi ifanye siku yangu ya leo iwe siku ya furaha, Mungu uliye mwingi wa rehema tunayekuabudu rehema zisizo na kifani na zisizo Kwisha.....Nineemeshe na kunibariki. Amin
  14. Woga tupa kulee

    JamiiForums Tanzania Hakika Mungu yupo na Watanzania. Ogopa Sana nchi ambayo watu wake si wepesi wa kuingia mtaani

    Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu. Ukifanya hivyo, wananchi wa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni dhamana nzito kwa mwenye hofu ya Mungu

    Uongozi sio kitu cha kukimbilia wala kukihangaikia. Kwa mtu yeyote yule mwenye hofu na Imani kwa Mungu huwa hana tabia ya kukimbilia au kuhangaika kutafuta vyeo kwa sababu anajua kuwa cheo ni dhamana kubwa sio tu kwa Binaadamu mwezako bali Kubwa zaidi kwa Mungu. Hupaswi kufarahia sana unapo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bashiru alimkosea Mungu alipoteuliwa akakubali uteuzi, wanaoendelea kumteua wanamfanya azidi kutenda dhambi

    Kitendo Cha msomi na mdogo wangu Bashiru kukubali uteuzi wa KMK nikitendo chakumdhiaki Mungu lakini ni ishara ya kiongozi asiyefaa kupewa madaraka makubwa Wala madago kwani aamini na atendi kinachotoka moyoni mwake. Huyu ndugu yetu ametioka mbali na hii tabia, msimamo wake wakati wa katiba...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

    Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana. Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu shujaa anayelindwa na Mungu, silaha za kibinadamu hazikuweza kutoa uhai wake

    Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria. Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tumemuomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na Shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu

    Bado tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Tumemwomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu. Hakika Mungu amesikia kila kona ya dunia ikiomboleza. Ngoja tusubiri, majibu ya Bwana
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

    Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
Back
Top Bottom