mungu

  1. M

    Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
  2. Namuomba Mungu Yanga wafungwe,tuone kama watajitoa

    Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone huu upuuzi wanaoongea viongozi wa Yanga. Timu ya maana hawana wanalilia kombe?
  3. M

    Rais Magufuli anahoji; Je, ninyi hamuamini kuwa yupo Mungu?

    Mhe. Rais naona ameumaliza mzizi wa fitina leo katika mazishi ya Balozi Kijazi na kusema kuwa magonjwa yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo, na sisi si pekee ndiyo tunaotaabika na matatizo haya ya magonjwa ya milipuko hata nchi zingine wamekufa wengi sana. Na tatizo linapokuwa kubwa kuzidi...
  4. M

    Tusipoteze dira kwenye janga la Corona: Tulianza na Mungu, tuendelee na Mungu

    Watanzania wenzangu, nawasalimu katika jina lipitalo majina yote Jina la Yesu. Chini ya rais wetu Magufuli tuliianza Vita dhidi ya Corona vizuri Sana kwa kumtanguliza Mungu. Tulielekezwa kutubu na kuomba rehema za Mungu ili aliponye Taifa letu dhidi ya janga la corona. Tuliomba kwa kufunga siku...
  5. Shetani pia hukiri akishuhudia ukuu wa Mungu

    GTs, Hakika Mungu alituepusha na Korona 19 kipindi kile mataifa mengine yanazika wafu wao kwa mamia kama si kwa maelfu. Hakika Mungu aliiponya Tanzania baada ya Kiongozi wetu wa nchi kujinyenyekeza mbele za Mungu. Hakika shetani hukiri matendo makuu ya Mungu. Kila anayebeza pale ambapo...
  6. M

    Mungu akulipe kheri nyingi Mwanadada Maria Sarungi

    Mwanadada Maria, umeendelea kwa juhudi kubwa kuutahadharisha umma uchukue tahadhari juu ya ugonjwa wa Korona. Tangu miezi kadhaa nyuma ambapo serikali ya awamu ya tano ilikuwa ikiutangazia ulimwengu kuwa nchini hakuna Korona, hukuchoka kuutahadharisha umma ujikinge maana kiukweli Korona nchini...
  7. Baba Askofu Munga: Je, Askofu Mwamakula ni mfia imani na shujaa?

    Na baba Askofu Stephen Munga JE, ASKOFU MWAMAKULA NI MFIA IMANI NA SHUJAA?! Kwa muda sasa tulikuwa tukimsikia Baba Askofu Emmaus Mwamakula akiandaa matembezi ya hiari kwa ajili ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Haya ni matakwa ya watu wengi kulingana na maoni yaliyomo katika...
  8. Viongozi wa dini msipende kusikiliza makutano, mkisikiliza makutano mtaishia kumsulubisha Yesu kama Ponsio Pilato alivyofanya. Msikilizeni Mungu

    Baadhi ya viongozi wa dini wameanza kujitumbukiza kwenye kusikiliza makutano wanasema nini yaani watu wengi wanasema nini ili kutafuta sifa kwa makutano.Hii kitu imepelekea wao kutelekeza wito wa Mungu walioitiwa kwenye kazi zao za kichungaji na kiaskofu nk Ponsio Pilato alikuwa msomi na...
  9. Rafiki yangu alitaka Tufe, Dereva wa Lorry akakubaliana naye, Mungu akamtumia Dereva mwingine Kutuokoa

    Mwaka jana Oktoba ni mwaka ambao kumbukumbu yake inanijia sana. Leo nimekumbuka zaidi baada ya kuonana ma Dereva mmoja anaitwa Richard. Siku hiyo nilikuwa na gari yangu kubwa ni ya Diesel Manual ina Speed 240. Tumetoka Dar na jamaa yangu tunaelekea Dom. Huku kote nlikuwa naendesha mimi mpaka...
  10. TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  11. K

    TANZIA JWTZ: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia

    BRIGEDIA JENERALI MBENA AFARIKI DUNI JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limesema Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena amefariki dunia. Taarifa ya Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Juma Nkangaa Issa Sipe jana kwa vyombo vya habari ilieleza jana kuwa Mkuu wa...
  12. Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

    Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo. Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo Msimbazi tuanze kujipanga...
  13. Eeeh Mungu wangu, Hapa nilipofika...

    Mungu niokoe, maji yamenizidi. Yamefika mpaka nafsini mwangu. Nimezama Baba katika matope Yasiyowezekana kusimama. Ewe Mungu angalia wanaokungojea, wasiaibishwe, kwa ajili yangu Ewe Bwana wa Majeshi. Wanaokutafuta, wasiaibishwe kwa ajili yangu Ewe Bwana wa Majeshi. Nimefika mpaka maji ya...
  14. Msimamo wa Rais Dkt Magufuli dhidi ya ugonjwa wa Corona ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa Afrika

    MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa kiimani. Hivyo kwa wasomaji wangu ili uweze kunielewa juu ya makala hii utahitaji utulivu mkubwa wa...
  15. Tutashinda Corona kwa Maombi? Hatua za kufuata...

    Modes naomba miufute huu uzi wala kuunganisha kama itawapendeza Imani zetu zinamtaja MUNGU kama wa pekee, asiyebadilika wala kufafanishwa. Mungu alivyotuumba alitupa utashi ambao ndio kitu pengine cha kipekee kinachotutofautisha na wanyama na viumbe wengine. Ukisoma Biblia Takatifu, 2 Wafalme...
  16. Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kufanya kazi ya Mungu

    Viongozi wa makanisa ya kipentecoste hamishieni vyuo vya Biblia porini vijijini hivi vya mijini wakimaliza hawarudi vijijini kwao kufanya kazi ya Mungu wanabaki mijini Pia wapeni masharti wanafunzi wapya kuwa hawatapewa uchungaji hadi wafungue matawi vijijini wachunge si chini ya miaka mitatu...
  17. Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu? Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
  18. Anubi: Mungu wa mauti na vifo

    Wasaalaam, Anubis ni mungu wa Misri Huyu alikuwa mungu wa utunzaji wa maiti na maisha ya baadaye na pia mungu wa walinzi wa roho zilizopotea na wanyonge. Yeye ni mmoja wa miungu ya zamani zaidi ya Misri, ambaye inaelezwa ana uwezekano mkubwa alikua kutoka kwa mungu wa mbwa mwitu wa zamani...
  19. Wiki mbili zilizopita nilipatwa na mafua makali na homa, ila mafua ya safari hii hayakuwa ya kawaida kama ilivyozoeleka

    Wadau, Kama wiki mbili zilizopitwa nilipatwa na mafua makali na homa, nikadhani ni hali ya kawaida nikimeza Coldril nitakuwa poa kama ilivyo ada yangu ikizingatiwa nina allergy na suala la mafua na kupiga chafya ni hali inayotokea mara kwa mara. Lakini la kushangaza mafua ya safari hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…