Wiki mbili zilizopita nilipatwa na mafua makali na homa, ila mafua ya safari hii hayakuwa ya kawaida kama ilivyozoeleka

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,926
2,778
Wadau,

Kama wiki mbili zilizopitwa nilipatwa na mafua makali na homa, nikadhani ni hali ya kawaida nikimeza Coldril nitakuwa poa kama ilivyo ada yangu ikizingatiwa nina allergy na suala la mafua na kupiga chafya ni hali inayotokea mara kwa mara.

Lakini la kushangaza mafua ya safari hii hayakuwa ya kawaida kama ilivyozoeleka, yalinipiga knockout moja matata nikaliaona kaburi hili hapa.

Kama siyo kudra za Mwenyezi Mungu na mimi nisingekuwepo leo. Poleni wote mnaopitia changamoto
 
Mkuu epuka sana vyakula vya mafuta, mm mwenyewe ninayo allergy naweza kusema kuliko hio, mm napiga chafya sana especially nikiamka asubuhi, nilipanza kuepuka vyakula vya mafuta ikawa afadhali sana
 
Mimi nikiumwa mafua haizidi siku 3 nakuwa nimepona ila awamu hii nimekaa na mafua mpaka week 2 mixer hadi natetemeka mi nahisi PHYSIC ya muafrika MUNGU anailinda kwa namna yake yaani.
 
Back
Top Bottom