Bado nawashangaa sana watu waliokuwa wanaibeza Royal Tour na kusema kwamba Rais Samia Suluhu anapoteza muda bora katiba.
Mimi nafikiri sasa watanzania tunapaswa kutambua kuna vitu vya muhimu zaidi kuliko katiba, hivi royal tour ingefanyika saa ngapi kama mama angeanza na katiba?
Hivi mnahisi...
Watu naona wanakimbilia kusema Manara aliruhiana maneno na karia lakini wanasau hilo neno "kurushiana" ni kitenzi cha kutendana maana nae karia alikuwa akirusha maneno.
Wengi tunafahamu Karia ni Simba dam dam na mafanikio ya Yanga kwake yamekuwa ni sawa na kisu kilichomgonga mfupa. siku ya jana...
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi.
====
RAIS, Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja...
Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa?
Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna...
Wewe endelea hivyo hivyo kumchukulia poa Maguire.
Kwa taarifa yako, kibiashara Maguire ndio mchezaji muhimu kuliko wote pale Man U ndio maana haachwi wala hawekwi benki.
Kwanini ? Uwepo wa Maguire kikosini umeongeza maradufu mapato ya Man U kwa sababu sasa hivi mabilioni ya watu duniani...
Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Jumatano 22 Juni 2022 Makao Makuu ya CCM katika Ukumbi wa White House Jijini Dodoma kimetoka na maazimio yafuatayo kwa masilahi ya taifa.
1...
IRANIAN ARMY OFFICE / AFPAn Iranian missile being fired during the last day of the air defense exercise of 'Aseman Velayat 99', in an unidentified location in Iran on October 22, 2020.
The attack was allegedly launched from inside Iran
Overnight Friday, a drone reportedly struck a ballistic...
Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961...
Mimi ni mdau mkubwa wa kusevu taarifa mbalimbali kwenye account yangu ya google.
Ninahofia sana kipindi nikipoteza simu, watu watakua na uwezo wa kuona taarifa mbalimbali nilizosevu kwenye akaunti ya google ikiwemo mpaka password za kuingia kwenye mitandao mbalimbali.
Hivi je kuna usalama...
Kaka yangu Mwigulu L Nchemba (Phd).
Hoja hizi hapa chini, ni baada ya kuongea na wewe (siku x) baada ya kusoma bajeti.
Hongera sana kwa kuwasilisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023. Ukweli umejitahidi sana kuanzisha vyanzo vipya vya mapato na ninaona lengo lako ni viewable...
Assalam mwana MMU, pole na majukumu ya kimaisha.
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2015 baada ya kuhitimu elimu nilanza harakati zangu kitaa, nilitoka mkoa niliokulia na kuja kanda ya ziwa Mwanza.
Maisha ya kuwa mwenyewe, sijaoa, nikajikuta nakula kwa mama mmoja alikua na sehemu ya...
Ndugu Watanzania wenzangu, wakati tuko busy kama taifa na shughuli za kujiletea maendeleo katika nyanja mbalimbali, alama ya taa nyekundu ilishawaka kwenye familia, jamii na taifa letu.
Kwa kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa vijana kuingia kwenye uasherati wa kinyume na maumbile ni bomu na janga...
Choo ni moja kati ya sehemu muhimu katika makazi yoyote ya watu iwe nyumbani, Ofisini, sehemu ya biashara na maeneo mengine. Choo huweza kutumika kibinafsi (privately) au kijumuiya (Publicly) kutegemeana na eneo husika.
Choo kinapotumika kibinafsi shida na changamoto inakuwa sio kubwa...
Hi!
Hapa Dar kazi nzuri sekta binafsi, NGO's, serikalini zipo za kutosha ila kama huna Connection utaishia kushobokea kazi za kutembeza vyombo vya promotions zinazotangazwa kwenye nguzo za umeme. Wanalipamba tangazo vizuri ukienda ofisini kwao unakutana na mabeseni.
Fursa za scholarship nchi...
Kazi\ajira ni sehemu muhimu ya maisha ya watu. Ina maana kubwa zaidi ya malipo anayopata mtu. Inamaanisha kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi binafsi kuhusu jinsi anavyotaka kuishi maisha yake.
Hata hivyo, wapo ambao wanakabiliwa na ukosefu wa kazi/ajira za kuwawezesha kiuchumi hivyo kuathiri kwa...
Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika.
Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
Asalam wana jamii! poleni na majukumu ya hapa na pale!
.
Niende moja kwa moja kwenye hoja!
.
.
Ukisoma nyuzi nyingi za hapa jamii forum zinawaongelea vibaya sana wanawake ambao wameajiriwa na kuwa wake za watu!
.
Ushauri wangu ni kutaka kupata kutoka kwenu mnaongeleaje hili swala, je ni sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.