Siku hizi tumechoka kusafiri tena 'Majuu' au wenyeji wetu wapo 'busy' na wanaona tunawaharibia tu Ratiba zao Muhimu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,553
108,891
GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo Historia hii ya Lifti niliyonayo.

au sijui ili kubadilisha Mazingira na nisishtukiwe nimechokwa na Wenyeji wangu huko Majuu nianze sasa Kukomaa na nchi za hapa hapa Afrika nikianza na Afrika Kusini kisha Zimbabwe nikazuru pia na Kaburi la Kamarada (Comrade) Mugabe au kwanza nirejee tu Kijinini Uzanakini Kwetu Mkoani Mara (Musoma) ili nikaongee na Machifu pamoja na Mizimu iniambie mbona sasa Mambo hayaendi kama nilivyotegemea?
 
subiri sensa kwanza ipite,usijekosa namba wakati wewe ni namba moja.
 
Vya kutembeza hatunavyo tena.Tumesha"bet" vyote.

(Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza)
 
Kuna wajuba nimewapiga na kitu kizito wasije kuzusha nyongeza zao nimezitumia kwenye nauli.
 
Back
Top Bottom