muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mimba ikiharibika, kutolewa au kutoka yenyewe mwanamke anatakiwa kupatiwa cPAC haraka, ni muhimu

    Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria. Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tunao Hoji Mambo Muhimu Kwenye Muungano Tunaambiwa Tuna Chokochoko?

    Siku moja nilibahatika kukutana na waziri fulani (jina kapuni). Nikamuuliza kwanini Wazanzibari wanachukua ardhi yetu hapa bara wakati Wabara hatuna haki ya kupata ardhi Zanzibar? Akanipa jibu hili "Kijana Acha CHOKOCHOKO" alinikera sana, walio kuwepo watakumbuka. Mzee mwingine wa kanda ya...
  3. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu unapokuwa mbali na Mwenza wako

    Kwa Usalama wa wewe na Mpenzi wako hasa unapokuwa umemuacha nyumbani peke yake au hata familia na wewe upo mbali nae,Kuna maswali ya mara kwa mara mnapaswa kuulizana ili kila mtu kujua Usalama wa mwenza wake huko Alipo; 1. Upo wapi Mpenzi-Hili swali wachepukaji hawalipendi sana, bila kujua ni...
  4. Kuwite94

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu unayotakiwa kujiambia kila siku maishani

    Formula za maisha unazotakiwa kujiambia! -Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu -Naepuka hasira kwa gharama yoyote -Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka -Sijiwekei matarajio makubwa -Sina marafiki (Nina watu wakaribu) -Sikai na chuki dhidi ya mtu -Kwangu pesa ni baada ya utu.
  5. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  6. the hunterer

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa muhimu

    Medical dispenser ama nurse mwenye ADDO anahitajika kuuza duka la dawa maeneo ya Lushoto, Tanga. Inbox kwa maelezo zaidi.
  7. L

    JamiiForums Tanzania John Demujacor: Demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi

    Bw. John Demuyakor, mwanahabari wa Ghana anayesoma shahada ya uzamivu katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China hivi karibuni alisema, "demokrasia ni muhimu, lakini uongozi wa chama ni muhimu zaidi, na mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China CPC katika suala hili yanapaswa kuigwa na vyama...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kinana asema ziara ya Rais Samia Marekani ni muhimu kwa uchumi

    KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo. Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
  10. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Watanzania nchini Marekani wakati wa ziara ya Rais Samia; Je, suala la Katiba Mpya ni muhimu kwa Taifa letu la Tanzania!?

    MAANDAMANO YA WATANZANIA NCHINI MAREKANI;JE SUALA LA KATIBA MPYA NI MUHIMU KWA TAIFA LETU LA TANZANIA!? Leo 12:15pm 24/04/2022 Leo tumeamka na video,picha za maandamano ya Watanzania diaspora,katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,wakiwakilisha madai mbalimbali ikiwemo ya mabadiliko ya...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mwai Kibaki: Ni muhimu kuhudhuria!

    MwanJumui wa Africa Rais Mstaafu Mwai Kibaki tutakukumbuka daima. Hasa Thika Super highway na elimu bila malipo.
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kumbe nguvu hizi zaweza kuwa muhimu kupata kipato nikasema naanzisha kundi nalipisha 200 tu kwa Mwezi

    Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi! Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano Wajua Kwamba Tuna watu wanakula mshahara wa usaidizi wa mabalozi kila Mwezi 5000€ bila kujulikana popote? Wajua kuna wakuu wa vyama Vya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

    Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji mhimu wa Mariupol. Umuhimu wa tukio hili ni kuwa hii inawakilisha kushindwa wa wanazi mamboleo wenye itikadi kali. Wanazi hawa waliokuwa wanaulinda mji huo ndio walikuwa lengo la Putin la "denazification". Kwa hiyo lengo hilo linakuwa limetimia. Lakini...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya muhimu katika Drafti; "Ukitaka Kula nyingi nawe lazima ukubali kuliwa" ndio inayotumika sasa?

    Kwema Wakuu! Niliwahi kumsikia Mzee wetu, Rais Mstaafu Jakaya mrisho Kikwete akisema; ukikata Kula sharti nawe uliwe. Naweza kuwa sijanukuu Kama ilivyo lakini ujumbe ulikuwa na maana Sawa na huo. Taikon ni moja ya wacheza Drafti mahiri Sana katika mchezo huo. Mabingwa wa Drafti wanajua kanuni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tulitegemea uzinduzi wa Royal Tour uwe mubashara kwenye TV kubwa kubwa

    Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi...
  17. mama D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huwezi pata mwanaume anayekupa mahitaji yote muhimu; na mwanaume huyohuyo aweze kula bata, kujiselfisha na kujipostisha na wewe kila wakati

    Heshma kubwa na shukrani nyingi kwa wanaume wote wanaotutunza na kutupatia kila kitu kinachohitajika nasisi na familia, na heshma kwa wanawake wote wanaowaelewa wanaume wa aina hii na kuwasaidia kufikiria zaidi, kutafuta zaidi, na kuwatunza wanaume wao pamoja na mali wanazozitafuta Kwa...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Utawala Bora ni nyenzo muhimu katika Taifa lolote kuendelea, Viongozi msilambe asali mkajisahau

    Hakuna Taifa ambalo halina mfumo wa Utawala, kila Taifa Duniani lina mfumo wake wa Utawala. Hapa ndipo tunapopata aina mbili za utawala yaani Utawala Bora na Bora Utawala. Hii Bora Utawala ni aina ya utawala isiyofuata misingi ya Sheria na ikishamiri sana kwenye taifa lolote basi huenda...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Tunaishi Katika Zama Ambazo Ulinzi wa Kidigitali ni Hitaji Muhimu Sana kwa Kila Taasisi

    Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la matumizi ya simu janja, mitandao ya kijamii na biashara ya mtandaoni. Kupitia njia hizi na nyinginezo, sote tunaweka taarifa zetu binafsi kwenye mtandao zaidi na zaidi. Kila siku mamilioni ya watu huwasha kompyuta na vifaa vyao vya kidigitali...
  20. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupoteza kitu cha muhimu wakati ulipokuwa unakihitaji sana?

    Salaam wakuu, Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana? Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu. Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...
Back
Top Bottom