muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ni bora utumwani penye mahitaji muhimu kuliko uhuru pasipo na mahitaji muhimu

    Hata waisrael walifikia kipindi kuchoka na shida wanazopata safarini kuelekea kaanani walitamani Musa awarudishe Misri kwa farao utumwani walipata mahitaji muhimu.
  3. OLS

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Nchi isiwe kichaka cha kuwanyima huduma muhimu wananchi

    Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Internet ni nyenzo Muhimu kwa Maendeleo

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Internet ni nyenzo muhimu kwenye kuchochea maendeleo. Kupitia andiko lake kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Dkt. Ndungulile amesisitiza umuhimu huduma hii kupatikana kirahisi, kwa gharama...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  6. Phobia

    JamiiForums Tanzania Taarifa muhimu kuhusu PREP"pre exposure prophylaxis"

    Shalom 1. Prep nini? Ni dawa ya kutumia ili kujikinga na ma'am ukizingatia ya virusi vya ukimwi kwa watu ambao bado hawajaambukizwa na wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vvu. 2. Nani wanufaika wa prep? Prep inapaswa kutumiwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

    Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4). Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina. Tayari...
  8. Beatus111

    JamiiForums Tanzania Jaman nilikuwa nauliza vifaa vya muhimu kwenye biashara ya ufundi simu

    Ambaye ana sehemu nzuri ya kibiashara kuna fundi vifaa vya electronics anaitaji support
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuwa nayo ili uendeshe kampuni yenye faida,tija na ufanisi hapa Tanzania

    Habari wana jukwaa hili. Naomba kujua ni mambo gani ambayo unapaswa kuyaeka sawa kwa wakati wa mwanzo kabisa wa kuanzisha biashara(Yenye mfumo wa kampuni), ili iweze kuleata tija, faida na uendelevu kwa miaka ijayo mbele. Hili nikimaanisha namna ya kuandaa hesabu zako kwa ajili ya kodi...
  10. KISUNZU YP

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Muuzaji wa Duka la Dawa Muhimu (DLDM)

    Habari za muda huu wadau. Anatafutwa mtu wa kuuza duka la dawa muhimu. SIFA Awe na ADO Awe mwaminifu Awe mwadilifu Awe na ujuzi wa kutoa dawa kwa usahihi Sehemu ya kazi ni Sikonge - Tabora Siku za kazi ni Jumapili - Ijumaa Mawasiliano 0620860602 0621601703 0744200166 0764601703
  11. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na uwezo wa kutunza siri zako, kama huna siri elewa huna maisha

    Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF. Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote jiepushe na mafundisho yasiyokuwa ya ki-MUNGU. Siri ni mipango iliyo ndani ya moyo wa mtu juu ya hatima...
  12. Patriot

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya Muhimu, Mawaziri na Makatibu wakuu ni wadhaifu

    Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili amtumie ktk nafasi ya uwaziri. Ubunge wa kuteua umekuwa ni kama sadaka na zawadi tu. Katika uteuzi wa...
  13. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Pesa ni kama mpira, always unatembea (Somo muhimu la mwisho wa mwezi)

    Juma Mgunda ana msemo wake mzuri sana. Anakuambia 'Ball itembee'. Na ukichunguza ni kweli bana, ball ama mpira, muda wote huwa unatembea. Vivo hivyo, pesa kama ball tu, huwa ina kawaida ya kutembea. Ukiwa na pesa mfukoni lazima kutatokea sababu ya kuitumia hiyo pesa kwa sababu pesa siku zote...
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatuzuga tu ila wanaume ni watu muhimu sana

    Haikuwa makosa vitabu vya dini kumtambua mwanaume kama kichwa cha familia, hii ni kweli na ushahidi wa hilo upo. Nimekaa mahali hapa nakunywa maji kama rejeta nikisindikizia na chipsi mayai alizozikandia Rais wetu, wanawake wawili waliyokua wamekaa meza mbili mbele yangu kwa muda kama wa nusu...
  15. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Zijue faida muhimu za mmea wa Bamia (Okra)

    🥕1. Awali ya yote, ukichukua majani ya bamia ukayachoma kwenye moto na ukachukua yale majivu ukayapaka kwenye ngozi au kidonda ni tiba ya vipele na allergy kwenye ngozi. 🥕2. Halikadhalika ukichukua bamia mbichi ukawa unatafuna pamoja na mdimu kila siku asubuhi kama ulikuwa na kinyama kwenye...
  16. starlightz

    JamiiForums Tanzania Mambo yako ya kuweka siri

    1. Usishiriki mipango yako na mtu yeyote. 2. Usizungumze kuhusu taarifa za ndani za maisha yako. 3. Usizungumze kamwe kuhusu matatizo ya familia yako. 4. Usizungumze kamwe jinsi ulivyo shujaa. 5. Kamwe usitangaze jinsi ulivyoelimika. 6. Usizungumze kuhusu akaunti yako ya benki na salio. 7...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maandalizi muhimu kwa mjamzito kabla ya siku ya kujifungua

    Ujauzito wa mwanamke hudumu kwa walau siku 280 tangu utungwe hadi siku ya kujifungua. Ni muda mzuri unaopaswa kuchukuliwa kama sehemu ya maandalizi muhimu kwa mwanamke kabla ya kuuleta uhai mpya duniani. Kuna mambo mengi yanayoweza kufanyika, baadhi yake ni haya- Hudhuria kliniki za uzazi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ya Muhimu ayasemayo sasa hivi Kocha Mwinyi Zahera kipindi cha Sports Headquarters EFM

    1. Yanga SC inacheza ligi nyepesi ya Tanzania. 2. Wachezaji wa Yanga SC hawajitumi ipasavyo. 3. Wachezaji wa Yanga SC wameshalewa mafanikio. 4. Upangaji wa kikosi cha Yanga SC ni mbovu sana. 5. Bernard Morrison si Mchezaji wa kuanza, kwani hakabi halafu anacheza kwa vipindi. 6. Simba SC...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Maeneo muhimu ambayo wataalamu wa Serikali wanapaswa kuzingatia wakati wa mazungumzo zidi makampuni ya mafuta na gesi

    Uvumbuzi wa rasilimali za mafuta na gesi huleta msisimko mkubwa sana katika taifa. Mataifa yenye utajiri wa rasilimali za mafuta na gesi hutafuta ushiriki wa makampuni ya kimataifa yenye rasilimali za fedha na utaalamu ili kusaidia kuzalisha mafuta na gesi iliyovumbuliwa. Mara baada ya uvumbuzi...
Back
Top Bottom