Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 819
- 908
Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa binadamu wenzako walio chini yako,na ukasahu kuwa wewe no binadamu Kuna Leo na kesho.C ha pili chenye madhara sana husipokuwa Makini ni Mali na pesa vinaweza pia kukupofusha ukashindwa tambua wewe ni binadamu Kuna kupata na kukusa,kumbe ukiwa na Mali pesa au cheo/madaraka ni swala la mda tu,hekima ni mhimu.Mwenyezi mungu amweke mahalo pema peponi huyu mzee ni mojawapo ya walimu wa zamani walokuwa na Hali ya kusaidia wanafunzi wao