muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada: Tatizo la kihisia muda wa tendo!

    Habarini wana Jamiiforum! Ningependa kufafanua moja kwa moja tatizo lenyewe!; Nimekuwa na tatizo la kutohisi Chochote wakati wa kujamiiana!..hamu ya kufanya inakuwepo, uume inasimama vizuri! Kimbembe ni muda wote wa kujamiiana hakuna Raha yoyote nayoipata isipokuwa mwishoni muda wa kupiga bao...
  2. Hesabu za kampuni na kodi

    sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu, 1. LTD - 125,000 tu 2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu 3. kuandika Memorandum.... huduma nyingine ni pamoja na 1. Audit of annual financial statements 2. Monthly VAT Return 3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE 4. Monthly payroll (TRA taxes...
  3. Salome Makamba: Mabando ya simu yasiwe na ukomo wa muda wa kuisha

    Mbunge Salome Makamba, amesema kuwa habari ya mabando kuisha muda wake baada ya kujiunga ni sawa na kuwaibia watanzania, adai kuwa ukijuinga bando la simu liwe la dakika za maongezi au la data unaweza usilitumie kutokana na changamoto nyingi sana zikiwemo za kukosekana kwa mtandao wa simu au...
  4. NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
  5. Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  6. M

    Ni muda sasa wa kuwa na Mihimili miwili ya Serikali

    Maoni huru. Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla. Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati kabisa kwamba mihimili wa Bunge haulisaidii taifa, na pengine tungeendelea zaidi Kwa kutokuwa na kundi...
  7. Ni suala la muda tu Fiston Mayele ataanza kuonekana Mchezaji wa Kawaida na Chukizo kwa wana Yanga SC wote

    Pini aliyopigwa na Mganga Hatari wa Simba SC katika ile Mechi ya Kariakoo Derby ambayo Gundu la Yeye Kutokufunga Goli ilianzia hapo kupitia Demu wake Mswahili (Mtanzania) wa Saluni yake Kubwa Magomeni Mapipa itamtesa mno Mayele na kumtesa zaidi Kisaikolojia.
  8. S

    Ni suala la muda tu baadhi ya walioitwa Wabunge wa CHADEMA Kuanza kugeukana na kusema ukweli baada ya kufukuzwa

    Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani. Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza. Tusubiri.
  9. Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

    Lissu ameanza kuaga watu wake nadhani anajiandaa kurudi Tanzania, akipita bunge la ujerumani katika ziara hiyo, Ujerumani ndio walimuhifadhi na kumtafutia njia ya "kumkimbia mwendazake" kutoka ubalozini mpaka uwanja wa ndege. HAKIKA ANA FADHILA ya kulipa, hatujui fadhila gani. Pia Lissu...
  10. N

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Binti angu machaguo yote alijaza CBG chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza sasa nini maana ya kujaza selfom?
  11. SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  12. Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums anahojiwa Wasafi FM

    Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media === Updates. Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
  13. Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo. Mamlaka...
  14. Watanzania hatuthamini muda

    Nipo hapa Airport Dar es salaam, barabarani nimeona mamia ya magari ya abiria na binafsi, aisee wamesimama tu muda mrefu wamesubilishwa kwaajiri ya misafara ya viongozi wakuu wa nchi. Takribani takika 45 mbele ndio naona kuna ndege zinatua hapa....Inawezekana kabla hata kiongozi hajaanza...
  15. Mimi nashangaa huyu Mwanamke kila Muda namwambia aachane na Mimi lakini anielewi

    Huyu Mwanamke Kama anailewi nimemwambia aniache nifocus na Maisha yangu lakini yeye kutwa kulazimisha yaani hata sielewi anatafta Nini kwangu. Mimi sasahv nataka kukaa single nimemwambia lakin ndo kwanza anafosi niwe naye. Sasa leo Nampa Brock za maana najua yupo humu Jf na anasoma huu Uzi...
  16. Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  17. Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA Serikali imetangaza ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) George Simbachawene amesema...
  18. Nauli mabasi ya mikoani zimepandishwa habla ya muda waliotangaza LATRA

    Licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kutangaza kuwa mabadiliko ya bei za nauli za daladala na mabasi zitabadilika kuanzia Mei 14, 2022, asilimia kubwa ya makampuni ya mabasi yalishaanza kutumia bei hizo mpya. Safari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma inatozwa Tsh 26,000 badala...
  19. Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  20. Jose Chameleon ndiye msanii bora wa muda wote wa Afrika Mashariki

    Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…