MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Serikali ya CCM imekuja na style mpya ya wakuu waliomo serikalini au tuseme serikali iliyoundwa na CCM inastyle ya kupanga ziara ,mkae mkielewa hakuna cha ziara wala matembezi ni namna ya kula hela kwa njia ya kulipana posho.
Wananchi wanahitaji maendeleo mambo ya ziara yamepitwa na wakati...
Habari wanaJF,
Hoja hii ni mahsusi kwa watumiaji wa usafiri wa Daladala wanaotumia Mabasi ya Mbezi - Kawe na Mbezi Makumbusho pia wale wa Makumbusho - Mbezi na Kawe - Mbezi.
Angalieni huu mzunguko;
Unatoka Mbezi/Kimara unasimama Taa za Ubungo, ukivuka unasimama tena taa za TCRA kisha unakunja...
Habari waungwana!
Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika.
Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni ikaanza kuzunguka kwa kasi sana. Hilo tatizo lilijirudia kila nilipojaribu kuwasha.
Je, tatizo ni nini...
Hello JF,
SIjui kama nyie mme observe kama mimi?
Mama yetu ana movements nyingi mno.
Sijui kasafiri na kuona watu/vikundi vingapi ndani ya hii miezi mitatu ya Urais
Mama you cant do everything and be everywhere.
I feel like you want to prove a point, kuwa ni Rais wa tofauti na watu wakuone...
Miaka ile ya awamu ya kwanza kulikuwa na chuo cha kufundisha viongozi masuala yote muhimu ya kiuongozi. Kilikuwepo pale kivukoni. Kiliwapika viongozi na matendo yao yakaonekana baada ya kupewa ukuu wa wilaya na ukuu wa mikoa. Walikuwa ni viongozi wenye maadili yasiyohojika.
Taratibu muda...
Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
Salaam wana jamvi,
Twende kwenye mada tajwa moja kwa moja.
Tukianza na utawala wa awamu ya tano wa John pombe magufuli ambako tulishuhudia mtikisiko mkubwa wa upinzani nchini Tanzania ambao uliosukumwa na matumizi mabaya ya demokrasia hayo yalithibitishwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020...
1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia.
2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
Habari wadau,
Chakula gani hujala kwa muda mrefu na umekikumbuka sana. Mimi nimekumbuka makande nayapenda sana ila muda wa kuyapika ndio unakiwa changamoto.
Ila wiki hii nitajitahidi nipike makande ya karanga.
Wewe umekumbuka chakula gani?
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya ukumbusho ndiyo aendelee na Operesheni zake, ambapo Mwamba alisalimu amri na kupiga picha na wamama hao...
MAONI YANGU KWA SECRETARIATI YETU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, KUFANYA KAZI MBILI KWA MAANA MUDA SI RAFIKI.
Leo 11:11hrs 05/06/2021
1. Kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-25
2. Kuimarisha Chama Cha Mapinduzi kwa kusimamia maswala yote ya Ukuaji wa Chama kwenye maeneo...
Serikali ya Nigeria imefungia kwa muda usiojulikana huduma za Mtandao wa Kijamii wa Twitter kwa madai ya Mtandao huo kutumika kuhatarisha uthabiti wa taifa hilo.
Tangazo rasmi la kufungiwa kwa mtandao huo limetolewa siku ya Ijumaa na Waziri wa Habari na Utamaduni, Alhaji Lai Mohammed kupitia...
Nimemsikia Mbunge wa jimbo la Sengerema Tabasam Hamis Mwagao, akilia Kwa nini kampuni ya Global Fluids International (GFI) inayohusika na vinasaba vya mafuta imekuwa ikilipwa mabilioni ya pesa kwa muda wa miaka 6.
Mimi kinachonishangaza anamsifu waziri Kalemani na wakati wote huo wa miaka 6 GFI...
Kama shabiki wa Simba kindakindaki nimekaa nikiiangalia timu yangu hasa eneo la ushambuliaji. Ambako kuna Bocco, Kagere na Mugalu. Katika huyu Mugalu sasa anaweza kupata nafasi 5 za kufunga ila akafunga goli moja tu. Tukirudi kwa Kagere yeye akipata nafasi ya kufunga katika mbili atatupia at...
Hua unabadilisha mswaki baada ya muda gani?
======
Mada unayoshauriwa kusoma:Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?
Ripoti kutoka Italy zinasema kocha wa timu ya Juventus na staa wa zamani wa timu hiyo, Andrea Pirlo atatimuliwa kazi muda wowote kuanzia sasa!
Klabu hiyo imekuwa na matokeo mabaya msimu huu huku wakimaliza nafasi ya 4 katika Serie A.
massimiliano Allegri kocha wa zamani wa timu hiyo anatajwa...
Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
Habari wadau..!
Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.
Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.
Hauwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.