Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu.
Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...