Watu hawana muda na shida zako, usiposhtukia hilo utaishi kuwa mtumwa

Feb 4, 2024
67
206
Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu 😔

TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA

1. Jali afya yako kwa 100%
2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio anza na wao.
3. Usikubali kuacha ratiba zako haraka la sivyo iwe dharura kweli
4. Wasaidie ila hakikisha nawe umeshajisaidia
5. Kama lipo juu ya uwezo wako waambie huwezi na usijali watasemaje kwa jibu lako hilo.

Fikia ndoto zako.
0652 134707
 
Hii namba ya simu ni ya nini?
 
Watu wanakanuni zao, maisha yao, matatizo yao, maoni yao hayatafanana ya yako. Ishi yako.

Nakunywa usiku, nikiamka nakuna pombe wanadai anakunywa wapi hatumuoni. Kijiweni macho ya red eyes wanadai nimelewa.

Nani anamatatizo sasa??

Baki na yako
 
Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu 😔

TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA

1. Jali afya yako kwa 100%
2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio anza na wao.
3. Usikubali kuacha ratiba zako haraka la sivyo iwe dharura kweli
4. Wasaidie ila hakikisha nawe umeshajisaidia
5. Kama lipo juu ya uwezo wako waambie huwezi na usijali watasemaje kwa jibu lako hilo.

Fikia ndoto zako.
0652 134707
Classmate wangu Saul Kalivubha dah! Long time ma braza. Nakuja PM!
 
Back
Top Bottom