muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa TAS Mollel: Tunaomba Rais Samia aongezewe muda

    Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Ualbino Tanzania (TAS), Godson Mollel, amemsifu mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa namna alivyowajali watu wenye ulemavu katika kipindi cha karibu miaka mitano akiwa madarakani...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Heche, Lema ,Golugwa, Mnyika na Top Officias, Watakamatwa muda wowote Kwa lengo la kuwaachia Kuanzia November !!

    Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana . Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie . Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
  4. Kumfumaster97

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kozi ya uaskari ni muda gani wakuu isije ikawa napangwa

    Habari za muda hope mko poa Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ,nauliza kozi ya uaskari ni muda gani wakuu msaada isije ikawa napangwa maana kuna raia (ke) tulipanga kuoana this year ila ananiambia anataka akapige kozi ya uaskari miezi 6 ila swala la kuoana tutasogeza mbele vipi wakuu hapo
  5. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijana amwambia Zitto 'Uliwapigania wazazi wetu ni muda wa sisi kukupambania'

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amekutana na vijana wa jimbo hilo na kujadili nao changamoto mbalimbali zinazowakabili. Katika mkutano huo, vijana wengi waliotoka katika timu tofauti za mpira wa miguu wamesema kwa mara ya kwanza watashiriki...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi hili mkalitazame limekua kero kwa muda mrefu sana

    Habari wakuu wote nawasalimu Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na 1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Akiondoka Fadlu David sasa Mgunda apewe Timu na muda wa kutosha

    1. Atawatumia wachezaji waliopo bila shida. Kama alimtumia chasambi na balua hawa atawapeleka 2. Takwimu zinambeba kuwa na matokeo makubwa mno kila akiachiwa timu kuliko kocha yeyote wa nje. 3. Anaijua vizuri Simba kwa sasa. 4. Try Again hayupo. Ambaye kila Ajira ni dili kwake simba. Naomba...
  8. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Life lessons: Kwa muda uliokuwepo hapa duniani umejifunza nini Katika mapito yako!?

    Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk. Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani? Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopoteza muda wenu kutwa Kuniuliza nipo Single, haya hapa majibu yenu

  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna muda kwenye mapenzi Tafuta mtu mwenye unafuu wa tabia zinazoweza kuvumilika ngumu kupata mkamilifu

    Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

    Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo. Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asanteni Simba yangu kwa kuturejeshea furaha japo ya muda

    Kuna kitu kilichokuwa kimekosekana nchini.. Furaha ya kweli, Furaha ya asili Furaha halisi Furaha at free will..! Furaha ya hiari Watu Leo wamerindima na kufefea vibe kama lote toka moyoni Makusanyiko ya hivi karibuni pamoja na kuwa na rangi yenye kumaanisha uhai.. Lakini yalikuwa...
  13. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
  14. kiss ov love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa thread ya “Hapa kuna mapenzi kweli au napotezewa muda?”

    Habarini wakuu Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka. Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri. Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
  15. 100 others

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 07-09-2025: CCM isisahau Misingi yake

    https://www.youtube.com/watch?v=gO-dZiTtIVQ Updates.... Polepole: Mtu fulani ofisi binafsi ya rais anamkosea sana mama Samia, anamchomekea maneno fulani ya uongo na kuchukiza kwa watu
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Wikiendi hii chukua muda wa kuangalia hizi SPY MOVIES 6 na hautojutia

    1: THE GOOD SHEPHERD Mwamba anachukuliwq kutoka chuo ili kuwa sehemu ya CIA, anaanzia kazi nyumbani kugundua maspy wa kinazi marekani hadi kupelekwa ujerumani kupambana na maspy wa kirusi. Jamaa ni mtiifu kwa CIA hadi ilifikiwa wakati alimuua mchumba wa mtoto wake baada ya kugundua ni spy...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

    Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli. Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala Tawi
  18. MdengestanfromCuba

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Naam wakuu ========================= Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Nataka nijue kama muda alokaa Lissu jela umeshafikia ule aliokaa Mbowe halafu nitasema kitu

    Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Jitahid kupitia ujumbe huu hauta jutia muda wako ewe mpambanaji katika maisha

    Kwa wale vijana wenzangu ambao tuko katika harakat za utafutaj wa maisha..ningependa ku share nanyi taarifa hii kuhusiana na cryptocurrency … kutokana na kukosa maarifa na kutokua na elimu ya cryptocurrency..basi huenda taarifa hii usiielewe au kuona ni utapeli..niko tayar kukupa elimu kwa kina...
Back
Top Bottom