MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Katika siku za karibuni, nchini kumeendelea kushuhudiwa matukio ya watu kukamatwa na vyombo vya dola, hususan Jeshi la Polisi, na kushikiliwa mahabusu kwa muda mrefu zaidi ya saa 24 bila kufikishwa mahakamani au kupewa dhamana. Baadhi ya watuhumiwa huachiwa huru baada ya siku kadhaa bila...
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.
Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.
Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.
Nitawajulisha na kufanya press conference
Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi?
Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
Toka kabla ya Uhuru mababu zetu walipambana dhidi ya mikakati na madhila yaliyoletwa na mabeberu kuja kutawala na kubeba mali na rasilimali zetu kwa njia za kibabe au ulaghai.
Somo nililojifunza ni kuwa kwao wao mabeberu kuchukua au kunyang'anya rasilimali zetu ili wao na vizazi vyao waweze...
Leo nilikuwa napekua historia ya dunia huko mtandaoni katika kuilisha ubongo chochote kitu , nikajikuta nawatafakari sana Marais ambao mwisho wao ulikuwa mbaya sana.
Tukianza na Gaddafi , Huyu alikutwa kwenye Calvert peke yake hana mlinzi wake wa karibu ambaye tuseme angesimama naye hadi...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi.
Makaisari wa Roma walikuwa...
Kwa mujibu wa juzuu ya Royal blue heating kama alivyoandika Mwandishi Hazel Montgomery inaonekana siyo katika filamu za kisayansi ila ni katika anga letu la kila siku kuwa juwa litaghubikwa na mwezi na mwanga wake utakuwa kama umezimwa.bkwa dakika kadhaa, joto la Dunia litashuka ghafla, jua...
Ukaguzi wa Usalama kwa Njia ya Anga, Helkopta ya Kijeshi Ikizunguka Maeneo mbalimbali ya Dar Es Salaam wakiangalia Usalama.
Vipi hali huko mitaani wakuu?
Ndugu zetu mliopanda mabasi na kutokomea mikoani huko ebu acheni kupiga piga simu kuulizia hali ya huku, sisi sio mareporter kwaio mlivoondoka huku mlitegemea nani ataingia barabarani
Siku yaja hivi karibuni
Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu
Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka Wabakie Majumbani Kwao, huku hali ya Ulinzi Ikiimarishwa kwenye Barabara ya Morogoro .
Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania
Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je
Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi?
Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili?
Mbinguni kunani?
Yaani Kila kukicha Hawa ndugu zetu wanazidi kunifanya nishangae ya Dunia..Kuna mwanaharakati mmoja huko Twitter ameachia meseji za askari wa JWTZ akiomba wananchi waandamane ili walau na wao mishahara Yao iongezeke wajione watu katika watu..Eti soldier mzima analia wananchi wawatetee Hali mbaya...
Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda.
1. FILBERT BAYI
Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani limehifadhi kumbukumbu zake kwenye makumbusho ya shirikisho huko Ufaransa. Mzee Filbert Bayi...
Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!.
iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!.
Naghafirika sana pale napoona...
Habari JF
Kuna kazi kwa vijana wa kiume 10 wanahitajika
Mahali pa kazi ni Dar es salaam Vetenari
Aina ya kazi ni kusaidia mafundi wa mechanics kuna ujenzi wa kiwanda unaendelea utakaochukua muda kati ya miezi 6 hadi mwaka au zaidi kulingana na kukamilika kwa mradi, kwahiyo ni kazi ya uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.