muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kinondoni watengewa muda kutatuliwa changamoto za Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kutoa suluhu ya changamoto za wateja juu ya huduma za majisafi. Afisa Huduma kwa Wateja wa DAWASA Kinondoni...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka nguri hawa waenziwe, tusisubiri wakiwa wamekufa ndio tuchonge sana zao

    These mem shaped Tanzanian music at the highest level. Hawa ndio foundation na mashina
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Mambo ya matashtiti, wanaume msione aibu kuimba au kusikiliza taarabu

    Mtaniona hivi hivi, mtaniona.
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mh Rais Nina hoja nisikilizwe, waliochoma soko la kariakoo wapo mbona mnawaacha? Sasa ushahidi tulio utoa mbele ya kamati tulikuwa na tumepoteza Muda?

    Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
  5. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu

    1) Kulelewa na wazazi wakristo sio kuwa Mkristo. Kuwa Mkristo ni kukutana na Kristo kibinafsi. Ni kama ulikuwa unasikia story za mjomba kwa miaka, hatimaye akaja nyumbani. 2) Nilipoteza imani nikiwa form 3, tena kwasababu ya kusoma posts za humu JF! Ndomana mzungu alisema: Little knowledge is...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva Bajaj Nyegezi - Mwanza wanajipangia bei za juu muda wa usiku

    Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wengi hatuna muda wa kujikagua kimwili na kiroho

    Je unapata muda wa kujikagua kimwili? Huwa unaangazia maeneo gani? Rangi? Uzito Wepesi? Afya ya ngozi? Nywele? Meno Moyo Via vya uzazi? Kiroho je? Unapata nafasi ya kujichunguza? Afya ya akili Kinga za kiroho Utimamu wa fikra Uthabiti wa nafsi Utulivu wa roho Nina hakika wengi hawana huo muda...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia Disemba 2025 hadi February 2026

    Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026 Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025 Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026. Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026 Pole ziende kwa rais na chama chake.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida mkishibana na mkeo akugeuze mbea hadi muda mwengine unajisahau unaanza kunogewa umbea ?

    Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia. Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh ! Kuna umbea umekuwa kama Series...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Enzi zangu nikiwa Fisimaji binti kama Lucy mkatoliki wala asingepata muda wa kurekodi mavitu ya ajabu na kufanya hizo Drama

    Mtakuwa mmesahau! 1. Enzi zetu hizo, sio Zama zenu hizi Gen Z za kukata mayeno na kujirekodi. Au mwanaume kuchambana na kusutana kama wanawake. 2. Enzi hizo Sisi tulikuwa tunaitwa MAFATAKI. Weee! Wewe. Ulizeni muambiwe. Nyie si mlikuwa watotom tena wengine mlikuwa hamjazaliwa. 3. Serikali...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wapi twendeni vacation kwa muda

    Taifa limechoka liko hoi Tanganyika iko hoi Wananchi wamechoka Waliojiteua wamechoka Walioua wamechoka Waliopoteza ndugu zao wamechoka Waliotoa amri za shoot to kill wamechoka wako hoi hasa Gen Z wamechoka Chawa wamechoka Wezi wamechoka Mafisadi yamechoka Wafungwa wamechoka Wafunga wamechoka...
  12. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka? Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi! Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF? Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani. Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ni Muda muafaka kwa picha ya Rais Samia kuwekwa katika Fedha zetu hususani elfu kumi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  15. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

    Hello guys Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika. Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza. Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation. Siongezi maneno but within...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Rais Samia hajawahi kuwa mbaguzi, ni mvumilivu, akitukanwa hajibu, CCM haina muda kujibizana

    Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa: "Samia hajawahi kuwa mbaguzi. Rais wetu ni mtu mvumilivu; hata akitukanwa, hajibu. Yeye anachojua ni...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku na Wazee Wakizungumza Juu ya Haki, Umoja na Amani Kwa Watanzania Muda Huu

    https://www.youtube.com/live/C6io6iky7I0
  18. M

    JamiiForums Tanzania Heche aendelee kuwa Makamu Mwenyekiti, Kuwe na mwenyekiti wa muda kuokoa jahazi, Chama kinazidi kuoteza ushawishi wake

    Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao. Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Saida Karoli na Rose Muhando hawa ndo wasanii bora wa muda wote Tanzania

    Hapa Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata vipaji kama Saida Karoli na Rose Muhando. Hawa ndo wasanii bora wa muda wote hapa Tanzania.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwandambo anakuambia hana shida na Rais halafu muda huohuo anahadithia alivyolazwa kwenye chumba chenye wadudu

    Hamjambo! 1. Kuna mambo yanafurahisha Sana nchi hii. 2. Wapo watu waliokuwa wafuasi wa Mwandambo Mzee wa nachoka kabisa. 3. Kuna watu ni wafanya vichekesho, vituko, content creator. Sasa ni kosa kubwa kushindwa kuwatofautisha na wapigania Haki. 4. Kwani utajikuta unadandia mitumbwi ya...
Back
Top Bottom