MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Falsafa Za Maisha.
Ndg,💪🏾
Kama ungepewa nafasi ya kurudia maisha yako nyuma miaka 5, ungechagua nini? 📚✍🏾🤔
Select one
* Ningebadilisha marafiki zangu au hata nisiwe na marafiki kabisa😓....
* Ningejifunza mapema maisha 📚.....
* Nisingeanguka kwenye mapenzi 🌹 .....
* Nisingerudia makosa yale...
Habarini wanajukwaa?
Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha ajira yake kwa ajili ya kufuatilia malipo ya mishahara ya nyuma?
Na Morning Joy Motors
+255797113153
Kaloleni, Arusha
Tanzania
Kama umewahi kusikia sehemu katika pita pita zako watu wakisema kwamba gari zenye engine ya diesel ni bora zaidi kuliko zenye petrol , lakini pengine ikakuwia vigumu kuwaelewa kwa namna moja ama nyingine
Basi Leo sisi Morning Joy...
https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT
------------
"Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ?
Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro.
hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.
Hii ni argument ambayo itakubidi upate experience kubwa ya kuitazama sana siasa kwa jicho la tatu, ndiyo utagundua kwamba ni argument ambayo ni ukweli kwa asilimia 99%.
Mwaka 2010 nilipoenda pale UDSM, siasa za serikali ya wanafunzi na wanaharakati zilikuwa zinatawaliwa sana na vijana wa...
Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako
Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change.
Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu :
Pressure ndogo ya oil
Engine kukosa nguvu...
Mimi binafsi sioni kama mtu aliyekula saa 11 alfajiri atakuwa na haja ya kupata break fast saa 2 asubuhi au kula mchana, maana anakuwa anashiba
Mtu anasubiri jua lizame ale kama machwa au nguruwe pori, anakula hadi anavimbiwa na Bado anaamka usiku wa manane kula tena.
Tuache unafiki hakuna...
Leo nawapa siri ya vijana kupenda mashangazi ,mashangazi yameshaingia menopause hakuna mambo ya kukwepa mdinyano kisa upo period mashangazi mda wote unadinya ule ubabaifu wa kuwekewa tomato kwenye pedi haupo.
Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi.
Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kutoa suluhu ya changamoto za wateja juu ya huduma za majisafi.
Afisa Huduma kwa Wateja wa DAWASA Kinondoni...
Mtoto akinyea Mkono ni kosa kuukata ila kitendo Cha wale majaa kuchoma soko na Leo mmezindua jipya paspo kuwachukulia HATUA Haina maana mnajenga Bali mnabomoa jamaa wapo kwa Nini mmewaacha?
1) Kulelewa na wazazi wakristo sio kuwa Mkristo. Kuwa Mkristo ni kukutana na Kristo kibinafsi.
Ni kama ulikuwa unasikia story za mjomba kwa miaka, hatimaye akaja nyumbani.
2) Nilipoteza imani nikiwa form 3, tena kwasababu ya kusoma posts za humu JF!
Ndomana mzungu alisema: Little knowledge is...
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Je unapata muda wa kujikagua kimwili? Huwa unaangazia maeneo gani?
Rangi?
Uzito
Wepesi?
Afya ya ngozi?
Nywele?
Meno
Moyo
Via vya uzazi?
Kiroho je? Unapata nafasi ya kujichunguza?
Afya ya akili
Kinga za kiroho
Utimamu wa fikra
Uthabiti wa nafsi
Utulivu wa roho
Nina hakika wengi hawana huo muda...
Chama cha mapinduzi kimepoteza wabunge watatu kwa muda mfupi kuanzia disemba 2025 mpaka February 2026
Mbunge Jenista Mhagama alifariki 11 Disemba 2025
Mbunge Halima Nassor alifariki 18 January 2026.
Munde Tambwe alifariki tarehe 3 February 2026
Pole ziende kwa rais na chama chake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.