Msaada: Upi ni muda sahihi kumeza dawa za minyoo?

Msaada: Upi ni muda sahihi kumeza dawa za minyoo?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,144
Reaction score
6,787
Huwa nachanganyikiwa kwa kweli. Maana utakuta unaambiwa unatakiwa kutafuna asubuhi kabla ya kula. Huku wengine wakisema hata kama umekula ni sahihi.

Je , upi ni wakati sahihi?
 
Pole mkuu Yani tumbo lako ni chafu Hadi minyoo inavaa ndala..
Muda sahihi wanashauri ni asubuhi kabla hujala Wala kunywa chochote
 
Huwa nachanganyikiwa kwa kweli. Maana utakuta unaambiwa unatakiwa kutafuna asubuhi kabla ya kula. Huku wengine wakisema hata kama umekula ni sahihi.

Je , upi ni wakati sahihi?
Asubuhi kabla ya kutia chochote tumboni,minyoo Wana kawaida ya kula wao kwanza chochote uwekajo tumboni,so ukiweka dawa wao huanzw kuila wakidhani msosi,itabidi ukae nusu saa baada ya kunywa dawa ndiyo ule kitu
 
Kaa siku saba bila kula kitu chochote, minyoo itakuwa na njaa sana hvy ukila dawa watadhani ni chakula na Watakufa hapo hapo.
 
Inategemea na Aina ya dawa ,mfano dawa ya minyoo Aina ya Albendazole inafaa utumie asubuhi tumbo likiwa empty na Aina nyingine ni mebendazole hii ufanisi wake ni utumie baada ya Kula.
 
Back
Top Bottom