Ni muda sasa wa Kuunda Serikali Mbadala - #D9 Ndio msingi wake

Ni muda sasa wa Kuunda Serikali Mbadala - #D9 Ndio msingi wake

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,277
Reaction score
13,679
Watanzania kwa wingi wenu tunaomba mjitokeze tarehe 9 December hasa Dar es salaam.

Mkifanya hizi tutakuwa na uwezo wa Kuunda/Kutangaza serikali Mbadala kutokea Dar es salaam, Jambo hili ni muhimu sana kama Samia atakataa kutoka madarakani.

Lazima tuwe na serikali nyingine ya uma, ambayo ita control Dar es salaam na mwisho nchi nzima kama Italazimika.
 
Back
Top Bottom