mtu

  1. Unafiki kwenye siasa zetu na hatma ya maisha yetu; tukiendelea hivi ni suala la muda tu, kila mtu atalia kwa wakati wake

    Dunia kwa asili yake ina machanguo mawili, wema au ubaya, haki au dhuluma, ukweli au uongo, unafiki au kutokuwa mnafiki, na kila mtu au jamii ina hiari ya kuchagua upande. Aidha, kila mbegu ioteshwayo na mtu mmoja mmoja, kundi au jamii huzalisha matunda yafananayo na mbegu husika. Kinachotokea...
  2. Je, Mwanafunzi huyu anaweza kubadilisha jina lake kama limekosewa?

    Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza kidato cha nne 2019 na matokeo yangu yametoka mwaka huu 2020 na yanaruhusu mimi kuendelea mbele na jina langu kwenye cheti cha kuzaliwa limekosewa na ninahitaji kubadilisha. Je, inawezekana kubadilisha?
  3. CHADEMA hawajali protocol, yeyote aweza hutubia taifa. Duni Haji alikuwa sahihi CHADEMA kila mtu ana sharubu

    Chama makini huwa na protocol mfano kuongea na taifa nani anatakiwa kuongea. Ni mwenyekiti wa chama taifa. Lakini CHADEMA hata mbunge aweza ibuka akaita vyombo vya habari kuongea na taifa hata diwani aweza jiibukia tu na kuongea na taifa. Mfano mtu anayeomba kuteuliwa na CHADEMA kugombea...
  4. Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

    Mwamba wa Kusini amenena moja kwa moja kupitia ukurasa wake wa Twitter. Kuna maswali?
  5. T

    Vodacom na mitandao ya simu wekeni uwezo wa mtu kurudisha pesa aliyoipokea kimakosa

    Mitandao ya simu imerahisisha maisha kwa kuruhusu mtu kujirudishia pesa aliyotuma kimakosa kwenda kwa mtu mwingine. Hili tumelipokea kwa mikono miwili. Sasa naomba muweke uwezo wa mtu kurudisha muamala wa pesa ambayo ameipokea kimakosa au ambayo haitambui. Naomba wazo hili mlifanyie kazi...
  6. Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  7. A

    Mdogo mtu naye anataka pia...

    Wakuu inakuaje,pole na mihangaiko ya hapa na pale,,japo covid 19 kafifia kwa mbaal,,bado tuchkue tahadhari. Nirudi kwenye mada,,agizo la muheshimiwa raisi la kurudi chuoni nililitekeleza ipasavyo baada ya kuanza Safar kutoka mkoan kuja hapa dar es salaam kusoma. Nilifka salama siku ya jumamosi...
  8. Je, kuna uhakika wa ajira endapo mtu utaambiwa utume hela kwa ajili ya maswali na majibu ya mchujo?

    Nimepokea ujumbe huu, "CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi salary ni 1,300,000/=(net) ukipata salary yako ya kwanza utanipa 400,000 na kabla ya saa 10 jioni leo uwe umetuma elfu 45 through tigopesa nimpe mtu wa interview atanipa maswali na majibu nitakutumia kwenye email so una...
  9. Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kuwa mfuasi wa mwanasiasa

    Miaka yangu yote 40+ niliwahi kuwa mfuasi wa mwanasiasa nilipo kuwa kwenye 10s, nilipokuja kupata akili niliacha kumfuata mwanasiasa nikawa nimetengeneza tabia ya kuangalia hoja za mwanasiasa husika. Wanasiasa wa Tanzania ,Afrika na pengine dunia nzima siyo waaminifu, ni vigeu geu waongo na...
  10. GE2020 Acheni utani, upinzani hakuna mtu wa kuweza kusimama na Rais Magufuli kwenye uchaguzi mkuu Oktoba

    Habarini wadau... Leo naomba nizungumze ukweli juu ya hiki kinachoendelea, eti watu wa upinzani kuandika barua na kuomba nafasi za kuteuliwa kugombea nafasi ya urais wa JMT october 2020, Wanachofanya vyama vya upinzani ni utani nadhani na imefikia wakati wameacha kuwa serious, maana haihitaji...
  11. Ubaguzi wa rangi(racism) dhidi ya mtu mweusi upo na hautakaa uishe duniani

    Habari wakuu, Napenda kuliongelea suala la ubaguzi wa rangi unaopigiwa kelele kwa sasa duniani. Kwanza kabisa tuelewe kwamba haya mambo hayajaanza leo. Yana historia ndefu sana kuanzia enzi za Nuhu na watoto wake watatu. Hamu, yule aliemchungulia baba yake, alilaaniwa kwamba atakuwa mtumwa...
  12. F

    Mkapa: Hakuna mtu maarufu zaidi ya chama

    Dr Salmin Amour, who was then Zanzibar, had intended to change the Constitution to allow him to run for a third presidency tenure. His proposal of changing the Constitution reached the National Executive of Commit-tee of his party, CCM, and there was every sign of a fierce debate over the...
  13. Majibu ya Roma Mkatoliki juu ya kwanini haandamani wala kukemea unyanyasaji wa Mtu Mweusi

    Nukuu: "mtangazaji kanipgia simu kuniuliza, Roma kwanini hatukuoni Ukiandamana au Ukikekemea Mtandaoni yanayoendelea Marekani Kama wafanyavyo wasanii wenzio was bongo?(Black lives matter). Nikamjibu👉 Ninapokemea ya Tanzania siwaonagi Hao wasanii wakikemea Kama Mimi. So ni zamu yao now...
  14. B

    Ni nani au mtu wa aina gani anayeruhusiwa kumiliki nyara za Serikali kisheria

    Sote tuna fahamu nyara za serikali ni nini, Je kuna sheria inayo mruhusu mtu yeyote yule kumiliki nyara za serikali? achilia mbali leseni ya uindaji ili uwinde wanyama, namaanisha upewe kibali uwamiliki mfano ndege kama TAUSI uwe nao nyumbani kwako uwafuge, sijawahi sikia popote pale kuwa kuna...
  15. Je, mtu huyu anasifa za kwenda Kusoma Comb ya PCB kidato cha tano Government?

    Je, Mtu mwenye ufaulu huu Civ - C , Geo - C , Kisw - C , Eng - C , Chem - C , Bio - C , Phy - D , Math D , Hist - D anae 3 . 22 anaeza kwenda advance Government comb ya PCB 2020?
  16. Je, wakati tunajiandaa kuingia katika Uchaguzi Mkuu, CHADEMA Ikiwa katika vipande vipande Mbowe bado Mtu sahihi?

    Wakuu tumebakiwa na mda mchache kabla ya kipyenga cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kupulizwa, Tumeshuhudia CHADEMA ikigawanyika katika vipande vipande na kusababisha vijana makini waliowanoa kwa miaka mingi kukihama chama hiki. CHADEMA iliundwa na Vijana makini waliokua wamejengeka kisiasa na...
  17. Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

    George Floyd was a porn star and in the industry he was going by the name " Big Floyd". Ukiwa porn star unakuwa unakutana kingono na wanawake wengi. Katika ulimwengu wa rohoni unapo fanya tendo la ndoa na Mwanamke automatically unakuwa umeingia katika AGANO rasmi la kiroho la kuunganisha nafsi...
  18. Unamkumbuka yule askari aliyeua mtu mweusi US,basi kwisha habari yake. Wazungu wakekesha kupiga simu Afrika kuomba msamaha

    Waswahili wanasema ukijua hili wenzio wanajua lile. Kikundi cha kina mama kutoka Kongo kimesema enough is enough, wamesema sasa basi. Wakina mama hao wamechoshwa na taarifa za kila siku kutoka Marekani ambapo kila kukicha watu weusi wamekuwa wakiuliwa na hivyo kutishia kutoweka kwa kizazi cha...
  19. J

    Watu wasio na sifa humtumikia mtu na siyo nchi

    Habari wana jamvi! Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa wateuliwa Wengi wa awamu ya tano nimebaini kwamba karibu wote hujitahidi sana kujua aliye wateua anataka nini na huishi katika hilo. Hawasomi standing orders wala Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwao wao kumfurahisha 'Kim Jong Un '...
  20. Minneapolis: Vurugu zatawala katika siku ya pili ya maandamano kupinga kifo cha mtu mweusi alieyeuawa na Polisi

    Idara ya Haki ya Marekani imesema imeupa kipaumbele cha kwanza uchunguzi wa Polisi kuhusika na kifo cha George Floyd huku maandamano ya vurugu yakiingia siku ya 2 Idara hiyo imesema Waendesha Mashtaka Waandamizi na Wapelelezi kutoka FBI (Federal Bureau of Investigation) wanachunguza kuangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…