Je, mtu huyu anasifa za kwenda Kusoma Comb ya PCB kidato cha tano Government?

Croson

Member
May 29, 2020
13
1
Je, Mtu mwenye ufaulu huu Civ - C , Geo - C , Kisw - C , Eng - C , Chem - C , Bio - C , Phy - D , Math D , Hist - D anae 3 . 22 anaeza kwenda advance Government comb ya PCB 2020?
 
Mhm.... Wee uende kusoma pcb na karai la biology na d ya physics... Ebu acheni utani bana
 
Hawezi, Kimsingi hata akilazimisha kutoboa itakua shida

Kwa ufaulu huo bora aende college akasome program za afya
 
Anaweza ila kuiweza PCB ndo itakuwa msala .unaweza ukapoteza miaka miwili alaf uje utumie chet cha fom 4 kuendea diploma.

Ushauri:aende diploma tu mapema kama anapenda course za afya
 
Anaweza ila kuiweza PCB ndo itakuwa msala .unaweza ukapoteza miaka miwili alaf uje utumie chet cha fom 4 kuendea diploma.

Ushauri:aende diploma tu mapema kama anapenda course za afya
Mi limenikuta kwa kijana wangu, bora aende diploma mapemaaa!
 
Anaweza ila kuiweza PCB ndo itakuwa msala .unaweza ukapoteza miaka miwili alaf uje utumie chet cha fom 4 kuendea diploma.

Ushauri:aende diploma tu mapema kama anapenda course za afya
Lakini possibility ya kusoma CBG si ipo...??
 
Kama anataka a level tu bas Akafanye CBG, PCB labda akasome private kwa serikalini sio rahisi
 
Je, Mtu mwenye ufaulu huu Civ - C , Geo - C , Kisw - C , Eng - C , Chem - C , Bio - C , Phy - D , Math D , Hist - D anae 3 . 22 anaeza kwenda advance Government comb ya PCB 2020?
Kwa shule za serikali hii tahsusi ya PCB ina ushindani sana si rahisi kwa yeye kupata japo inaweza tokea bahati. Sasa unaweza usubiri akichaguliwa comb ingine ufanye jitihada za kumhamishia pcb shule hizo hizo kama una wakuu washule unaofahamiana nao japo lazima upitie kwa katibu tawala mkoa au tamisemi kwenyewe. njia ingine ni kujua ndoto ya mwanao kusoma pcb ni ipi mfano kama ni kuwa doctor unaweza mwombea diploma vyuo vya nacte ordinary diploma in clinical medicine au kama ni kuwa mtaalamu wa maabara utaomba Ordinary diploma in medical laboratory sciences.
Pharmacy utaomba Ordinary diploma in pharmaceutical sciences(haina ajira sana kwa serikali ni kujiajiri) na nursing utaomba Ordinary diploma in nursing and midwifery.
 
Jamani acheni kumdanganya PCB sio mchezo kwa hzo marks hakuna hapo Na marks za chin awe Na C FLAT
 
Back
Top Bottom