Sababu za kiroho kwanini George Floyd amekufa kifo cha MTU mwingine

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,111
27,096
George Floyd was a porn star and in the industry he was going by the name " Big Floyd".

Ukiwa porn star unakuwa unakutana kingono na wanawake wengi.

Katika ulimwengu wa rohoni unapo fanya tendo la ndoa na Mwanamke automatically unakuwa umeingia katika AGANO rasmi la kiroho la kuunganisha nafsi yako na nafsi yake.

Haijalishi whether unafahamu kuhusu kanuni hii ya kiroho au haufahamu.

Kama ilivyo katika mahakama za ulimwengu wa damu na nyama, katika mahakama kuu ya ulimwengu wa kiroho ' IGNORANTIA JURIS NON EXCUSAT" yaani kutojua Sheria haku kuondolei hatia ya kosa.


So unapo shiriki ngono na Mwanamke maana yake ni kwamba unakuwa umeingia katika mkataba ama AGANO maalumu la kuunganisha nafsi yako na nafsi yake.

Na katika nafsi ya MTU ndimo ilimo andikwa safari ya maisha ya MTU huyo kuanzia anazaliwa mpaka anakufa provided other factors remain constant.

Nafsi ya MTU inaweza either kuharibiwa au kuwa upgraded Kwa sababu mbalimbali.

Moja Kati ya sababu kuu zinazo weza kuharibu nafsi hai ( nyota ya mtu ) Kwa haraka na Kwa uhakika NI zinaa.

King Solomon ame confirm this fact kwenye kitabu cha Mithali ( see FaizaFoxy for reference) ambapo anasema " MWANAUME MZINZI HANA AKILI HATA KIDOGO, KWA SABABU ANA IANGAMIZA NAFSI YAKE MWENYEWE".

He destroys his own soul . Hii soul ndio nafsi yako na ndio imebeba nyota yako.

Nature ya soul ya mwanadamu ni "ELECTRO MAGNETIC"

Unapo muingiliana MTU kimwili nafsi yako na nafsi yake zinakamatana

Unapofanya zinaa na mtu unabeba kivuli chake pamoja na vivuli vya watu wote alio wahi kukutana nao kingono.

Ndio maana huko mitaani wewe @Kidukulilo ulie jaaliwa vihela hela unapoenda kutembea na MKE WA @IddiNinga Kwa sababu Iddi Ninga Hana hela unakuwa unafanya kosa kubwa Sana katika ulimwengu wa rohoni.

Hapo maana yake ni kwamba unaenda kubeba kivuli cha ufukara cha Iddi Ninga ( majina ni mifano Tu, in real life Idd Ninga might be having more money then Kiduku Lilo )

Huyu mke wa Iddi Ninga anakuwa anatembea na kivuli cha Iddi Ninga.

So after sometime KIduku Lilo na yeye anaanza kulost kimaisha and drop to the level of Idd Ninga.

Mwanamke Kwa sababu ni mzuri na anavutia ataenda Kwa Mwanaume mwingine mwenye vihela hela.

Kwa sababu Mwanamke huyu atakuwa anatembea na kivuli cha Iddi Ninga hata Mwanaume huyo mwingine na yeye baada ya muda Fulani ATA lost.

Ndio zile mtaani wanasemaga Mwanamke Fulani ana nuksi ukitembea nae lazima ulost.

That been said it is fair to conclude that George Floyd huenda amekufa kifo ambacho sio chake. Alikuwa anatembea na kivuli cha MTU alie kutana nae kingono ambae alikuwa na kivuli hicho cha umauti.

Hakuna sababu yoyote ya msingi iliyo mfanya Yule Askari mzungu kufanya alivyo fanya.

It is like there was an unseen power behind him which was pushing him to do what he was doing..

Rest In Power George Floyd


UPDATE : HATA TUPAC , KWA MTAZAMO ALIKUFA BAADA YA KUMEZA KIVULI CHA MAUTI CHA NOTORIOUS BIG KUPITIA TENDO LA ZINAA KATI YAKE ( PAC ) NA FEW ( FAITH EVANS WALLACE)

KIVULI HICHO CHA MAUTI BAADA YA KUMVAA TUPAC KILITHIBITISHA HOJA YANGU HII KUPITIA KINYWA CHA TUPAC MWENYEWE KWENYE WIMBO " HIT EM UP" .

HIT EM UP haukuwa wimbo WA kawaida. Tupac mwenyewe hajui kwanini alikuwa kwenye wimbo ule ndio maana anathibitisha Kwa kusema " I DONT EVEN KNOW WHY AM ON THIS TRACK...."

NIMEWAHI KUANDIKA UZI KUHUSU TUPAC KUBEBA KIVULI CHA MAUTI CHA BIGGIE NA NAMNA KIVULI HICHO KILIVYO ZUNGUMZA KUPITIA TUPAC KWENYE UZI WANGU NINA U ATTACH HAPA SOON.

My spiritual opinion: Tupac Shakur alikufa baada ya kumezwa na “ kivul i” cha mauti cha Biggie Smalls .
 
Sikuungi mkono Ila tu najiuliza,yule mzungu hakujua kwamba atamuua jamaa?
Na wake wengine pembeni,yaani wanaona kabisa jamaa anaminywa anaweza akafa wanaangalia tu? Kwetu huku,tandale kwa tumbo lazima tungemvamia muzungu na kumuokoa jamaa,yaani mwenzetu mwana age mbele yetu?
Hapa nimedharau Sana blacks wa kule,kibongo bongo haiwezekani.
 
Sikuungi mkono Ila tu najiuliza,yule mzungu hakujua kwamba atamuua jamaa?
Na watu wengine pembeni,yaani wanaona kabisa jamaa anaminywa anaweza akafa wanaangalia tu? Kwetu huku,tandale kwa tumbo lazima tungemvamia muzungu na kumuokoa jamaa,yaani mwenzetu mwana afe mbele yetu?
Hapa nimedharau Sana blacks wa kule,kibongo bongo haiwezekani.
 
Wale waliokuwa wanachukua video walishindwa kusogea wote pale? Maana walikuwa wakimsemesha anawatishia bunduki sauti zinatoka walikuwa wengi, ila walifanya uzembe sana
 
I Can't breath Man.Heeey,,,,I Can't breath.
Yule askari ni katili sana.
Ma black people nao waache ukorofi na uhuni wa kupindukia.
 
MWANAUME MZINZI HANA AKILI HATA KIDOGO, KWA SABABU ANA IANGAMIZA NAFSI YAKE MWENYEWE.


Bwana Solomoni si ndio alikua mzinzi mkuu, kutokana na hayo hayo maandiko.

Yani ni Sawa Chid Benz anapokwambia " MWANANGU cocaine MBAYA Sana" Kwa sababu ame experience madhara yake.. Hiyo sentesi ali itoa baada ya kukutana na madhara ya uzinzi. So he was speaking out of a personal experience
 
Wale waliokuwa wanachukua video walishindwa kusogea wote pale? Maana walikuwa wakimsemesha anawatishia bunduki sauti zinatoka walikuwa wengi, ila walifanya uzembe sana
Kivuli alicho beba Marehemu kiliwazuia kufanya chochote. Hata huyo mzungu mwenyewe. NI kama alikuwa pushed by an external force ambayo hata yeye mwenyewe hakujua inatoka wapi.
 
Sikuungi mkono Ila tu najiuliza,yule mzungu hakujua kwamba atamuua jamaa?
Na wake wengine pembeni,yaani wanaona kabisa jamaa anaminywa anaweza akafa wanaangalia tu? Kwetu huku,tandale kwa tumbo lazima tungemvamia muzungu na kumuokoa jamaa,yaani mwenzetu mwana age mbele yetu?
Hapa nimedharau Sana blacks wa kule,kibongo bongo haiwezekani.
U can't imagine mkuu, kile ni kitendo cha ajabu Sana kuwahi kutokea katika uso wa dunia, ukizingatia Floyd alikuwa akitoa ukelele wa kushindwa kupumua jamaa linakandamiza tu na watu wanaangalizia, binafsi nadhani sheria zingeenda mbali zaidi na kuwawajibisha mashuhuda wa matukio ya namna hii.
 
Back
Top Bottom