mtu

  1. JamiiForums Tanzania Ninyi watu mliompiga Tundu Lissu mlifanya kosa kubwa sana. Hamuoni Taifa halina mtu wa kusema ukweli juu ya uvunjifu wa Haki za Binadamu?

    Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani. Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu anayejua ku-file hesabu za mwaka kwenye Tally

    Wanangu kuna mchongo nimepewa wa kihasibu ila sasa mie sijui chochote kuhusu Tally, Entry ni chache about 15-17 kila mwaka. Kampuni ni ya supplies kwenye maofisi hasa mahospitali. Wana supply materials zaidi through local purchase na imports. Sasa inatakiwa kufile hesabu za miaka miwili 2019 na...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Yanga inamuhitaji sana mtu kama Magufuli (mtu asiyeogopa watu hata kwa ubabe mambo yaende)

    Habari wadau. Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela. Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
  4. JamiiForums Tanzania Je, mtu anapokaribia kufa huhisi chochote?

    Licha ya suala hili kubaki kuwa la muhanga na tukio lenyewe la kifo bado zipo tafiti za kitabibu zilizofanyika miaka ya karibuni zinazotoa majibu changamani ya wahanga yanayoweza angalau kudokeza kiasi juu ya nini kinachoendelea. Upo utafiti ulifanywa kwa manusura wa shambulio la moyo 140...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi utamuambiaje mtu nimekumis kwa Lugha ya kiswahili?

    Hapo vip!! Nimejaribu kutafuta neno la kiswahili lakutumia badala ya hili ya kingereza la nimekumis...ni neno gani la kiswahi utaliweka liwe mbadala ya nimekumiss..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini unapokutana na Mtu uliyefahamiana naye mtandaoni

    Unapopanga kukutana ana kwa ana na mtu ambaye mmefahamiana kupitia mtandao ni vyema ukachukua tahadhari kwa kuwa sio kila mtu ni mkweli kwa namna anavyojitamulisha kwako, umri, jinsia, na nia yake kwako. Ikiwa ni lazima kukutana naye, fanya utafiti kuhusu mtu huyo ili ufahamu ukweli wake...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mtu akikamatwa akizoa mafuta kwenye lori la mafuta lililopata ajali afungwe kifungo cha maisha jela

    Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali. Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali. Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
  8. JamiiForums Tanzania Usimchaji mtu pesa ndefu, kuwa mwaminifu hautalala njaa

    Nimekuwa nashangaa baadhi ya tabia za wafanya biashara akiona mtu amepigilia mavazi safi acha yale ya kupauka Pauka ya karume au lango lango basi anamchaji pesa ndefu ili amhudumie. Watu wengine huwa hawapendi/hawajui kugalaliza akisha sikia bei ni kubwa huondoka na wewe mfanya bizinesi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli nyuma ya kupendwa na kila mtu

    Nadharia ya kimarx inayozungumzia juu ya maendeleo ya kijamii, inasisitiza Zaidi juu ya mvutano wa kijamii, nadharia hii inaeleza kuwa ili jamii iendelee ni lazima kuwapo na mvutano kati ya pande mbili zinazokinzana, upande mmoja uwe na mawazo na mwingine uwe na mawazo mbadala kisha mawazo hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Ushawahi kuingia katika mahusiano na mtu ambaye huna malengo naye ila yeye ana malengo na wewe

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana nimuoe. Ila mahusiano yetu hayakudumu binti aliniacha kwa sababu alikuwa anaona simtunzi, simpi hela...
  11. JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  12. JamiiForums Tanzania Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

    Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
  13. JamiiForums Tanzania Kila mtu ni tajiri

    Kila mtu ni tajiri kama ataamua kuwa tajiri, Mungu alimuumba mwanadamu aishi milele ndani ya bustani ya edeni ila kuishi milele kunategemeana na Kama hatakutwa na kosa la kula tunda la mti uliokatazwa, hivyo ndivyo kwenye upande wa utajiri Kwamba wote tunayonafasi ya kuwa matajiri ila nafasi sio...
  14. JamiiForums Tanzania Asikwambie mtu, tendo baada ya kumsamehe au kusamehewa na mpenzi wako baada ya ugomvi huwa linakuwa na hisia kali sana

    Unakuta basi mmegombana huko na mpenzi wako full kununiana hata simu hazipokelewi na ukifika home hamuongeleshani zaidi ya salam. Sasa siku ya siku umeamua kuomba msamaha au mpenzi wako kakuomba msamaha, hapo mara nyingi mtakumbatiana na kifuatacho huwa ni tendo. Yani hapo..... Hebu tiririkeni
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka leo kuna mtu anaamini kuwa kila mtoto anakuja na bakuli yake?

    Hii tabia ilienea sana kwa watu wa pwani ambayo walirithi toka uarabuni. 1. Kama kweli kila mtoto huja na riziki yake kwanini kuna watoto wa mtaani? 2. Kwanini kuna watoto wanaoishi katika mazingira magumu? Kaa kizembe fyatua watoto 10 huku ukiwa kibarua, umejenga kinyumba chako kama kituo cha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuwa pengo halitazibika ni uongo, kumpamba mtu tu. Kama pengo la Albert Einstein lilizibika, basi pengo lolote litazibika

    Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika. Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu mmoja ni tatizo, ACT Wazalendo inaweza kufa baada ya Maalim Seif kufariki

    Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa Maalim Seif kunaweza kuwa ndio mwanzo wa kifo cha ACT Wazalendo pia. Lakini naamini Mwamba Zitto...
  18. JamiiForums Tanzania Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

    Simba Sc ndio habari ya dunia
  19. JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  20. JamiiForums Tanzania Valentine's day

    Natumaini nyote wazima wa afya na mungu atuepushe na magonjwa yote hatarishi Amen! Wakuu hapa nina swali la kizushi. Yeyote mwenye wazo karibu :)! Kuna umuhimu gani wa kusheherekea siku ya valentine?!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…