Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

jiwe gizani

JF-Expert Member
May 25, 2021
380
506
Habarini wananzengo,

Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa.

Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu" kuna mzee mmoja alikataa kata kata jamaa asipewe hayo maji badala yake akimbizwe hospitalini na sikua na nafasi ya kumuuliza huyo mzee ni kwanini jamaa asipewe maji.

Naombeni kuuliza inamaanisha nini mtu anapoomba maji akiwa kwenye hali kama hiyo 👆 na ukimpa maji kitamtokea nini?

1622640657983.png

Huwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo).

Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"😂😂😂 Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.

Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
 
Umpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..

Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
 
Huwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"😂😂😂 Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.

Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
Dah noma sana,
 
Habarini wananzengo,

Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa.

Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu" kuna mzee mmoja alikataa kata kata jamaa asipewe hayo maji badala yake akimbizwe hospitalini na sikua na nafasi ya kumuuliza huyo mzee ni kwanini jamaa asipewe maji.

Naombeni kuuliza inamaanisha nini mtu anapoomba maji akiwa kwenye hali kama hiyo 👆 na ukimpa maji kitamtokea nini?
Kinachofatia baada ya kumpa maji ni kifo
 
Huwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"😂😂😂 Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.

Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
Mbona nikipigaga mazoezi nakunywa maji sana
 
cc Mshana Jr
 
Umpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..

Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
Kwa kuongezea mtu kama ni muovu hii kiu huwa ni lazima. ni "sakaratu lmauti" hiyo au ulevi wa umauti.
 
Umpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..

Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
Ndoshida ya uislam ,hapa tunazungumzia vitu gani vinapelekea huyu MTU aombe maji na akipewa anakufa,lakini huyuhuyu akikimbizwa hospitalini anatundikiwa drip anapona ,tunataka jibu LA kibiolojia au science, siohilo kamalako
 
inawezekana inatokana na kuwa mwili unakuwa kwenye joto la hatari pamoja naviungo vyake hivyo kunywa maji ni kama tukio lianze upya au kurudisha system nyuma.
ila nafikiri huyu mtu akipewa chai ya moto anaweza kuwa vizuri kwa kuwa itamuongezea pia sukari aliyopoteza wakati akitumia nguvu nyingi.
mawazo yangu tu
 
Inategemea na aina ya mazoezi unayofanya, kama ni mazoezi uliyozoea kufanya haina shida ila kama ukipiga mazoezi makali tofauti na ulivyozea haushauriwi kunywa maji mara tu baada ya kufanya mazoezi.

Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa hapendi sana unywe maji baada tu ya kufanya mazoezi.
Labda hii itakaa vizuri tukisema mwili ukiwa kwenye HIGH PRESSURE mfano ukimbie kwa speed bila kusimama toka Kariakoo mpaka Tegeta hapohapo upewe maji kweli unaweza kufa maana SYATEM zote na OPERATION zake zinakuwa HIGH kuMeet condition ukiweka maji una Stress mwili.
 
There are two scenarios to why a person involved in an accident would not be advised to be given water (oral hydration).

Three reasons which are corresponding with the person who is involved in an accident and exhibits wounds internally or externally.

1) Patient may aspirate the water if he is not fully conscious and it may cause choking and death or aspiration pneumonia as a late complication.

2) He may have suffered injuries which would need a major surgery and in such a case it is better if he hasn't taken any food or fluids.

3) A head injury may cause cerebral edema, and in the absence of any major blood loss, more fluids will aggravate the oedema and may cause irreversible brain damage or death.

And another scenario is with the person who has suffered a shock after being involved in an accident.

When a person is in shock, his or her body reduces blood flow to the digestive tract (stomach, intestines, etc.) in order to supply vital organs (heart, lungs, brain, etc.). As a result, water and food can not be absorbed normally. This often causes the person to vomit. Vomiting increases fluid loss, leaving him or her more dehydrated than before. Vomiting also raises the risk of aspiration (stomach contents getting into the trachea and lungs) which is quite dangerous.

But also during shock, the heart is unable to pump blood to meet the oxygen requirement in the tissues.

In relevant to the issue on hand is that blood is shunted to the vital organs such as the brain.

Note that the intestine is not a vital organ.

Hence, blood is shunted away via sympathetic actions that bring about vasoconstriction and reduce gut motility.

In this case if you give water or feed, the gut become prone to ischemia, gangrene and perforation because of the already compromised perfusion.
 
Mwili unahitaji maji mengi kuliko damu!
MTU aliyepata ajari anakuwa amevuja damu nyingi halafu mapigo ya moyo yanachenji, tatu ile hali ya upungufu wa maji unaufanya mwili uhitaji maji mengi kwa mpigo kiasi cha kusababisha stroke kwenye moyo!
Ni kama jiwe LA moto ukimwagia maji (quenching) lina pasuka!
Ndivyo mishipa ya ateri na adrenal inavyokuwa na joto kubwa kiasi cha kuhitaji maji kidogo kidgo hususa katika mfumo wa dripu!

Unampa maji mwenye kiu Kali huwezi mzuia asibugie maji mengi kwasababu anakiu! (Ni sawa na mtu aliyetoka jera anaugwadu halafu apewe papa ya kuingiza kichwa tu...jokes)

Hivyo ni hatari kumpa maji aliyepatwa na ajari kwasababu joto LA mwili linakuwa juu sana!
Njia pekee ni matone au dropping au dripu
 
Back
Top Bottom