Hi guys,
Leo hata sina mengi naomba tu kuuliza hili,
tunafahamu kuwa wanaume huwa mabingwa wa kutusifia wanawake, uwe umependeza, unanukia vizuri, au vyovyote vile inavyofaa kiheshima na huwa hawatazami huyu ni mke wa mtu ama mchumba wa mtu, huwa wana appreciate tu, na hakuna atakayelishangaa...