mtu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mzuri

    Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:- Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha, Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika. Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi...
  2. JamiiForums Tanzania Mtu abisha hodi mchana, kwanini umuulize "wewe ni nani"?

    Habari za muda huu! Mtu anabisha hodi mchana kweupe, kwanini umuulize "wewe ni nani"?! Sioni mantiki ya kumuuliza hili swali mchana. Ingekuwa ni usiku sawa maana usiku una mambo mengi. Binafsi nikigonga mlango mchana, mtu aniulize hivyo huwa natafsiri kwamba ni dalili ya ubinafsi na ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kambini Baharini: Kuna Mtu kakimbia baada ya Mganga kusema anatakiwa Yeye kwa Kafara ili Mfalme wa Nyika Afe Jumamosi

    Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini tunalaumu Mtu mwenye simu ya Gharama halafu analia hana kazi/mtaji?

    Mara nyingi tumekuwa tukilaumu au kuwashangaa watu wenye simu za gharama hadi 3m huku hawana kazi au wanalalamika hawawezi kujiajiri kwa kukosa mitaji. Tunawashangaa kwasababu hela hio alionunulia simu au alionunuliwa simu ingeweza kumpa mtaji mdogo ambao akiwa makini anaweza kuukuza ukawa...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Je, muda ni nini, na jinsi mtu anavyo weza kuwa huru na muda

    Kwenye uzi huu wa mabadiliko nimetumia njia tofauti kidogo, kwani uzi huu hauja lenga kuibadilisha jamii moja kwa moja bali umelenga kubadisha au kuboresha kiunzi cha jamii(wewe msomaji), ili kiunzi cha jamii ndicho kiibadilishe jamii. Kwani moja ya zawadi na kazi kubwa mtu anayoweza kuifanya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
  7. JamiiForums Tanzania Video ya tik tok mtu anayevunjwa shingo je nikweli?

    Tik tok Kuna video imesambaa jamaa anamvunja mwenzake shingo ambae kalala anaonekana amekufa halafu baada ya kuivuta shingo anainyonga nyonga watu wengi wameitag na kuonyesha reaction zao sambamba na hiyo video.
  8. A

    JamiiForums Tanzania PCB 3.13 kuenda kusoma udaktari nje

    Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa chuo.hapa.nchini. Nimepata phy D chem D bioE 3.13
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza PCB, nataka afya Ila siwezi kuvumiliaa kuona damu wala kuona mtu anatoka damu

    Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

    Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
  11. JamiiForums Tanzania Mtu anayezungumza kiswahili mwenye lahaja ya kiunguja

    Natafuta mzaliwa wa unguja anayezungumza kiswahili fasaha kwa ajili ya kurekod sauti analipwa vizuri ilimradi awe mzungumzaji mzuri mwenye uwezo wa kuongea dakika tano nonstop
  12. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku. Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 60 na CCM Madarakani: Ujinga, umaskini na maradhi bado havijaondoka

    Tangu tupate Uhuru 1961 sasa ni miaka 59 . Lakini wale maadui 3 ambao ni ujinga, umaskini na maradhi bado wanawatesa Watanzania. Je, tuendelee kuwapa kura CCM ili waendeleze mapambano waliyoyashindwa kwa miaka 59? Tuwanyang'anye mamlaka kwakuwa wameshindwa kutokomeza ujinga, umaskini na...
  14. JamiiForums Tanzania Ni nuksi Kwa taswira ya mtu kuonekana kwenye Gari lililo beba mwili wa marehemu

    Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car" Suluhisho ni nini? Kufanya maombi mazito kama ni mkristo... Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu Kufanya tambiko Zito la...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
  16. JamiiForums Tanzania Ni vizuri watu mkawa makini Mtu kama Mh. Mbowe yuko na Mtaji wa watu hivyo kutaka kumpoteza nikujilisha upepo tu.

    Unfortunately hii Serikali inajilisha upepo , kupoteza Fedha na hela za walipa kodi kwa ajili ya kulifuta jina linaoitwa Mbowe ni kujidanganya. Hii ni sawa na mtu kuchota maji mtoni na kuyapeleka baharani. Mbowe yuko na back up ya watu almost Million 30 Tz na nje. Mimi naona hii ligi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujizuia kumpenda Rais Samia, nimegundua kuwa ni mtu wa mila za asili ya babu zetu aliyejificha, Atatuvusha

    Wakati nasoma chachi histori mle ndani nilikuta vitu vya kushangaza na ilichukua miaka mingi kuelewa, zamani nyuma ya kalne ya 16 kule ulaya kulikuwa hakuna uhuru wa kuabudu, napo sikuelewa uhuru upi wa kuabudu kwani tayari Yulopa zilikuwa nchi za kikrito. Lakini baadaye nilielewa kuwa haya...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu, hivi mtu anaweza okoa pesa kiasi gani akiezeka kwa msouth badala ya kigae?

    Tofauti ya bajeti kwa anayeezeka kwa msouth na anayeezeka kwa vigae ni pesa ngapi?
  20. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie michezo ya kickboxing, anaweza kufa mtu uwanjani

    Aisee saa hizi Maulid Maulid amempiga mwenzake teke, jamaa kalala kwa zaidi ya dk 2, ameamka hajielewi kabisa hata wakati mshindi anatangazwa jamaa alishindwa kusimama. Hii ni ligi nzuri napenda kuiangalia kwenye Vitasa plus, lakini nimeshangazwa hakuna Watu wa huduma ya kwanza uwanjani, maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…