mtu

  1. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu! Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Najiuliza, ipo faida gani wanapata wanasiasa, kuyageuza mema ya mtu kuwa ubaya kwa wananchi?

    Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu Kumebadirika nini leo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

    Mwaka ndio bado mmbichi kabisa naamini uko salama salimini. Ni ukweli kwamba mtu kuoa au kuolewa haimaniishi kwamba ndio amefungiwa kabisa kupenda na kupendwa na mwingine ila kinachofanyika huwa heshima ya kiapo tu. lakini pamoja na kiapo bado hisia na tamaa au mazingira huwa yanalazimisha...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu anaye/aliyevunja Katiba,dawa yake ni kuondoka hata kwa kufanyiwa alichofanya

    Dear Members, Heri ya Mwaka Mpya 2022, Leo nikiwa nafanya ibada ya asubuhi nikiombea Nchi yetu pamoja na viongozi wake, Neno la Bwana likanijia kwa sauti ya upole likisema ..ewe Mwanadamu, andika hivi " Kwa kuwa mshahara wa Dhambi ni MAUTI na kwa kuwa kila KOSA lazima liadhibiwe na kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naitaji mtu wakuwekeza naye kwenye biashara yaukopeshaji

    HABARI WANA JAMII WEZANGU NAAMINI TUMEAZA VIZURI MWAKA 2022.KIUKWELI NAPENDA SANA NANA FURAIA UWEPO WA WADAU ASA KWENYE SECTA YA UCHUMI .NINAWAZO LA BIASHARA NAKWAKIASI NAIFANYA LAKINI MPAKA OFISI NIMEFANIKIWA KUFUNGUA LAKINI KIUKWELI NAZIDIWA NAWATEJA NA MTAJI WANGU BADO AUTOSHI KWAANAYEITAJI...
  7. JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kulaumiwa kimataifa, lakini kwa Katiba yetu ilivyo sasa, huhitaji sababu kumuondoa Rais ikulu

    Katiba yetu ni ya ki war lordism. Ni jungle justice. Natural justice. Kariba yetu imeandikwa na Charles Darwin. It is about survival of the fittest. The leader can be challenged at any time. Kama ambavyo recently ilikuwepo referendum ya Scotland kutaka kujitoa kwenye Union. Iliposhindwa Ile...
  8. S

    JamiiForums Tanzania MiCCM inwakeep Bize wapinzani - Wanatumia style ya kufa mtu

    Ndugu zangu wale wanye uchu na nia ya kuiondoa CCM madarakani ( Tuseme kuivua gamba CCM), kuna kamtindo kamezuka cha kuwahamisha wapinzani kwenye reli na kuwasababishia kupinduka. Kama mmeona:- a) Valangati la wabunge wa Chadema. b) Tozo. c) Sakata la wamachinga. d) Kesi ya kubambikizia ya...
  9. JamiiForums Tanzania Mtu anayejua accounting packages anahitajika

    Natafta mtu ambaye anazifahamu accounting packages vizuri na mwenye uzoefu na kuzitumia especially tally naomba tuwasiliane kuna mchongo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuimba

    Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki. Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam. Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji. Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...
  11. JamiiForums Tanzania Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mchungaji Mwingira

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira. Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano?

    Eti wakuu, kwa Dar wapi mtu anaweza kwenda kuvua kwa ndoano na kurudi na kitoweo. Au akafanya kama burudani lakini ssmaki anapata? Najua kuna bahari, lakini kuweza kuvua kwa ndoano na kupata mboga ni kitu kingine.
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiri watafanya mzaha na CCM kwa kuwa mwenyekiti ni mwanamke wajiandae kisaikolojia, kadhamiria kuchoma vichaka majoka yasijifiche

    Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui. Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  16. JamiiForums Tanzania Sisi Team Polepole kinachotuuma ni mtu wetu kunyan'ganywa V8, yaani hatukubali komredi apande starlet

    Tunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

    Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
  18. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
  19. JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

    Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni. Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…