mtu

  1. Liverpool VPN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sisi Team Polepole kinachotuuma ni mtu wetu kunyan'ganywa V8, yaani hatukubali komredi apande starlet

    Tunaomba mtuelewe, sisi tumeumia sana jamaa yetu kunyan'ganywa V8, tena zile mpya zilizotumika kwenye kampeni, tunaomba mtuelewe maumivu yetu. Hii krismas hataenda kijijini kwake maana watamuuliza liko wapi wakti alishawaambia alilinunua yeye
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu hawezi kula kumbikumbi

    Haiwezekani mtu na akili zako timamu ukala kumbi kumbi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama uliwahi kusoma darasani, kuishi karibu au kujuana na mtu maarufu (celebrity), maisha yake yalikuwaje?

    Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
  6. Pinkman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni jibu gani zuri kwa mtu anayekutumia msg ya kukuacha kwa dharau?

    Wakuu kwema? Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini. Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni. Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa juu ya kumdhamini mtu mahakamani

    Nimemwekea mtu dhamana Mahakamani, je, anaruhusiwa kusafiri?
  8. Determinantor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachwa kunaumiza sana, asikwambie Mtu

    Nimeikuta mahali hii kitu, jamaa anaachika LIVE kisa maisha yamekua magumu. Wanawake Mungu anawaona.....
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye busara na hekima akinena wahusika wajitafakari na kunyumbulika akili

    Salama wandugu Kwa maneno haya ya mtu mwenye busara alivyonena naomba wahusika wajitathimini na wanyumbulishe akili zao
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas. Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali. "Watanzania tumshukuru...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Umejifunza kitu Gani kuhusu majibu ya huyu Cannibalist ( MTU anaekula nyama ZA watu)

    Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana kupewa uchungu ili mtu ajifungue mtoto

    Wakuu habari Ndugu yangu anasumbuliwa sana na kuumwa tumbo tangu alipopata ujauzito. Kwa Sasa ujauzito ni wa miezi tisa nadhani na siku kadhaa. Je anaweza kwenda hospitalini akapewa dawa au sindano apate uchungu wa kujifungua, ili ajifungue mtoto ili apumzike na maumivu Naomba kuwasilisha
  13. T

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Sinopharm, Johnson & Johnson na Sputnik hazina uwezo wa kumkinga mtu dhidi ya kirusi kipya cha Omicron

    Tafiti zimeonyesha kua chanjo ya J&J na chanjo ya China, Sinopharm hazina uwezo wa kumkinga mtu pale atakapopatwa na kirusi kipya cha corona cha omicron. Utafiti umeonyesha kwamba chanjo hizo hazina uwezo wa kutoa kinga yoyote kwa mgonjwa wa omicron. Kwa sasa kama umechanja hizo chanjo ni...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Sijaomba msamaha wala sijamtuma mtu kuniombea msamaha

    KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki. “sijaomba msamaha...
  15. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hana nongwa na mtu ,ni rais mwenye karama ya uongozi,

    Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule Yule na Nia yake ni ileile.ya kuwaunganisha watanzania.kutibu majeraha yaliyotokana na mbinyo wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CCM Msijitoe ufahamu mtu pekee aliyekuwa nawabeba ni Magufuli! Sasa hayupo jiandaeni kisaikolojia!

    Nasema hivo kutokana na ukweli kuwa chama cha mapinduzi 2015 wananchi walikuwa wameshakikataa kwa kuchoshwa na rushwa iliyokithiri ya utawala wa kipindi hicho!Ujio wa Magufuli ambaye tayari alikuwa ameshajipambanua kwa wananchi kwa uchapakazi wake kuliwafanya baadhi ya watanzania kurudisha moto...
  17. Midimay

    JamiiForums Tanzania IKULU mkianzisha Wizara ya Gender, basi mpeni Ndalichako, ateuliwe Mtu Mwamba kwenye Elimu.

    Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015), naamini itakuwa wizara ya Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto. Kwanza Hongera kwa kuona ukubwa...
  18. byakunu

    JamiiForums Tanzania Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

    Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi, kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Mtibwa Sugar FC 'Kaua' Mtu Goli 7 cha Kushangaza Redioni leo anasifiwa aliyemfunga 'Mnyonge' na asiyejua Goli 4 kwa Mkapa jana

    Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza. Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa Mkapa na Kumfunga zile Goli 4 ni sawa tu na Kupiga Bomu Mochwari na Kujisifu kuwa Umeua Watu wengi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wabobezi wa sheria tunaomba tafsiri ya kisheria tofauti ya mtuhumiwa kufutiwa mashitaka na mtuhumiwa kusamehewa mashitaka..

    1.Wabobezi Wa sheria naomba mtupe tafsiri kati ya kusamehewa mashtaka na kufutiwa mashtaka.... 2.Kati ya kusahewa mashtaka na kufutiwa mashtaka ni njia ipi inamsafisha mtuhumiwa mbele ya macho ya jamii.... 3.Ni njia gani ya kuondolewa mashitaka inamtofautisha mtuhumiwa alietenda kosa na...
Back
Top Bottom