mtu

  1. masai dada

    JamiiForums Tanzania Msione mtu anamn'gang'ania mtu kuna vitu havielezeki

    Mume wangu ashanipiga matukio lakini ile kufikishwwa kileleni jamani ni adimu sijawahi pata popote. Kwa hiyo najikuta mwaka wa 5 huu. Usiwaone watu wapo kwenye mahusihano mabaya mbele ya macho yenu unamshauri mtu tokaa hapo ila wapi kuna kitu tu hakuelezi. Vitu vyenyewe ndio kama hivyo jamani...
  2. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mtu anatumia makaa ya mawe kama mbadala wa mkaa

    Ikoje hii kiafya? Kwanza una harufu kali sana..ni kujiongeza baada ya gharama za gesi kupanda au tuiteje? Ningependa kujua kama ni sawa au sio sahihi kwa matumizi ya nyumbani.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Umri ni mamba tu kama mtu ana uwezo uliotukuka acha ateuliwe! Kwani vijana wamefanya maajabu gani?

    Kama mtu.anaweza.kudeliver kwanini asiteuliwe? Umri ni namba tu Vijana akina Sabaya, Nassari, Makonda, Silinde, Kigwangalla, Waitara, Katambi nk.... nk wamewahi kufanya maajabu gani? Hapa Jf hata Pascal Mayalla akipata teuzi.mtadai ni mzee wakati anatema madini kuliko Bavicha Wote wa hapa...
  4. dirtyboy

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu aliye ishia kidato cha pili na kufaulu kujiunga na QT

    Habari za wakati huu wana JF. Kuna bwana mdogo mmoja alifanikiwa kusomo hadi form four lakini kabla ya kusajiliwa kufanya mtihani wa mwisho akapatikana na kesi iliyo mpelekea kufukuzwa shule 2019. Kwa sasa anatamani kufanya mtihan wa form four ili aweze kufata ndoto zake. Swali ni je, anaweza...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu analika niendelea naye au nimkaushie tu?

    Nimeona kapost picha ya bwana yake, nikamuuliza ndio shemeji au?akajibu ndio, nami nikamwambia he looks smart, akanijibu smart kama wewe. Hii sentence ya kumfananisha mumewe na mimi nyie mnaitafsiri vipi wakuu?
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Jana nimedundwa kisa mke wa mtu

    Wakuu hapa niko hospital Jana nimepigwa vibaya mno. Nilienda grocery moja hivi nikamkuta mhudumu mmoja wa kike mzuri balaa, nikaanza kumtongoza kumbe pembeni jamaa aliyekua anapiga mvinyo ni bwana ake tena wa ndoa. Alivyooana namtongoza yule manzi akanionya me sikusikia, mara ya tatu coz I was...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Chadema na Rais Samia: Mtu hakatai WITO hukataa anachoitiwa

    Kuna watu wanasema hakuna sababu ya Chadema kukutana na Samia kwa mwenendo wa tunayoyaona including issue ya Halima et al. To me, kwa mazingira ya leo baada ya Mwendazake, ambaye alikuwa Jiwe kama ametokea mtu akasema njoo tutungumze, si busara kukataa wito. UTAKATAA UNACHOITIWA. Busara za...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ukimkaribisha mtu kinywaji ni jukumu lako kumfharamia.

    Unapomkaribisha mtu iwe bar, public house au nyumbani kwako, ni jukumu lako kumfharamia kwa vyote utakavyo milipia. Hujui huyu unaemkaribisha mfuko I ake uko vipi. Si ajabu amebaki na laki moja anaipigia mahesabu itakavyookoa hali ya uchumi nyumbani mpaka mwisho wa mwezi atakapo pokea...
  9. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
  10. lukala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu makini sana

    Kwanza kabisa ni declare my interest, nimekuwa muumini sana na siasa za Mh, Jakaya Kikwete pamoja Ally Hassan Mwinyi. Twende kwenye point yangu ya msingi, huyu mama ana siasa za kiustaarabu sana kama alivyopitia mzee wetu Jakaya Mrisho ni watu wanaoangalia misingi ya binadamu sana. Mfano Leo...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa. Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Absalom Kibanda awakosoa vikali CHADEMA, asema "Ukishakula nyama ya mtu huachi", Lema amjibu

    Mwanahabari mkongwe na Mchambuzi wa siasa Absalom Kibanda amekosoa maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake 18. “Ni kweli Mdee na wenzake 18 walikosea. Msingi wa makosa yao ni kupinga ubabe wa kihistoria wa viongozi wenzao na kudai kwao...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kwa njaa Afrika Mashariki

    Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula. Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren...
  14. mweatu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nimeamini Duniani hakuna mke wa Mtu

    Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm Watoto anawatafutia chakula cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maneno muafaka kwa nyakati hizi-siyokutafuta mtu wa kulaumu

  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mh.Samia kopa mabilioni tugawie kila mtu laki tano-tano

    Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali. Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana...
  20. Squidward

    JamiiForums Tanzania Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu. Wazee mke wa mtu ni sumu. Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu. VIDEO
Back
Top Bottom