MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

Yohana469

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
302
448
Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu bado kipara nampa nafasi kutokana na mbinu zake ,karibuni wadau kwenye uchambuzi wa mechi hii
 
Kuna uwezekano mkubwa fainali ikawa ya liverpool na city 70%(hapa naipa game 50% fifte, naiona liverpool vizuri ila guardiola si mwepesi kumpiga kama ngoma), Liverpool na real Madrid 25%(Liverpool to win is 80%) Villarreal na timu yoyote naipa 5% sababu mpira una mambo ya ajabu ila kwa asilimia 95 naamini Villarreal hafiki fainali akifika basi kulikosa kombe ni kwa 98%. Labda akutane na muhispania mwenzie ndio atafurukuta akikutana na man city itakiwa moja kati ya mechi mbovu kutizama.
 
Kama muhispania mwenzake ni Madrid ,Vilareal asahau kombe
 
Kuna uwezekano mkubwa fainali ikawa ya liverpool na city 70%(hapa naipa game 50% fifte, naiona liverpool vizuri ila guardiola si mwepesi kumpiga kama ngoma), Liverpool na real Madrid 25%(Liverpool to win is 80%) Villarreal na timu yoyote naipa 5% sababu mpira una mambo ya ajabu ila kwa asilimia 95 naamini Villarreal hafiki fainali akifika basi kulikosa kombe ni kwa 98%. Labda akutane na muhispania mwenzie ndio atafurukuta akikutana na man city itakiwa moja kati ya mechi mbovu kutizama.

Tusiwachukulie poa V.real kamanda,
 
Yes mkuu ni game matata sana,ila kuna timu hapa duniani zikifanikiwa kupenya kwenye mchujo wa chini inakua ngumu sana kuzisimamisha, Real Madrid it's one of that teams, Real Madrid wataingia final na kubeba kikombe hiki,hapa Africa definitely Ahily ya Egypt watachukua tena ubingwa wa Africa, hizi team sio za kuziachia zifikie ngazi ta semi finals
 
Kuna uwezekano mkubwa fainali ikawa ya liverpool na city 70%(hapa naipa game 50% fifte, naiona liverpool vizuri ila guardiola si mwepesi kumpiga kama ngoma), Liverpool na real Madrid 25%(Liverpool to win is 80%) Villarreal na timu yoyote naipa 5% sababu mpira una mambo ya ajabu ila kwa asilimia 95 naamini Villarreal hafiki fainali akifika basi kulikosa kombe ni kwa 98%. Labda akutane na muhispania mwenzie ndio atafurukuta akikutana na man city itakiwa moja kati ya mechi mbovu kutizama.
Faunali ikiwa Mancity na Liver itakuwa na mvuto wa aina yake. Huku ligi huku Uefa. Ila naiombea sana city ichukue UEFA.
 
Back
Top Bottom