mtu

  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

    Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15. Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅 Usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
  2. M

    JamiiForums Tanzania New member humu..nisome

    Nipokeeni member mpya..lakini ni mtumiaji wa jamii forum tangu 2010
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya. Mizigo ni kava za simu
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hizi protokali za kila mtu kutaja wageni eti ni protokali nu ujinga na inachosha sana.

    Kila mtu anayeingia anatambua wageni. Mgeni mmoja anatambuliwa hata na wazungumzaji watano. Huu ni ujinga
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabongo bana, yaani mtu maarufu (celebrity) hajui ulipo mlima Kilimanjaro, halafu mnatupigia makelele

    Ndivyo walivyo, asilimia kubwa ya Watanzania wakiwemo wasanii na watu maarufu wengi hawajui vivutio vya kitalii kwao viko wapi, wao wapo wapo tu siku ziende, hawaitalii nchi yao kabisa, hawana desturi kama ilivyo kwetu sisi Wakenya ambapo tumegeuza kibao kabisa, tunaitalii nchi yetu kote, vijana...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hajaenda karantini wakati mtu aliyekuwa nae ana COVID-19!

    Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga. Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani tukio la jaribio la kutaka kukatwa mkono kwa mtu mwenye ualbino

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) yalaani tukio la jaribio la kutaka kukatwa mkono kwa mtu mwenye ualbino
  8. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka huyu, yupo wapi?

    Kuna jamaa mmoja alikuwa anaitwa dj DON NAMILISON yupo wapi sasa?Nakumbuka maandiko yake ya kutisha,kejeli,kujiamini na mara ya mwisho akasema anataka kwenda nje.Yu wapi huyu.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
  10. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

    Ni mara ya tatu sasa naenda kwenye duka la linalomilikiwa na serikali linalouza asali ila sijawahi kufanikiwa. Duka lipo karibia na mataa ya Chang'ombe kama unaelekea mkuki house (Dar es Salaam). Lile duka hawapokei cash malipo ni kwa control namba, lakini hata hiyo control namba mara zote ni...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kwanini kila mtu au asilimia kubwa wamekuwa mitume au Mapasta au watumishi? Je, ni ugumu wa maisha!

    Leo katika pita pita zangu kila nilipokuwa nakaa tu anatokea kijana eti anataka aniombee yeye ni pasta. Sasa Mimi nilikuwa nakunali tu ili kuwachora. Leo nimeombewa kitaa na zaidi ya mapasta watano. Makanisa nayo yamekuwa utitiri huku mtaani kiasi ambacho nchi imekosa uelekeo kila mtu anaona...
  13. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  15. Debby the FEMINIST

    JamiiForums Tanzania Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna ghorofa/mnara mtu anaweza kulipia na kupanda ili kuangalia mji?

    Miji ya wenzetu utalii wa hivi ni mkubwa sana. Unakuta jengo moja linatembelewa na mamia hadi maelfu ya watu kwa siku. Vipia kwa Dar, kuna hiyo huduma? Vipi Mwanza na Arusha?
  17. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishawahi kutumia Mypaseo kufanya keyword search?

    Kuna mtu amewahi kutumia Mypaseo kufanya keyword searching? Kama yupo anaweza kunipa jinsi gani naweza kupata ASV ya keywords?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia akaunti ya Peter Madeleka Twitter; utabaini ni mtu mwenye kisasi na asiyefaa kupewa madaraka yoyote

    Niombe wananchi mtembelee akaunti ya tweeter ya Peter Madeleka mjionee ni mambo Gani yaliyopo kwenye hiyo akaunti. Mimi binafsi Siku amefariki JPM ndipo nilianza kumsikia huyu Bwana nikafuatilia baadhi ya stori zake na namna awamu ya Tano ilivyomtesa akiwa Gerezani. Lakini nakumbuka baada ya...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukishamzalisha umuoe. Sasa mnawazalisha ili waolewe na nani?

    In short case za single mothers zimekuwa too much wanaforce tuwaoe siye ambao hatujawazalisha aliyakuwa wanaume zao waliowapa Mimba wapo. Nyie vijana hakikisheni mnawaoa single mothers wenu ili mbalance Mambo. Huku mtaani single Mama wanazalilishwa vibaya sana. Ni hayo tu Pasaka Njema. Mfano...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama alipost picha za maiti na waliopigwa risasi huko Twitter lakini akajiunga na Serikali ya Umoja kwa ajili ya tumbo lake anafaa kweli huyu mtu?

    Alilalamika kuwa maelfu ya wapemba walipigwa risasi na wengi kuuawa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2020. Lakini kwa jinsi navyopenda pesa na kulisha tumbo lake alisahau kuwa kurasa zake za twita zilijaa picha za wapemba waliopigwa risasi na kuuawa na akaunga umoja na aliodai ni wauaji. Sasa huyu...
Back
Top Bottom