mtu

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

    Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo. Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa uhifadhi na uchunguzi zaidi. Marehemu hakuwa na kitu chochote cha kumtambulisha
  2. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Msemaji wa Azam ni mtu wa hovyo

    Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi. Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake...
  3. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu aliyepandisha jini/ mwenye majini? Tupe uzoefu wako

    Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips. Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu. Basi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
  5. JamiiForums Tanzania Kila mtu na mnyonge wake, Lema ampa AMRI moja Peter Msigwa ya kufuta maoni yake, Afuata

    Chama kina wenyewe. Na wenyewe wana makazi chini ya mlima mrefu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mawazari tunao wengi, ila Mh Lukuvu ni zaidi ya waziri, kuna mtu anaogopa kufunikwa....

    1 Nchi yetu kupata maendeleo ya kweli, mpaka watu wote wenye wivu kwa watu wachapa kazi watakapoacha kuzaliwa! 2. Ili nchi yetu ifikie maendeleo ya kweli, tunapaswa tupate katiba itakayotoa mwongozo wa wananchi wenyewe kuwakataa wazembe na kuwakingia kifua wote wachapakazi na wapenda maendeleo...
  7. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichomg'oa Lukuvi pale Ardhi

    Uswahiba na hayati Kuzuia uendelezwaji wa shamba la mtoto wa mstaafu pale Dakawa Kuzuia hati ya magumashi ya eneo la wazi pale shimo la udongo iliyokuwa ya mke wa mustaafu na mfanyabiashara ambaye amekuwa maarufu sana kwa sasa hasa upande wa mpira. Hayo ndiyo yaliyomuondoa huyu mkongwe na...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC tafadhali hili Galasa Moukoro achaneni nalo, ila huyu Udoh tafadhali msainisheni upesi sana kwani ni Mtu na Nusu

    Hassan Dilunga, Peter Banda na Yusuph Mhilu wana uwezo mkubwa kuliko huyu Chitec Moukoro wenu ( Raia wa Ivory Coast ) hivyo wala msithubutu au kupoteza muda Wenu Kumsajili kwani kwa Jicho langu Kali la Kimpira na Kiufundi ni wa Kawaida mno halafu hata Mpira wenyewe nao haujui. Ila kwa huyu Nusu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais ana taarifa nyingi za siri, hakukurupuka kusema wanafanya hivyo kwa sababu ya "2025 fever". Muda ni hakimu wa haki

    Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani. Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani na alitokea sehemu gani, ni ujinga na upumbavu

    Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani. Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Zipi dalili za mtu aliyepungukiwa sukari mwilini ?

    Naomba kujua dalili za mtu alipungukiwa sukari mwilini kabisa. Asanteni
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

    Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi. Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu nimemwona Jana 'Zanzibar' akiwa na 'Ulinzi Mkali' sana' tatizo ni nini wakati kule ndiko anakotoka?

    Ina maana huko tunakotoka pia nao hawatupendi hivyo tunaogopa wanaweza kusababisha tena Siku 21 za Mapumziko na Bendera kupepea Nusu Mlingoti au?
  14. JamiiForums Tanzania Biblia haijasema asiyefanya kazi asile, Imeandilwa Ikiwa mtu hataki kufanya kazi, basi, asile chakula.

    Habari! Msingi wa andiko hili ni kuonyesha neno moja katika mstari wa Biblia 2 Thes. 3:10 ambalo lina maana kubwa lakini linasahaulika. Neno "HATAKI" linaachwa kisha watu husema kuwa asiyefanya kazi asile. Kwa zama zile za uandishi wa agano jipya yawezekana kazi zilikuwepo nyingi kulingana na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Job Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu kwa mtu asiyehusika ni bahati mbaya au makusudi?

    Ni vigumu kuamini kuwa Mheshimiwa Ndugai hajui utaratibu wa kikatiba wa kujiuzulu nafasi ya uspika. Kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania spika au naibu spika anaweza kujiuzulu nafasi yake kwa kuandika barua kwa BUNGE na kuisaini. Spika atahesabika kuwa amejiuzulu baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kunitengenezea App ya android kwaajili ya blog yangu

    kama nilivyozungumza hapo katika kichwa cha chapisho mimi ni mmiliki wa blog ya michezo, nahitaji mtu atakae weza kunitengenezea app ya android ambayo itakuwa ina sehemu ya live score pamoja na sehemu ya kusikilizia radio, blog yangu ni hii www.binruwehy.blogspot.com ipo katika platform ya blogger
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naendelea kuimarika na kuachana na mapenzi ya wame wa mtu

    Niende kwenye mada Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya. Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la kuachia hili jambo mapenzi yaliyoumbwa ni kitu kibaya Sana. Msijaribu hiki kitukiukweli kwann ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Furahieni, shangilieni lakini mtambue Tanzania hakuna separation of Powers na mtu mmoja anaweza kuikanyaga katiba anavyotaka kwa manufaa yake.

    Katiba yetu kwenye ibara ya nne ipo wazi kwa kugawa madaraka kwenye mihimili mitatu. Na hii yote ni kuhakikisha kuwa mtu mmoja kuwa kiongozi wa mhimili mmoja na kisha kuwa na madaraka ya kuamua lolote anavyotaka kwa udikteta. Ndio maana kuna Executive, Bunge na mahakama. Sasa kama mkuu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Job Ndugai, asema lazima kuna jambo

    Kwenye video hii Tundu Lisu amemtetea spika Ndugai kutokana na kukataa kwa mara ya kwanza bunge kuwa rubber stamp wa serikali, kwani mikopo yote hupita bungeni lakini huu wa trillion1.3 haukupelekwa bungeni mbali ulipitishwa juu kwa juu! Lisu amesema Ndugai amekaa bungeni kwa miaka 22 huku...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Najiuliza, ipo faida gani wanapata wanasiasa, kuyageuza mema ya mtu kuwa ubaya kwa wananchi?

    Hakuna asiyejua, miaka mitano yote, wananchi mjini na vijijini, waliunganishiwa umeme kwa bei hiyo ambayo leo inasemwa, hapo katikati tulidanganywa na haiwezekani! Na wakati huohuo, hata anayesema hivyo, huko nyuma alipita kila mahali kutangazia wananchi bei ya 27000 tu Kumebadirika nini leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…