Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,463
113,533
Wanabodi,

Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors.

Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina.

Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. Ali Hassan Mwinyi
  3. Benjamin William Mkapa
  4. Jakaya Mrisho Kikwete
  5. John Pombe Magufuli
  6. Samia Suluhu Hassan
Dini Zao
  1. Mkiristu
  2. Muislamu
  3. Mkiristu
  4. Muislamu
  5. Mkiristu
  6. Muislamu
KImahesabu ni tatu kwa tatu!.
Hapa kwenye Dini zao, naona kama kuna kupokezana kati ya Mkiristu na Muislamu, jee is it planned au imetokea tuu?. Kama ni planned, then anayefuata ni lazima atoke upande wa pili. If it just happened, then anaweza kufuatiwa na wa kutoka upande wowote!.

Denominations zao
  1. Mkiristu RC
  2. Muislamu
  3. Mkiristu RC
  4. Muislamu
  5. Mkiristu RC
  6. Muislamu
Kwa Wakristu, rais akiwa Mkiristu je ni lazima awe RC?. Kwanini wote walioshika urais ni RC only?!. Is this planned or it just happened?.
If it's planned ni nani anayepanga?. Hivi Wakristu wa dominions nyingine kama Lutherans, Anglicans, Wasabato, Walokole etc hawawezi?.

Kwa Waislamu, Tanzania tuna Sunni, Ismailia, Ahamadia, Answasumna, wale Mabohora, jee nao kuna siku watapata zamu?.

Uhai wao
  1. Amekufa
  2. Yuko Hai
  3. Amekufa
  4. Yuko Hai
  5. Amekufa
  6. Yuko Hai
Kwa upande wa uhai, hapa ni 3-0, (tatu bila!) Wakristu wote down, Waislamu wote up!.
Jee kuna uhusiano wa dini fulani na longevity?. Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?!.

Elimu Zao
  1. Straight to University Masters Level
  2. Aliunga Unga ila alipata Masters
  3. Straight to University Masters Level
  4. Japo ni straight to University Ila alipata Bachelor ya GPA fulani hivi!
  5. Aliunga unga to University hadi Ph.D iliotiliwa shaka humu JF, (mtia shaka just vanished into thin air!)
  6. Aliunga Unga to Masters!.
Jee kuna ubaya tukazijua scores zao za O-Level, A-Level na GPA zao? ili ku establish kitu kinachoitwa IQ
kuna High IQ, Average IQ na Low IQ
hii classification kwa IQ, naomba nisiifanye kwasababu...
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu?.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.

Matumizi ya Busara
  1. Busara Sana
  2. Busara Sana na ustaatarabu
  3. Hakuna Busara Ila Ustaatabu
  4. Muungawana, Busara, Ustaarabu
  5. Hakuna Busara, Uungwana wala Ustaarabu
  6. Busara, Uungwana, Ustaarabu Ila na Mipasho!.
Kwanini watu wa dini fulani ndio wanaonekana na busara zaidi kuliko wa dini nyingine?. Jee kuna uhusiano wa dini ya mtu na busara?

Dhana ya Udikiteta
  1. Dikiteta
  2. Hakuwa Dikiteta
  3. Dikiteta
  4. Hakuwa Dikiteta
  5. Dikiteta
  6. Sio Dikiteta
Viongozi wetu madikiteta au wenye udikiteta ni wa dini fulani tuu!. Jee kuna uhusiano wa dini na udikiteta?.

NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, Sauti Imeshauri Mama Amkabidhi Kwanza Dr. Mwinyi, Urais wa JMT, Ndipo Aje Mwanamke!
Paskali
 
Wanabodi,

Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling.

Hili ni swali valid linalohitaji majibu ya kina.

Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. Ali Hassan Mwinyi
  3. Benjamin William Mkapa
  4. Jakaya Mrisho Kikwete
  5. John Pombe Magufuli
  6. Samia Suluhu Hassan
Dini Zao
  1. Mkiristu
  2. Kiislamu
  3. Mkiristu
  4. Muislamu
  5. Mkiristu
  6. Muislamu
Uhai wao
  1. Amekufa
  2. Yuko Hai
  3. Amekufa
  4. Yuko Hai
  5. Amekufa
  6. Yuko Hai
Elimu Zao
  1. Straight to University Masters
  2. Aliunga Unga
  3. Straight to University Masters
  4. Aliunga Unga
  5. Straight to University Ph.D
  6. Aliunga Unga
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu na longevity?.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.

Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.

NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
Paskali
Ngoja waje utaambulia matusi walahi
 
Hauni hao wakristo wamekufa wote 🤣🤣🤣

Huoni mkristo wa kwanza ndo aliua nchi kubaribu viwanda kweny mikoa kisa mikoa hyo inaishi waislamu

Huoni mkristo wa Kwanza aliweka mikakati ya kufelisha waislamu mpaka ulipokuja mfumo wa mamba chini ya kigoma malima
 
Wanabodi,

Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling.

Hili ni swali valid linalohitaji majibu ya kina.

Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. Ali Hassan Mwinyi
  3. Benjamin William Mkapa
  4. Jakaya Mrisho Kikwete
  5. John Pombe Magufuli
  6. Samia Suluhu Hassan
Dini Zao
  1. Mkiristu
  2. Kiislamu
  3. Mkiristu
  4. Muislamu
  5. Mkiristu
  6. Muislamu
Uhai wao
  1. Amekufa
  2. Yuko Hai
  3. Amekufa
  4. Yuko Hai
  5. Amekufa
  6. Yuko Hai
Elimu Zao
  1. Straight to University Masters
  2. Aliunga Unga
  3. Straight to University Masters
  4. Aliunga Unga
  5. Straight to University Ph.D
  6. Aliunga Unga
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu na longevity?.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.

Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.

NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
Paskali
Nadhani ulitaka kusema as a sample siyo as a sampling! Hii ni profession kama mlivyo wanahabari!
 
Isipokuwa hata Maandiko Matakatifu yanafundisha kuwa na rehema na hiyo huwezesha kuwa na maisha marefu sana!

Ukali , ukatili, visasi, hasira havifai .

Ndio maana Imeandikwa;

“ jua lisichwe mngali na hasira moyoni “

Manufacturer wa mwanadamu ndiye ametoa maelekezo kwenye user manual yake (Biblia).
 
Well, nijuavyo mimi Capitalism na na Christianity 1-1, Christianity ndio baba wa Capitalism au kwa maneno mengine Christianity imeanzisha Capitalism au free market economy inayotawala Dunia ya leo.

Pia usisahahu corruption kubwa nchini mwetu imetokea wakati wa Awamu ya 4 na sasa hivi na hawa wote wawili have one thing in common, Islam.

Hii nchi haijawahi kuwa mismanaged kama sasa hivi na Awamu ya 4, …
 
Wanabodi,

Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling.

Hili ni swali valid linalohitaji majibu ya kina.

Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6.
  1. Julius Kambarage Nyerere
  2. Ali Hassan Mwinyi
  3. Benjamin William Mkapa
  4. Jakaya Mrisho Kikwete
  5. John Pombe Magufuli
  6. Samia Suluhu Hassan
Dini Zao
  1. Mkiristu
  2. Kiislamu
  3. Mkiristu
  4. Muislamu
  5. Mkiristu
  6. Muislamu
Uhai wao
  1. Amekufa
  2. Yuko Hai
  3. Amekufa
  4. Yuko Hai
  5. Amekufa
  6. Yuko Hai
Elimu Zao
  1. Straight to University Masters
  2. Aliunga Unga
  3. Straight to University Masters
  4. Aliunga Unga
  5. Straight to University Ph.D
  6. Aliunga Unga
Jee kuna uhusiano wa IQ na dini ya mtu na longevity?.
Kwa nini watu wa dini fulani shule imesimama, halafu wa dini nyingine ni shule za kuunga Unga?.

Kwanini ni marais wa dini moja tuu ndio wametangulia, lakini wa dini nyingine wote wapo?.

NB. Ni wakati naliandika bandiko hili ndio nikaisikia hii sauti
Paskali
Mkuu kwa vile umeuliza naomba na mimi nichangie kukujibu kwamba HAKUNA UHUSIANO baina ya dini ya mtu na IQ.

Nadhani tatizo ni mfumo na wala sio watu,na unafahamu fika kwamba kuna watu ni vichwa sana kama akina Prof mussa assad ambae wewe binafsi umeshawahi kufanya nae mahojiano kadhaa.

Sidhani kama unakubaliana na akili yako kwamba hao maraisi uliowataja ndio wanawakilisha watu wa dini husika ?

Nyerere pale alipofika ukristo wake haujamfanya afike pale bali ni juhudi binafsi na kujisomea kwa sababu kuna watu ambao alisoma nao na walikuwa wakristo vilaza tu,so ukristo sio hoja.

Na hawa akina jk na samia walisoma na watu ambao ni waislamu na ni vichwa sana licha ya kuwa ni waislamu,so islamu wao haukuwa sababu ya wao kutokufanya vizuri.
 
Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling.

Hili ni swali valid linalohitaji majibu ya kina.
Asante sana hata mi bado nafanya uchunguzi binafsi kuhusiana na imani ya mtu na afya yake.

Observation yako sio ya kupuuza hata kidogo.

Mfano; Kwa hapa tukiangalia ile ari/ambition ya kukabili jambo fulani kubwa huwa kifiziolojia inaongeza mkazo katika moyo na msukumo wa damu. Piga picha mtu anataka kubeba jiwe kubwa, ukimlinganisha na anayetaka kunyanyua kakokoto miitikio yao si sawa.

1. Kwa akili zilizojaa imani ya kwamba, mambo yanaweza kubadilishwa na sisi ndio wabadilishaji wenyewe huwa inapelekea stress fulani. Sasa na endapo hao watu watakuwa wamewekwa katika mazingira yenye kuhitaji mabadiliko makubwa basi wanajioverwork wanachoka mapema. Moyo na mwili wao unakuwa na miguvu miiiingi etc.

2. Ila kama akili imejaa imani ya kwamba mambo ndivyo yalivyo na yatajiendesha menyewe sisi kama ni mchango ni kidogo tu yaani kiuongozi ni laisez faire. Hawa watu wanakuwa ni kama anayejiandaa kunyanyua kakokoto tu. Mwitikio wake kifiziolojia umepoa na moyo wake hata hauhangaiki sana so hachoki mapema kuishi. Moyo na mwili vinarelax hivi

Imani ina mchango japo sio sababu pekee

UPDATE: Just kuwa clear neno 'imani' nililozungumzia hapa ni imani ya mtu binafsi anaonaje mambo na sio dini yake. Maana hata kwa walio na dini, kila mmoja anayo imani yake ya maisha yapojepoje.
 
Hauni hao wakristo wamekufa wote 🤣🤣🤣

Huoni mkristo wa kwanza ndo aliua nchi kubaribu viwanda kweny mikoa kisa mikoa hyo inaishi waislamu

Huoni mkristo wa Kwanza aliweka mikakati ya kufelisha waislamu mpaka ulipokuja mfumo wa mamba chini ya kigoma malima
Oya mods si warudishe uzi wetu wa dini tukabishane kule kijakazi wa kiarabu wewe
 
Back
Top Bottom