Kwa yanayoendelea nimeamini Duniani hakuna mke wa Mtu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,883
45,248
Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu

Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm

Watoto anawatafutia chakula cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona Mama huyu na kumsaliti Mmewe mpambanaji wa Kweli it very pain.

1652849528239.png
 
Watu wana roho mbaya watu wabaya achana kabisa na kitu kinaitwa mke wa mtu unawezw kupoteza muelekeo wako wa maisha kwa sababu ya mke wa mtu unaweza kufa kabisa achana......

Najua siku hiz wake za watu ni maji ya mbeya ila usije kusubutu utakufa
 
watu wana roho mbaya watu wabaya achana kabisa na kitu kinaitwa mke wa mtu unawezw kupoteza muelekeo wako wa maisha kwa sababu ya mke wa mtu unaweza kufa kabisa achana......

najua siku hiz wake za watu ni maji ya mbeya ila usije kusubutu utakufa
Ni sawa unaiset bunduki uku barrel umejielekezea alafu risasi zipo
 
Wakuu hapa Dunian hakuna Cha mke wa Mtu Cha msingi ni kutafta Pesa tu


Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm

Watoto anawataftia chakula Cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona Mama huyu na kumsaliti Mmewe mpambanaji wa Kweli it very pain .
Aisee kama namuona vile, ebu tuwekee picha yake kwanza tuthibitishe
 
Nilikuwa napenda nipate mda niitizame series ya BREAKING BAD na nimeikata yote nikaja gundua kuwa dunia haina usawa hata siku moja na hilo neno "karma" usije ukalitumia sana mana halina uhakika wowote.

Kikubwa ni kumtegemea Mungu akupe amani ya moyo.
 
Back
Top Bottom