GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,922
Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa.
Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi ( Diplomat ) kiasi cha Kuwateua Kizembe, Kipuuzi na kwa Kulindana tu?
Mabalozi ambao GENTAMYCINE nawaheshimu na nawakubali ni wale tu Walioteuliwa na Marais Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi na Hayati Mkapa ila kuanzia Awamu zilizofuatia Wote siwakubali na hawakustahili kabisa Kuteuliwa kuwa Mabalozi ama wa Vituo ( Nchi ) husika au wa Heshima.
Nyerere na Mkapa walikuwa Wakimteua Mtu kuwa Balozi jua ya kwamba huyo Mtu Kwanza ni very Intelligent lakini pia hata Idara ( TISS ) imeshamfanyia Screening ya kutosha na Kujiridhisha nae tofauti na ilivyo sasa.
Haingii Akilini unamtumbua Mtu katika Nyadhifa yake hapa Tanzania kwa Makosa ya Uhuni kwa Mwanaume / Umalaya kwa Mwanamke au kwa Rushwa ( Ufisadi ) au kwa Mauwaji ( Ukatili ) au kwa Kunyanyasa Watu halafu hapo hapo bila hata Chembe ya Aibu unamteua kuwa Balozi nchi fulani. Kwahiyo mnawateua waende huko wakaendeleze haya Madudu yao au vipi? Kama ameshindwa Kujirekebisha hapa Nyumbani Tanzania ndiyo mnategemea aende Kurekebishika huko abroad au overseas kabisa?
Halafu tukiwakosoeni ili Kuwajenga na Kuwafundisha jinsi ya Kufikiri na kufanya Mambo Kiutaratibu, Kiuweledi na Kimaadili mnatuchukia akina GENTAMYCINE na kutukalia Vikao vya Kutusaka mtuwahishe Udongoni.
Kuna vitu Vinakera na havivumiliki kabisa. Sasa ni rasmi na Mimi GENTAMYCINE nataka Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania ufanyike haraka na kuwe na Vipengele Viwili Muhimu 1. Mabalozi wawe ni Watu 'Genius' kabisa na 2. Ikitokea Rais anaumwa au Kafa basi Jeshi lishike hatamu kwa Siku 90 tu kisha Taifa lifanye Uchaguzi Mwingine halafu kusiwe na Cheo cha Naibu Rais au hata akiwepo asiwe na Kigezo cha ama kuwa Rais au Kugombea Urais wenyewe.
Acheni kuharibu Hadhi ya Balozi Ok?