mtu

  1. JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  2. JamiiForums Tanzania Wajameni Kila mtu amkune mwenzie ! Wote tunawashwaaa?

    Kuna kiongozi alisema tukimkuna atatupapasa!! nilitaka nimkumbushe tu kwamba na sisi wananchi tunahitaji kupapaswa na viongozi wetu Ili na sisi tuwakune! Naona ikitokea teuzi mnapapasana wenyewe ! Ila likija swala la maendeleo, Kodi na tozo mnataka tuwakune!! Iiii Bha ghosha!
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania bila tozo inawezekana

    TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Aliyejaribu kumhonga baba mtu baada ya kumpa mimba binti yake, akana kosa hilo mahakamani

    Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Erick Peter (39) amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Simanjiro na kusomewa shitaka la kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite. Peter amesomewa shitaka hilo na mwendesha mashitaka...
  5. JamiiForums Tanzania Wahuni wavuruga mfumo wa Cab Urusi, tax zote zafuruka Moscow kumchukua mtu mmoja

    Septemba Mosi, mji wa Moscow ulipata mshituko baada ya magari yenye rangi ya njano(Cabs) kufurika city centre baada tax zote kupata call kutoka kwa mtu mmoja kupitia app ya Rusian Andex, ambaye, hata hivyo hakuwa na taarifa. Hali hiyo ilileta taharuki hasa kutokana na kuleta msongamano...
  6. JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtu Makini

    Mtu huwa makini afanyapo jambo kwa juhudi na uangalifu wa hali ya juu. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii anaonekana na umakini katika kusoma kwake, mfanyabiashara anayejituma kwenye biashara yake tunamwita mfanyabiashara "Makini". Mtu makini huwa na malengo anayotaka kuyafikia, na hufanya juhudi...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Simbachawene unaeleweka ukiwa ni mtu wa umri fulani

    Jana niliwasikiliza mawaziri wakiitetea serikali ambaye ni mwajiri wao katika hili suala zima la tozo zinazotesa wananchi. Sikutegemea kipya kusema ukweli kutoka kwa Dr Mwigulu Nchemba zaidi ya kujenga hoja nyingi za aina ya maisha aliyokulia, anajiweka mbali na dhana ya utajiri unaosemekana...
  9. JamiiForums Tanzania Baina ya hawa ni yupi mtu sahihi apewe wizara ya Nishati kuihudumu?

    A) Biteko, B) Mbawala, C) Kalemani?
  10. JamiiForums Tanzania Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini niliamua kutozungumza na mtu yeyote duniani kwa miaka 17 na kutopanda gari kwa miaka 22

    Kutoka kurasa za BBC Swahili. https://www.bbc.com/swahili/articles/c90np9xz0z2o Mmarekani John Francis alifanya uamuzi wa kubadilisha maisha akiwa kijana mwenye msimamo: aliamua kuacha kuzungumza. Alikuwa kimya hajazungumza kwa miaka 17 kabla ya kugundua kwamba alikuwa na jambo ambalo...
  12. JamiiForums Tanzania Mfahamu Andrew Tate, mtu anayetafutwa sana duniani kupitia Google

    Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa. Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na kipawa kikubwa cha ufasaha, Mmarekani mwenye asili ya Uingereza mwenye umri wa miaka 35 ambaye anaishi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Nawasalimu kwa JMT, Mnyonge hanyongwi na haki anapewa. Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi. Ni nadra sana hapa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

    Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba. Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao. Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

    Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo. Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  18. JamiiForums Tanzania Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

    Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo. Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry. Nimeona sana toll gates...
  19. JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushauri unavyofanya kazi na kubadili maisha ya mtu

    Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au mabaya kulingana na vile utakavyotumika huu ushauri kwa aliyeupokea. Maisha ya mwanadamu anaeishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…