Ukatili umezidi, hivi unampaje ujauzito mtu mwenye matatizo ya akili?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,670
40,917
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.
  • You can imagine akipata uchungu nani yupo karibu yake amsaidie?
  • Atajua hata kuwa anakaribia kujifungua?
  • Atajua hata kuwa mtoto anahitaji kunyonya?
Jamani jamani. Kuna watu wazima kabisa na wanahitaji huduma na sio wendawazimu huu ni zaidi ya unyama.

1645428711250.png
 
Mkuu,
Kichwa Cha chini hakina ubongo (akili) brother

Kinaongozwa na uti wa mgongo, ambao kitaalam kazi yake ni kuongoza matendo yasiyo ya hiari.

Hilo la kuloweka kwa chizi nalo halikua hiari yake brother, Ndo maana mwishowe huwa Ni majuto na aibu(ndo maana wakishakojoa wanamkimbia)

Bora hata uyo,
Wengine wanaloweka Hadi kwa mbuzi, kuku, godoro, maiti, sabuni n.k

Juz juz apa tuliskia kesi ya jamaa kampelekea Moto punda jike mpk kafariki, Wee unadhan hapo Kuna akili ilitumika au?

Kwa wanawake kwao Ile kitu inaongozwa na kichwa Cha juu, ubongo.

Ndo maana wao Lazima watafakari Nani wa kumtunuku, Nani wakumnyima.
Akili yake isipokukubali hata hawezi kuloa, utajichosha TU labda umbake
 
Kuna mmoja karibia na hospital ya aghakan karibu karibu kila mwaka anazaa,watoto wefutana kama mapacha,na kuna baadhi ya matajiri matajiri wamepita nae,masharti ya waganga
Unaweza usikatae maana haiingii akilini kulala na mwendawazimu. Tamaa gani hizo??
 
Ila mara nyingi wanaofanya hayo ni watoto wa mtaaani, wanapokutana kwwnye maeneo y kulala ndiyo wanawatia mimba hawa vichaa, hata vitoto vya mtaani vya kike vinajazwa mimba na wenzao na sio mtu wa kawaida.
Sio kweli,
Wengine Ni watu na heshima zao.

Kuna jamaa aliwahi leta ushuhuda humu kwny Uzi weye maudhui Kama haya kua alilewa nyege zikapanda akamuona chizi yuko uchi uchi akampelekea Moto chizi kwny karavati chini ya daraja.

Ni mtu mwny heshima zake kabisa humu jukwaan.
 
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mja mzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana uja uzito wake ni mkubwa kabisa.

Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii.

You can imagine akipata uchungu nani yupo karibu yake amsaidie.

Atajua hata kuwa anakaribia kujifungua??

Atajua hata kuwa mtoto anahitaji kunyonya??

Jamani jamani. Kuna watu wazima kabisa na wanahitaji huduma na sio wendawazimu huu ni zaidi ya unyama.
Katika Watanzania 4, watatu wana matatizo ya akili
 
Inawezekana huo ujazito aliupata akiwa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom