mtu

  1. Gama

    JamiiForums Tanzania Wahuni wavuruga mfumo wa Cab Urusi, tax zote zafuruka Moscow kumchukua mtu mmoja

    Septemba Mosi, mji wa Moscow ulipata mshituko baada ya magari yenye rangi ya njano(Cabs) kufurika city centre baada tax zote kupata call kutoka kwa mtu mmoja kupitia app ya Rusian Andex, ambaye, hata hivyo hakuwa na taarifa. Hali hiyo ilileta taharuki hasa kutokana na kuleta msongamano...
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Rais mteule wa Kenya William Ruto ni mtu wa aina gani? Tanzania itegemee nini kutoka kwake?

    Eti wajuzi wa mambo ya kikanda. Rais mteule wa Kenya ni mtu wa aina gani? Tanzania tutegemee nini kutoka kwake?
  3. Makininick

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mtu Makini

    Mtu huwa makini afanyapo jambo kwa juhudi na uangalifu wa hali ya juu. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii anaonekana na umakini katika kusoma kwake, mfanyabiashara anayejituma kwenye biashara yake tunamwita mfanyabiashara "Makini". Mtu makini huwa na malengo anayotaka kuyafikia, na hufanya juhudi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Simbachawene unaeleweka ukiwa ni mtu wa umri fulani

    Jana niliwasikiliza mawaziri wakiitetea serikali ambaye ni mwajiri wao katika hili suala zima la tozo zinazotesa wananchi. Sikutegemea kipya kusema ukweli kutoka kwa Dr Mwigulu Nchemba zaidi ya kujenga hoja nyingi za aina ya maisha aliyokulia, anajiweka mbali na dhana ya utajiri unaosemekana...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Baina ya hawa ni yupi mtu sahihi apewe wizara ya Nishati kuihudumu?

    A) Biteko, B) Mbawala, C) Kalemani?
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Intaneti ni biashara si anasa. Intaneti ni ajira, si starehe kama pombe na sigara!

    Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando. Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini niliamua kutozungumza na mtu yeyote duniani kwa miaka 17 na kutopanda gari kwa miaka 22

    Kutoka kurasa za BBC Swahili. https://www.bbc.com/swahili/articles/c90np9xz0z2o Mmarekani John Francis alifanya uamuzi wa kubadilisha maisha akiwa kijana mwenye msimamo: aliamua kuacha kuzungumza. Alikuwa kimya hajazungumza kwa miaka 17 kabla ya kugundua kwamba alikuwa na jambo ambalo...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Andrew Tate, mtu anayetafutwa sana duniani kupitia Google

    Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa. Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na kipawa kikubwa cha ufasaha, Mmarekani mwenye asili ya Uingereza mwenye umri wa miaka 35 ambaye anaishi...
  9. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Nawasalimu kwa JMT, Mnyonge hanyongwi na haki anapewa. Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi. Ni nadra sana hapa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  11. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

    Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba. Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao. Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mtu akiniuliza kama nimeajiriwa naumia sana rohoni. Kuna mwingine ameshawahi experience hiki?

    Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo. Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  14. Championship

    JamiiForums Tanzania Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

    Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo. Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry. Nimeona sana toll gates...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ulikuwaje Ulivyokuwa Mtoto? Hivi ndivyo nilivyokuwa!

    ULIKUWAJE ULIVYOKUWA MTOTO? HIVI NDIVYO NILIVYOKUWA! Anaandika, Robert Heriel Shahidi! Moja ya sababu kuu zilizonifanya nikiwa mdogo nisipende kusafiri Kwenda kwa Ndugu Mjini, ni sababu ya Uvivu wangu. Nilikuwa mtoto mvivu wa kazi hasa za Kuosha vyombo😊, sipendi kutumwa tumwa hasa nikiwa na...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushauri unavyofanya kazi na kubadili maisha ya mtu

    Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au mabaya kulingana na vile utakavyotumika huu ushauri kwa aliyeupokea. Maisha ya mwanadamu anaeishi...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma! Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa...
  18. SPYnoCODE

    JamiiForums Tanzania Mtu na maisha

    Ukweli halisi ni kwamba Kila mtu anaiona dunia kwa namna yake,kulingana na akili yake, ama katika kuwaza jinsi maisha yanafananaje kinamna ya yeye ! Nikiwa katika hali ya utulivu mwingi, ndani ya ulimwengu wangu wa kufikiri... Nilijikuta nikianza kutathmini kwa namna ambavyo binadam wote...
  19. Mnazinguakinoma

    JamiiForums Tanzania Police fikirieni upya maamuzi yenu before mkamate mtu

    Jamani sasa kama mmefika huku basi mnataka vijana wote wawe wezi ili ijulikane tu kila kitu atakachofanya ni uharifu. Haya huko pwani kijana wa watu tena msanii katengeneza mfano wa bunduki(matoi) ambayo anatumia kwaajili ya sanaa hajafanya uharifu wowote lakini anaenda jera #je mnadhani...
  20. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na mke wa mtu lakini watu wananionea wivu

    Habari yako, Sorry leo nipo hapa katika jukwaa hili naomba ushauri kuhusiana na hili ninalolileta kwako muda huu. Naitwa Mr George Francis kwa jina maarufu. Kuna dada mmoja anaitwa Latipha niliwahi kusoma nae sekondari. Kipindi hicho tulikuwa na mahusiano lakini tulivyomaliza shule, mahusiano...
Back
Top Bottom