Nimempa ujauzito mke wa mtu

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Wakuu kwema?

Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa.

Jamaa yake saivi amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau majukumu yake ya kindoa, ndio akaamua kunicheki, sababu alikuwa mtu wangu na amenona, nikamualika kwangu.

Hee si ikaonekana tunakumbushia ya zamani, mwanamke akanogewa akawa anakuja mara nyingi, Vsi nimeishia kumjaza tumbo, sasa anahaha kuitoa mi nimemwambia azae tu sishiriki dhambi ya uuaji, hata kama dhambi zote ni sawa, ila bora nibakie na ya uzinzi kuliko uuaji.

So swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii? Na aliumalizaje?

Maana wiki ya 3 sasa nimenuniwa na sielewi nini kinaendelea huko upande wa pili.
 
Kuna kabila Moja Wana mila Yao,
kwamba ukimzalisha MKE asiye wa kwako jua ndo umetoa sadaka ya mbegu TU kwenye familia yao.

Mtoto akizaliwa Ni mali ya baba mwenye MKE na ukoo wao tu, haijalishi hata Kama Yuko jela au kafariki. Bado mtoto Ni Mali ya ukoo

Sasa Ukileta ujuaji unatangulizwa ahera mapema Sana ili usije vuruga amani na utulivu wa ukoo wao.

Ukizingatia tayar unakosa mkononi la kutembea na mtu, kwahyo wengi huamua kukaa na Siri iyo kifuani.

Kwaiyo mtoa mada,
You better watch your move into this.

TUSIJE KUKUSAHAU MAPEMA
 
Wakuu kwema?

Mwenzenu nina kisanga hapa, kuna mwanamke ni ex wangu, ila yeye aliolewa na wenye pesa kwa sherehe kubwa baada ya kuona mimi sieleweki na sina mpango wa kuwa mtumwa wa ndoa, jamaa yake saiv amekuwa mlevi na kiaina ni kama ameikacha familia, so mkewe baada ya kuona jamaa kasahau majukumu yake ya kindoa, ndio akaamua kunicheki, sababu alikuwa mtu wangu na amenona,nikamualika kwangu.

Hee si ikaonekana tunakumbushia ya zamani, mwanamke akanogewa akawa anakuja mara nyingi,Vsi nimeishia kumjaza tumbo, sasa anahaha kuitoa mi nimemwambia azae tu sishiriki dhambi ya uuaji, hata kama dhambi zote ni sawa, ila bora nibakie na ya uzinzi kuliko uuaji.

So swali langu ni kwa malaya wenzangu vipi ilikuwaje kwa aliyewahi kukutana na mkasa wa aina hii? Na aliumalizaje, maana wiki ya 3 sasa nimenuniwa na sielewi nini kinaendelea huko upande wa pili.
minara ya mtaro ikikuhusu njoo na reply pia...
 
Ngoja waje wenzako i hope mtaelewana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom