mtu

  1. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usije kumdharau mtu

    Nakuja ifuatavyoooo... Nasema tena kwenye haya maisha usije mdharau mtu,nakumbuka kipindi tukiwa wa dogo, msimu wa kufunga shule kwa ajili ya likizo ya December wazazi walikuwa wanatupeleka moshi kwa ajili ya kula Christmas maeneo ya machame, sasa kipindi hicho tukiwa huko machame kijijini...
  2. JamiiForums Tanzania Sioni tatizo lolote mtu kujiandaa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2030

    Mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa sasa CCM ipo chini ya Samia ambaye pia ndio Rais wa JMT. Kwa utaratibu waliojiwekea CCM ingawa haupo kwenye katiba ya chama au kanuni nyingine, mtu akiwa kwenye nafasi ya Urais kipindi cha kwanza, ni vizuri anaachiwa pia kipindi chake cha pili ili aweze...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaponesha kwa maji mkuranga anaitwa sokwe je huyu mtu ana ukweli kiasi Gani

    Kuna habari ya mtu mmoja ambaye yupo mkuranga anaponesha watu kwa kutumia maji je ina ukweli kiasi gani
  4. JamiiForums Tanzania Usikubali Mtu akaandika Historia yako. Andika mwenyewe Kwa ajili ya watoto/kizazi chako

    USIKKUBALI MTU MWINGINE AKAANDIKA HISTORIA YAKO, ANDIKA MWENYEWE KWA AJILI YA WATOTO/KIZAZI CHAKO. Anaandika Robert Heriel Baba Wakati Sisi wengine tukishindwa kutaja vizazi hata Vinne Kurudi nyuma, mfano, Baba, Babu, Baba yake Babu. Babu yake Babu. Wenzetu Wayahudi watoto wao wanauwezo wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi unamchukuliaje mtu wa namna hii?

    HIVI UNAMCHUKULIAJE MTU WA NAMNA HII? Anaandika, Robert Heriel Hivi unamchukuliaje mtu ambaye kazaliwa mjini lakini hajasoma? Yaani kuna shule na vyuo vya kutosha lakini yeye hajasoma, yaani Hana hata elimu ya diploma wakati vyuo hivyo amezaliwa amevikuta. Hivi mtu wa namna hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kumrejesha mpenzi wake wa zamani(ex)? Ulifanyaje?

    Wakuu nadhani mko poa Katika maisha ya mahusiano, kuna wakati mnatofautiana au zinatokea changamoto mpk kupelekea kuachana au kutengana. Kumrudia mpenzi wangu wa zamani(my ex) Huu haukuwa mpango wangu, siku zote nilikubali hali halisi na kuendelea kuishi maisha yangu bila wao(katika mahusiano...
  7. JamiiForums Tanzania Rais wetu wa Yanga ni mtu wa mpira kitambo sana

  8. JamiiForums Tanzania Dalili moja ya mtu mshamba ni kujua kuongea 'kilugha'

    Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye. Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
  9. JamiiForums Tanzania Idadi ya mbwa mtu imeongezeka sana nchini, nini kifanyike?

    Habari za leo, bila shaka utakuwa umeshuhudia ongezeko la vijana wanaojiita mbwa wamekaa paleee. Nini kifanyike kuwapunguza? Wizara inayohusiana na mifugo ina taarifa ya ongezeko la aina hii mpya ya mbwa? Hii nchi Ina vijana wa hovyo sana.
  10. JamiiForums Tanzania Mtu anaemubagua Mtu mwingine Kisa haamini katika Dini za Leo, huyo Mtu hajayaelewa Maisha hata Kidogo

    Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu. Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani? Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano wa kuwa zaidi ya mtu mmoja?

    Hili swali ni muhimu kwangu, naomba majibu yanayojitosheleza. Katika taratibu za nchi na za kimataifa, inawezekana kwa mtu kuwa na identity zaidi ya moja? Huko nyuma kuna watu mfano waandishi wa vitabu walitumia 'fake names' katika baadhi ya machapishi yao kutokana na sababu mbalimbali ili...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua viwanda vinavotoa ajira kwa Dar na Pwani?

    Jamani kama mnavojua vijana wengi hawana ajira. Kwahiyo mwenye kujua kiwanda kinachotoa ajira kwa Dar na Pwani naombeni msaada
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpenzi wako anakuharakisha sana akupe utamu ujue ni sababu ya moja ya mambo haya

    Kuishi kwingi kuona mengi. Siku hizi ukiona mwanamke wako anakuharakisha na kukutamanisha sana kwa maneno matamu eti ana nyege sana au ana hamu sana na wewe ujue kuna mtego unataka kupigwa. ~ Mara nyingi huwa amefulia na anajua ukienda hutakosa kuacha chochote mfukoni. ~ Kubwa zaidi kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Katika vipindi vya mafanikio ndiyo unabidi kuhakikisha hausaidii mtu ili kulinda ukwasi wako

    Hakuna kitu kibaya kama umaskini, unapoona umefanikiwa kupata pesa hakikisha haumsadii mtu, hasa wanawake. Mimi nawashangaa hawa wasiyo na kazi mnapiga mchongo mnagawana labda 800 USD halafu yeye ya kwake anawekeza katika uchi. Siku chache anaanza kutibu UTI mara Syphilis na Gono. Tujifunze...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  16. JamiiForums Tanzania Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

    Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani. Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu. Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeleta umeme Kigoma ili kuvutia Uwekezaji

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan Mkoani Kigoma, leo Jumatatu Oktoba 17, 2022 Akizindua Umeme wa Gridi ya Taifa na Uzimaji wa Jenereta katika Mkoa wa Kigoma - Kasulu Mjini. Rais Samia amesema lengo la kuleta umeme kigoma ni kuanza kuvutia wawekezaji kwenye mkoa huo ulio pembenzoni mwa nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho. Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022. Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Why do some suicide missions fail?

    Habari za leo wakuu, naomba kujuzwa inakuwaje mpaka mtu anashindwa kutimiza lengo lake la kujiua? Je ni kusema kuwa sumu anayotumia haina nguvu au ni kwamba muda wake haujafika? Naombeni majibu kuna utafiti nafanya hapa niandae ripoti. Natanguliza shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Mtu yoyote akikuomba Umsaidie Tsh 100/= tu kabla hujamjibu 'mlambe' Kwanza Bonge la 'Kelebu' akome

    Hii ni Mbinu mpya ya Wachawi (hasa wale Chuma Ulete) ambayo huitumia kwa Kukuomba Shilingi Mia Moja (Tsh 100/=) na ukijifanya Mwema, Mtoaji na mwenye Huruma jua imekula Kwako kwani Pesa zako zote zitaishia Kwake / Kwao. Na mara nyingi hawakuombi kuanzia Mchana bali huhakikisha wanakuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…