Habari wanaJF?
Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
Nimeumia sana kuona mchezaji (Mshambuliaji)wangu ndani ya kikosi changu cha Msimbazi KOPE MUSHIMBA MUGALU akibezwa na baadhi ya mashabiki wasiojielewa.
Nani hajui mziki wa huyu jamaa?
Nani hajui mchango wake kimataifa?
Kwanini hamtaki kumpa hadhi yake huyu mkongomani?
Bila shaka hiyo ni...
Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi,
Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa.
Mada yangu kama inavyosema hapo juu,
Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka,
Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku...
Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa.
Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
Kwa mtindo wa uteuzi wa watendaji wa serikali inaonekana Samia kuna watu wanamchagulia nani awe pale na nani asiwe pale.
Inachoknekana Samia hana utashi wake wa uchaguzi nani awe mtendaji flani wa taasisi fulani, wanamchagulia.
Ni jambo la kusikitisha kwamba Rais Samia chaguzi zake zote ni...
Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger.
Nitakopa kwa muda wa siku 15 au 20 tu kwa riba tutakayokubaliana.
Nipo...
Wapinzani wajiandae, MO anafanya kazi sasa naanza kuelewa. Tukipata mkabaji pale ktkt ***** aje na huyo manzoki pale mbele.
BEKI QUTTARA achukue nafasi ya ONYANGO
SIMBA ITAKUWA MOTOOOOOOOOOOOOOOOO
Jenerali Ulimwengu ukimsikiliza utagundua yeye hudhani ni very smart. Hudhani ana akili kuliko wengi. Kauli ambazo anatoa huwa hazina staha na si za kisomi.
Ni kauli za kijivuni na kibri ya hali ya juu. Ukiangalia maeneo mengi ambayo Jenerali atakuja zungumza ni pale ambapo kuna maslahi yake...
Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock.
Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
Kuzaa na mtu sio ndoa, unaweza ukazaa na mtu na asikuoe pia na hata ukalalamika kwa wazee wake kama hata taka kukuoa hatakuoa tuu.
Wasichana ujitunzi usizae tuu, na hata wazazi wako wakisema na kulalamika kwa familia ya mwanaume huyo mwanaume anaweza akakubali mtoto na asikuoe.
Kuna kijana...
Mimi bhana nakumbuka nikiwa kama house boy boss wangu alikuwa ananiamini sana hivo alikuwa na gari kama tano hivi
Alikuwa na tabia ya kuniachia funguo za gari ambayo ni chafu ili niioshe
Sasa bhana siku hiyo akaniachia funguo ya gari land cruise, alipo toka tu nikaenda kufungua gari na kutia...
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu...
Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’
Katika kujaribu...
Wakuu hii threads haihusiani na masuala ya imani za kidini, ni katika kujiuliza tu; ni kwanini Wanyama hususani jamii ya nyani ambao ndio tunashabihiana nao sana, hawatumiwi sana katika tafiti za tiba kwa ajili ya kupata viungo vya kupandikizwa watu wenye mahitaji ya viungo kama; figo, moyo...
Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli...
Yaani Klabu kama Berkane FC wamtake na Wewe na Vipesa vyako vya Dhuluma na Ukwepaji Kodi wa Ofisi yako ya Salamander Posta ndiyo umpate?
Jiandae Kuumbuka tu Kudadadeki!!!!
Ni mschana fulani hivi nilitokea kumpenda na yeye alitaka nimuoe ila mimi nilikuwa bado sina hata kitanda lakini mwisho wa siku alinipigia simu akiniomba ruhusa nimruhusu aolewe nilimkubalia ila sijajua kama kashaolewa tayari au la ila mimi nimeshaoa tayari
Kuna hii hali mara nyingi naiona kwa watu aidha hata wewe unaweza kuwa umekutana nayo unakuta mtu alikuwa mwembamba labda akaanza kunenepa basi watu hutokea sana kumsifia kuwa mambo yake yamekuwa mazuri.
Je, unene ni kipimo cha maendeleo yako kimaisha?
Wanabodi,
Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni.
Serikali ya...
wakuu
hakuna kitu kizuri kama tabasamu katika uso wa binadamu
uzi huu ktk coment weka line ambayo mtu akisoma atatabasamu
au aki pick up line akamtumia mtu lazima atabasamu
lugha yoyote
mfano
' hakuna kitu kingine cha gharama ninachokipata buree kama upendo wako, Nahisi umemwambia Mwenyezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.