mtu

  1. Kwa yanayoendelea nimeamini Duniani hakuna mke wa Mtu

    Wakuu hapa Duniani hakuna cha mke wa mtu cha msingi ni kutafuta Pesa tu Anaamka 05:00 Am anaacha kachota ndoo kumi za maji kwa Ajili ya mke wake. Then Anaenda katika harakati za kuuza Vyombo vya kupikia na kurudi 07:00Pm Watoto anawatafutia chakula cha kushiba ila yote haya kashindwa kuyaona...
  2. Ukitaka kumjua mtu mstaharabu mpime katika chakula, hasa hawa wanawake

    Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad Wanawake badilikeni mmezidi ndo maana hampendi wageni tatizo Ni uroho unawasumbua . Maaajabu wanaume Ni mara chache Sana...
  3. Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  4. Haya ndiyo maneno muafaka kwa nyakati hizi-siyokutafuta mtu wa kulaumu

  5. Mh.Samia kopa mabilioni tugawie kila mtu laki tano-tano

    Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali. Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana...
  6. Aoteshwa kwato za Ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Mtu mmoja raia wa zimbabwe, azua taharuki mjini baada ya kuonekana akiwa na kwato za ng'ombe na mkia baada ya kutuhumiwa kutembea na mke wa mtu. Wazee mke wa mtu ni sumu. Katika nchi zenye waganga wakali zimbabwe, Nigeria, Kenya, DRC, so usijaribu. VIDEO
  7. Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used

    Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni. Gesi Godoro Nk aje nipo DSM Temeke
  8. M

    Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  9. K

    Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  10. Mshauri: Msongo wa mawazo husababisha mtu kunenepa

    Mshauri wa Rasilimali watu Mosses Raymond amezungumzia upande wa pili wa msongo wa mawazo kitaalamu kwa kusema huwa inasaidia kuleta mabadiliko katika maisha ya mtu binafsi na inaweza kumfanya anenepa. Mosses amesema wengine wakipata msongo wa mawazo hunenepa na kupata nuru kwa sababu hupenda...
  11. Leo nimemsikia mtu wa ajabu redioni

    Jamaa amefanya mahojiano na Clouds FM, yeye ni Mwenyekiti wa Wanaume wanaopigwa majumbani na wake zao. Amedai wamepata eneo Tarime wanaenda kufungua ofisi ndogo. Ndio maana Panya Road wawili wanaweza kufunga mtaa mzima huko Dar ea Salaam
  12. Kumchukulia mtu visa au pasport

    Habarini ndugu za leo na wakati huu. Naomba kujua kama kuna mtu mwenye experience na visa. MIMI NILI OMBA VISA MNAMO MWEZI WA 4 TATEHE 5 NA JANA NIMEPOKEA UJUMBE WA EMAIL, KUWA NIKA COLLECT MY PASPORT JE NAWEZA KUAGIZA MTU AKANICHUKULIA? MAANA NIPO NJE YA MJI KWA DHARURA KIDOGO. Asanten
  13. Naomba ufafanuzi wa hili la Mtu kuomba Ramani ya nyumba yako

    Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road Zaidi ya mara nne nimeshawatimua watu wanapiga picha nyumba bila ruksa yangu tena hapo ni weekend...
  14. Ushauri: Nembo ya Bibi na Bwana isitumike kwa kila mtu

    Hii nembo haipewi heshima stahiki kila mtu anaitumia anavyotaka naomba serikali itoe tamko kuhusu matumizi, upande wa Bendera turuhusiwe lakini kwa kibali ijulikane inaenda kutumika wapi !!
  15. Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Wanabodi, Jee Kuna Uhusiano Kati ya IQ, Dini ya Mtu na Longevity?. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid yanayo hitaji majibu ya utafiti wa kina. Tanzania tumebahatika kuwa na marais 6. Julius Kambarage Nyerere Ali Hassan Mwinyi Benjamin William...
  16. B

    Kwa Imani yangu naamini kila mwezi kuna mtu kutoka Kundi la waloitwa WASIOJULIKANA anaaga Dunia

    Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine. Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
  17. K

    MJADALA: Kwanini pale alipo mtu mweusi hali ya uchumi huwa ni tete? Nini chanzo cha umasikini?

    Ndugu zangu hili ni suala tunaweza kulipatia ufumbuzi tukilijadili kwa kuangalia hali halisi ya nchi yetu na za Africa kwa ujumla. Juzi Tanzania one alisema sisi bei yetu ni poa sana ukilinganisha na ndugu zetu wamarekani. Sidhani kama alikuwa sahihi na hakupatikana mwandishi wa kumwuliza nini...
  18. Msaada Tafadhari kuna mtu amehack account yangu

    Wakuu Habari za jioni Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7 Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa Ila Leo jioni hii nimepata jumbe kadhaa kutoka Google nitaziupload soon na pia after kupata hizo jumbe siwez tena...
  19. T

    Kuna mtu anawaza eti " Hivi timu Mwendazake wakiungana na Chadema hawa Boyz II Men si sawa na karatasi"

    Nimemwambia ingekuwa Kenya wangefanya hivyo lakini hawa Sukuma Gang washamba sana. Mshamba anamwomba mjanja (Chadema). Hawezi kuugana nae hata siku Moja wacha waisome namba.
  20. Tukichana na keyboard warriors, Watanganyika tuna mtu yupi wa uhakika anaeweza kutupigania tuwe na Tanganyika yetu?

    Niite utakavyo lakini nachokiona kwa mwacho yangu kwa sasa huu muungano gia zimebadilika angani, Alieuanzisha na kuusimamia kwa kiasi kikubwa kashatutoka na kwa sasa gia zimebdailika na kibao kimewageukia Tanganyika, Tanganyika inakamuliwa vibaya mno aisee japo kwa wazanzibari malalamiko yao ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…