Mwili wa mwanamme waokotwa Mto Msimbazi

Papasa

JF-Expert Member
Nov 2, 2018
1,948
4,133
Kuna mzee mmoja alisema haya hayata tokea tena sasa imekuaje tena.

Screenshot_20230322-132538_1.jpg

===

Kwa mujibu wa Maelezo ya Polisi, mwanaume huyo alisombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kutoka upande mmoja wa mto kwenda upande wa pili. Ndugu wa Marehemu wameweza kuutambua mwili huo ambao kwa sasa ulikuwa umeanza kuharibika.
 
Ili tuchangia ni lazima tujue kama kuwepo kwake kwenye mto Msimbazi kama kunatokana na ni ovu!!
 
Msiishie kusema ni mvua mafuriko.

Maana akili ya Mtanzania ni fupiiiiii kama mbilikimo.

Ifanyike Forensic Investigation
 
Na muwe makini mana walisema yupo na anasoma comment ms zetu so kuwe na staha ya maneno.
 
Msiishie kusema ni mvua mafuriko.

Maana akili ya Mtanzania ni fupiiiiii kama mbilikimo.

Ifanyike Forensic Investigation
Kipindi cha awamu iliyopita ulikuwa unapiga kelele juu ya kufanyika uchunguzi ama ulikuwa unakata viuno tu wakati watu walikuwa wakilalalama kila wakati.

Huo mwili kwa vyovyote vile ni matokeo ya mafuriko maana miili ya mauaji ya kupangwa hauwezi kutupwa hapo tulizoea kusikia imekutwa kwenye viroba katika fukwe za bahari.
 
Nia ovu unaipimaje?
Kitaalam.

1. Huyo mtu ni nani?

2. Alikuwa anafanya kazi gani?

3. Ni ME au ni KE?

4. Alikuwa anaishi wapi na alikuwa anaishi na nani?

5. Mara ya mwisho maisha yake yalikuwa yanahusiana na nini na nani pia?

6. Kama alikuwa na simu jee rekodi zake zinaweza kutoa fununu yoyote?

7. Kuna mtu yeyote anayejua mara ya mwisho kabla ya kufariki kwake alionekana wapi?
 
Leo ndio mnapendekeza huo utaratibu kwa sababu mmehamia CCM!
 
Utajua Hujui.
Kipindi cha awamu iliyopita ulikuwa unapiga kelele juu ya kufanyika uchunguzi ama ulikuwa unakata viuno tu wakati watu walikuwa wakilalalama kila wakati.

Huo mwili kwa vyovyote vile ni matokeo ya mafuriko maana miili ya mauaji ya kupangwa hauwezi kutupwa hapo tulizoea kusikia imekutwa kwenye viroba katika fukwe za bahari.
 
Leo ndio mnapendekeza huo utaratibu kwa sababu mmehamia CCM!
Lini utaratibu huu tuliukataa? Umesahau tulivyokuwa tunataka "Scotland Yard" waje kufanya uchunguzi ili ijulikane nani alikuwa anataka kumuua LIssu? Huu utaratibu ndiyo wenye akili hutaka ufanyike!!
 
Uzuri magu ashakufa tuone atasingiziwa nani sasa
Kwani ni mara ya kwanza watu kuokotwa wakiwa wamekufa. Kwani kila mtu aliyeokotwa amekufa enzi za Magufuli ilisemwa kauawa na Magufuli.

Hapa Iringa Eneo la Mtwivila watu kadhaa waliokotwa wamekufa na jina la Magufuli halikutajwa kuhusika na vifo vya hao watu.
 
Kuna mzee mmoja kipindi anarudi chama cha mboga mboga alisema haya hayata tokea tena sasa imekuaje tena.

===

Kwa mujibu wa Maelezo ya Polisi, mwanaume huyo alisombwa na maji wakati akijaribu kuvuka kutoka upande mmoja wa mto kwenda upande wa pili. Ndugu wa Marehemu wameweza kuutambua mwili huo ambao kwa sasa ulikuwa umeanza kuharibika.
Inna lillah wa inna ilaih rajun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom