Watanzania hawana uwezo wa ku-reason na kwa style hii tegemeeni nchi kuongozwa kama Familia ya mtu mmoja

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,949
45,429
Ebu angalieni suala la ajali ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini

Ni aibu kubwa sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga.

Mimi hii Ajali najua kila kitu na mlivyoambiwa Ni vitu viwili tofauti hata havi-relate

Ndiyo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
 
Ebu angalieni swala la Ajari ya Ndege watu wengi mmepewa uongo na mmeamini

Ni Aibu kubwa Sana Taifa kuwa na Idadi ya wajinga .

Mimi hii Ajari najua kila kitu na mlivyoambia Ni vitu viwili tofauti .

Ndo maana Tbc walitumwa na Serikali kumfanyia mahojiano Majaliwa
Wa Tanzania kwa %kubwa hawana critical thinking reasoning na understanding kwa mambo mengi majibu yetu kwa kila jambo ni mepesi sana na watanzania wengi elewa yao iko average regardless kiwango chao cha elimu, uwezo wao wa kuelewa na kureason auendi zaidi ya ushabiki wa yanga na simba period.
 
Watanzania ni pamoja na wewe mkuu, mimi hata sifuatilii hizo issue za ajali na misiba ya haraiki maana inabaki tu kuwa takwimu tena hasa kwa upande wa serikali. Ndio hizo takwimu hujivunia nazo baadae, utasikia “Hapo awali walikuwa wakifa wakina mama wajawazito kadhaa ila sasa idadi imepungua na kuwa hivi…”

Msiba ukufike nyumbani ndio utajua nini naongea, utajiliza weee japokuwa nchi yako inakuwa haijashusha bendera nusu mlingoti kuomboleza na wewe.

Nadhani watanzania wengi ni wale wa ya kaizari muachie kaizari… wakristo safi kwa waislamu safi ya Mungu humuachia Mungu… nchi ina hao watu wengi kila mahali…
 
Back
Top Bottom