mtu

  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua dawa ya kumfanya mtu ajiamini

    Yaani kiujumli hili tatizo la kutojiamini limenianza toka nikiwa mtoto mpaka kufikia sasa japo nahisi limepungua kidogo labda kutokana na kukutana na watu wa tofauti tofauti kila wakati. Kwa mfano kuna kitu nimewahi buni nikapeleka shuleni veta nikaambiwa nikitolee maelezo nilishindwa kabisa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta softwares

    Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
  3. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananitaka

    Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia. Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukristo ni Dini ya AMANI SANA, asikwambie mtu!

    Huu upande una raha sana asikwambie. ukikosea unasamehewa saba mara sabini.. unaingia kanisani Hata mara 1 kwa mwaka and no one cares.. Hakuna kufuatiliana hata ukibadili msimamo wako wa kidini na kwenda kwingine, ukirudi unapokelewa vizuri tu Mkristo kipindi cha mfungo hakuna purukushani za...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Mimi ilikuwa hivi, Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sifa ya wanawake kuwa wepesi kutoa penzi siyo kwa kabila zima bali ni tabia ya mtu binafsi, Tuache kujumuisha tabia hii ionekane ni ya wote

    Huwa nashangaa sana watu wenye akili finyu wana mawazo ya kizamani kwamba mabinti wote wanaotokea makabila yenye asili ya uenyeji kwenye mikoa ya Singida, kondoa na Bukoba kwamba wote wana tabia ya kuwa wepesi sana na kugawa kirahisi. Tabia ya mtu binafsi ni yake haiwezi kufanywa kuwa ya...
  8. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  9. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Bishoo ni mtu wa aina gani?

    Wasalaam, Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo. Utasikia yule kaka bishoo sana, sasa nimekaa hapa natafakari...
  10. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Je, ukifa account yako itaandikwa RIP?

    Usiri wetu unapelekea kimya cha baadhi ya members ambao hatujui waliishia wapi? Walifanya vizuri kwa muda mfano Mpembawise wa kimasihara Swali kwako kunamtu anakujua ukikata moto chap atoe taarifa ili tukutambue kama marehemu tusije mention mtu ambaye hatokuja kuwepo Binafsi sina ila ndio...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana. UPDATE Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika hospitali ya mkoa Dodoma maarufu kama General hospital kumjulia hali naibu waziri wa TAMISEMI (afya) Dk...
  12. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

    Au nasema uongo? Tazama ana umuhimu gani kwako...kama hana faida yoyote kwako....huyo hakufai....unataka mume mwajibikaji kwa familia nae anatimiza ipasavyo ila ana tatizo la kupenda michepuko....usimwache bali mkumbushe kucheza salama....kinyume chake kwa mwanaume umepata mke uliyekuwa unamtaka...
  13. John Sin

    JamiiForums Tanzania Jeshi la mtu mmoja

    Jamani watu wa humu jf naomba kuwaambia kuwa kuna kakikundi cha watu kameamua kunichafua kisa tu nmeweka id fake, nachojiuliza kwan ni lazma au muhimu kias gani kujmaliza hapa jamii forum kujaza full details zangu na tunajua humu ndani wakuda wengi na wazee wa kitengo wengi. SWALI JE KAMA...
  14. Sea Beast

    JamiiForums Tanzania Temporary: ugonjwa umenikaba mtu anikope 10,000 ninunue dawa nitamrudishia

    Habari, wadau leo sipo sawa ninaumwa vibaya alafu Sina pesa kabisa nimejipoza na vipanado nk ila wapi ninahofia zaidi usiku Naomba mtu anikope 10,000 tu niande pharmacy chap nitamrejeshea few days nikipokea vipesa kwenye mishe zangu uhakika, dharula sijajiandaa. NB: Moderator uzi huu utatuta...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Pele aingia katika kamusi kama kitu au mtu asiye mfano kwa ubora wake.

    Neno Pele limeingizwa katika kamusi ya Michaelis ya kireno. Neno hilo limetafsiriwa kama ifuatavyo: "Kitu au mtu ambaye siyo wa kawaida, kitu au mtu ambaye kwa mujibu wa ubora, thamani au ubora wake hawezi kuwa sawa na kitu chochote au mtu yeyote, kama Pele, jina la utani la Edson Arantes do...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kumbe inawezekana mtu akawa kaelimika bila kufaulu mtihani wa darasani kisha utendaji ukaamua kupima kwamba aliefaulu darasani hajaelimika ?

    Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
  17. v0il0r

    JamiiForums Tanzania Mtalaamu au mtu gani unamuhitaji katika kazi au biashara yako?

    Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier , Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
  18. v0il0r

    JamiiForums Tanzania Mtalaam / mtu gani unamuhitaji katika kazi/biashara zako?

    Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier , Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji wakiona mna kubalina mfanye kazi.
  19. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

    Habari zenu wakuu, Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na soko la nguo hapa bongo, Wale mnaonunua online tunaombeni mtupe uzoefu wenu tupate nguo zenye ubora

    Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja. Sasa basi mimi...
Back
Top Bottom