Mtoto wako ni mke na mume wa mtu ajae, mlee vyema kuokoa ndoa yake

Showmax

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
6,594
12,576
Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae.

Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake.

Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu ya mizunguko ya kusaka elimu. Ukifanya hesabu unakuta mzazi ataishi na mtoto kipindi kifupi mtoto anatoka kwa wazazi ana miaka 22 au 25 anaenda kuoa au kuolewa then anakufa akiwa na 70 au 80 so anakuwa kwenye ndoa miaka 50 kuendelea.

Ndoa ni copy na paste jinsi alivyoona wazazi wake wakiishi. Watoto uridhi tabia za wazazi uchukua asili labda tu awe selfmade yaani kuendana na mazingira mapya.

So mzazi unapolea mtoto vibaya wapo wazazi wapumbavu idiriki kusema "Zaa wako mtoto si wangu acha nimf....." Hawa ni wapumbavu, mtoto sio wako wewe umepewa kwa mda tu, thus akifika utu uzima uenda kwenye Jamii. Msipeleke shida kwenye jamii kwa malezi yenu mabovu. Mtoto uformatiwa tabia kuanzia miaka sifuri hadi miaka 13. Tabia zote chafu na njema huiga umri huu ndizo ataishi nazo ukubwani, labda tu awe selfmade.

So mzazi ndie anaejenga au bomoa ndoa ya mwanae kutokana na malezi mabovu au mema aliyomjengea utotoni.

Wazazi jifunzeni elimu ya malezi bora Ili kusiwepo na kizazi cha kina kataa ndoa. Key points ni ukosefu wa malezi bora utotoni pia na ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu saikolojia ya mahusiano na ndoa,pia wengi uficha makucha yao uchumbani uyaachia baada ya kupata cheti cha ndoa,tabia ya mtu haijifichi ukiwa na elimu kuhusu mahusiano.

Taifa ujengwa na familia pasipo familia bora hatuwezi pata viongozi bora. So mzazi tambua mtoto ulienae unalea mke au mme wa mtu huyo. Ni maamuzi yako aje awe single mama au single dady wewe ndie unapanda.

Chochote kile kimpatacho mtu kwenye ndoa yake malezi yamechangia. Pelekeni baraka kwenye familia zingine na sio kupeleka shida, laana, magonjwa, matatizo.

Zipo familia zingine zimevurugika sababu ya kuoa au kuolewa na wenza waliokosa malezi bora utotoni toka kwa wazazi wapumbavu wale wa "Si mtoto wangu zaa wa kwako," hawa ni wauaji ni wa kuchapa fimbo kabisa anaenda pata shida ni muoaji au muolewa sababu ya ukosefu wa adabu aliyofundishwa na wazazi wake.

Ndoa ni nzuri kwa mwenye elimu ya kutosha juu ya uchaguzi na ni jehanamu kwa asiye na elimu ya kutosha. Usiingie na mtu kwenye ndoa pasipo jua aina ya malezi aliyopewa.

Ukimlea mtoto vibaya beba zigo lako na sio unalipeleka kwa wengine. Mzazi kwako mtoto ni mpangaji sio milele, anaondoka ukifika mda atakuwa anakuja tu kuvist. Kama mlivyo anza kuishi wawili kadri uzee ndivyo mtabakia wawili watoto wakienda kwenye miji yao.

So tengeneza usibomoe.
 
Kataa ndoa ni utapeli , ukiona dini inajihusisha na jambo tambua jambo hilo lina kautapeli ndani yake
 
Asante mleta mada. Kiukweli Mungu aturehemu sana wazazi wa kizazi hiki. Jana wakati natoka nyumbani, ile nimefunga mlango nikasikia mtoto nje ya geti anamtukana mwenzake ma***@ wewe. Mpaka watu wakatoka kwenye nyumba zao. Na mtoto huyu ana sifa mbaya ya kutukana hapa mtaani. Sasa nikauliza kwanini asichapwe au kunyooshwa hii tabia. Nikaambiwa huyu mtoto hatakiwi kuguswa. Akiguswa tu, mama yake atakutukana mtaa mzima usikie. Tena anaweza akakuanzishia varangati ukaomba poo. Hivyo watoto wa mtaa huo wanakatazwa kwenda kucheza na huyo mtoto. Na wakionekana nae wanaadhibiwa na wazazi wao. Lakin si kila mara watakuwepo na watoto wao so sometimes anachezaga nao.

Pia nilishaona sehemu moja nilikwenda mwaka jana. Mtoto alimkosea dada mmoja mahali nilipokuwepo. Yule dada akamkemea mwisho akachoka akampa kibao cha paja. Mama wa mtoto alikuwepo, akamtukana na kumpiga yule dada kama hana akili nzuri huku akimwambia zaa wako umpige, kwann umguse mwanangu. Sasa you can imagine hawa ndo wazazi wa sasa. Saiv hakuna cha mtoto wa mwenzangu ni wangu. Maana mzazi hataki mtoto akemewe, aguswe. Ukifanya hivyo, umekaribisha vita. So ili kuwepo amani kila mmoja anawajibika kwa mtoto wake mwenyewe. Though this is very dangerous. Maana lazima mtoto alielelewa vzuri na vibaya watasoma pamoja. Hapo tabia zitainteract tu. Anyways tuendelee kukaa katika nafasi zetu kama wazazi vizuri na kuomba tu kwa Mungu.
 
Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae.

Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake.

Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu ya mizunguko ya kusaka elimu. Ukifanya hesabu unakuta mzazi ataishi na mtoto kipindi kifupi mtoto anatoka kwa wazazi ana miaka 22 au 25 anaenda kuoa au kuolewa then anakufa akiwa na 70 au 80 so anakuwa kwenye ndoa miaka 50 kuendelea.

Ndoa ni copy na paste jinsi alivyoona wazazi wake wakiishi. Watoto uridhi tabia za wazazi uchukua asili labda tu awe selfmade yaani kuendana na mazingira mapya.

So mzazi unapolea mtoto vibaya wapo wazazi wapumbavu idiriki kusema "Zaa wako mtoto si wangu acha nimf....." Hawa ni wapumbavu, mtoto sio wako wewe umepewa kwa mda tu, thus akifika utu uzima uenda kwenye Jamii. Msipeleke shida kwenye jamii kwa malezi yenu mabovu. Mtoto uformatiwa tabia kuanzia miaka sifuri hadi miaka 13. Tabia zote chafu na njema huiga umri huu ndizo ataishi nazo ukubwani, labda tu awe selfmade.

So mzazi ndie anaejenga au bomoa ndoa ya mwanae kutokana na malezi mabovu au mema aliyomjengea utotoni.

Wazazi jifunzeni elimu ya malezi bora Ili kusiwepo na kizazi cha kina kataa ndoa. Key points ni ukosefu wa malezi bora utotoni pia na ukosefu wa elimu ya kutosha kuhusu saikolojia ya mahusiano na ndoa,pia wengi uficha makucha yao uchumbani uyaachia baada ya kupata cheti cha ndoa,tabia ya mtu haijifichi ukiwa na elimu kuhusu mahusiano.

Taifa ujengwa na familia pasipo familia bora hatuwezi pata viongozi bora. So mzazi tambua mtoto ulienae unalea mke au mme wa mtu huyo. Ni maamuzi yako aje awe single mama au single dady wewe ndie unapanda.

Chochote kile kimpatacho mtu kwenye ndoa yake malezi yamechangia. Pelekeni baraka kwenye familia zingine na sio kupeleka shida, laana, magonjwa, matatizo.

Zipo familia zingine zimevurugika sababu ya kuoa au kuolewa na wenza waliokosa malezi bora utotoni toka kwa wazazi wapumbavu wale wa "Si mtoto wangu zaa wa kwako," hawa ni wauaji ni wa kuchapa fimbo kabisa anaenda pata shida ni muoaji au muolewa sababu ya ukosefu wa adabu aliyofundishwa na wazazi wake.

Ndoa ni nzuri kwa mwenye elimu ya kutosha juu ya uchaguzi na ni jehanamu kwa asiye na elimu ya kutosha. Usiingie na mtu kwenye ndoa pasipo jua aina ya malezi aliyopewa.

Ukimlea mtoto vibaya beba zigo lako na sio unalipeleka kwa wengine. Mzazi kwako mtoto ni mpangaji sio milele, anaondoka ukifika mda atakuwa anakuja tu kuvist. Kama mlivyo anza kuishi wawili kadri uzee ndivyo mtabakia wawili watoto wakienda kwenye miji yao.

So tengeneza usibomoe.
Mkuu kama upo karibu na Stationery fanya kuulaminate huu uzi chap kwa haraka kabla haujaliwa na kutu
 
Back
Top Bottom