mtu

  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  2. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Unamkuta mdada kajikoboa, make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake

    Unamkuta mdada kajikoboa ,make up, makucha bandia nywele bandia na Infinix yake ila ananuka kwapa, jasho mpaka unahisi kichefuchefu. Mbaya upande naye kwenye daladala yaani una suffocate hardly,,eti ninyi wa dada mnafeli wapi,wakati deodorant buku 5 tu,spray mpaka za buku 2 zipo,,mnafeli...
  3. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Huwa unamchukuliaje mtu anayekuandikia ujumbe kwa herufi kubwa?

    Suppose someone sends you a lengthy message in capital letters, how will you respond/react to it? Binafsi huwa nachukia sana kuona mtu amenitumia ujumbe kwa herufi kubwa. Yaani hiyo ni sawa sawa na mtu kukusiztizia (stressing) kwamba lazima uusome ujumbe wake na kuutilia maanani. Watu...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  5. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akitoka Kufanya ngono hawezi kusali?

    Wakubwa Habari za muda huu? Kwanini mtu akitoka Kufanya zinaa/ uasherati hawezi kusali muda Mfupi baadaye? Hata akijaribu kusali Ni Kama sauti haitoki au ni Kama vile yupo kwenye vacuum. Mfano mzuri ni waimba kwaya kama wametoka kuzini, wakija kuongoza ibada, kunakuwa na uzito flani usio wa...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  7. Bonge La Afya

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana namna anapata hisia (nyege) ili ashiriki tendo, kuna namna nyingine huwa ni magonjwa ya afya ya akili na hamjui. SOMA

    Leo utayafahamu haya magonjwa ya afya ya akili yanayoitwa Paraphilic disorders. Haya magonjwa pia uhusisha matamanio ya kingono ambapo mtu hupata hisia (nyege) katika hali ambayo sio ya kawaida aidha kwa mawazo, vitu au tabia fulani ambazo zinaweza kumletea madhara au kumuweka katika hatari ya...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya mtu mwenye matatizo ya masikio anaweza kufanya shughuli ipi ikiwa ana mtaji wa fedha ?

    Habari zenu, awali leo niliweka maana >> hii << juu ya ndugu yangu ambae ana chang moto za kusikia. Kwa ufupi ni kwamba alizaliwa fresh ila akapata homa akiwa na miaka 9, alipigwa sindano ya kwinini kwa dozi iliyozidi matokeo yake taratibu akaanza kupoteza usikivu mpaka imekuwa ni tatizo kabisa...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Mradi wa Mabasi ya mwendokasi apewe mtu Binafsi

    Mimi nadhan huu mradi wa magari ya haraka serikali imeshindwa kuufanya uwe msaada wa wanainchi ambao wanatumia usafiri huu Usafiri umekuwa wa kero na shida nyingi Sana hasa kuanzia muda wa Saa nane za mchana mpaka saa mbili usiku Wasafiri wengi wanaachwa wakiwa wapenga folen ndefu Sana na...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanawake Msitupe Jukumu ambalo hata ninyi hamfanyi. Kila mtu ajiridhishe mwenyewe

    Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno. Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma egamia mto lala. Then tuone kama nitafika au sitafika kileleni. Akafanya hivyo nimefika bila shida...
  12. J

    JamiiForums Tanzania WanaSimba wenzangu kuringia sana kiwango cha Jean Baleke, ni kama mtu kuringia gari la mkopo

    Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo Kuringa sana ni kama mtu anateringia gari la mkopo kama vile ni lake Huku tukijisahaulisha ukweli mchungu...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

    Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Haaland. Hapo...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtu mwenye silaha awaua watano kwa risasi benki

    Aliyehusika kuanzisha shambulizi la risasi ni Connor Sturgeon (25) aliyekuwa mfanyakazi wa Benki husika ambaye siku chache zilizopita alijulishwa kuwa atafukuzwa kazi. Mtuhumiwa ambaye naye alifariki kwa kupigwa risasi na Askari, alikuwa akitumia Bunduki aina ya AR-15-style alitumia Instagram...
  15. Faana

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  16. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Kuna vipimo vinavyoweza kubaini Mtu ambaye hawezi kuambukizwa UKIMWI?

    Habari za humu ndani? Kuna mazingira niliyokuwa nayaishi miaka mitano iliyopita hayakuwa mazuri kiufupi nilikuwa nakula matunda kimasihara sana afu bila hata ya kuangalia types za matunda yenyewe(kiufupi watu wenyewe tulikuwa hatuendani kabisa yaani) Sasa bwana kuna kipindi nilijiendekeza...
  17. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu) Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa) White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Miyeyusho: Kwa hii speed ya tigo kuna mtu anaefaidi internet yao?

    Hawa jamaa naona ni zaidi ya miyeyusho, kwa kipindi kirefu hawataki kubadilika. Na hapa ni jioni tu, ukitaka kuijua speed ya kobe subiri ifike saa mbili usiku.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Sura yangu ya Ukauzu isiwatishe Mimi ni Mtu Mpole, Mkarimu na mwenye Huruma sana

    "Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe. Kamanda...
Back
Top Bottom