mtu

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ijenge kaburi "fake" la Hayati Magufuli pale Nyerere Square Dodoma sehemu ya wazi ili kila mtu apate kulitembelea

    Najua familia ya hayati Magufuli haiwezi kukubali baba yao azikwe upya Dodoma, ila serikali inaweza kufanya ujanja huu nawapa. Serikali inaweza kuongea na familia Watanzania wanyonge wanatamani kutembelea kaburi la mtetezi wa wanyonge hivyo wanaomba kuhamisha kaburi lake toka kule Chato mpaka...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya kawaida: Anaethibitika kuua binadamu mwenzake pasinashaka hata yeye hastahili kabisa kuishi (wanini sasa)

    Kuna Sheria na Hekima Hivyo vyote mataifa mengi sana yanavitumia kuongoza jamii! Migororo mingi hutatuliwa kwa sheria na hekima! Bahati mbaya hekima huwa inaangalia zaidi maslahi ya wengi. Mtu anaethibitika kumuua binadam mwenzake kwa makusudi kwa mikono yake mwenyewe hafai kabisa kuishi na...
  3. JamiiForums Tanzania Ulitumia njia gani kuishi kwa mtu bila kukuchoka?

    Ndugu zangu humu hamjambo wote? Humu ndani kuna wakati tunakuwa au tumewahi kuishi kwa watu au ndugu, lakini huwa baada ya kuishi kwa kipindi fulani mkiwa pamoja linakuja suala la kuchokana au kuchokwa. Hii inatokana na wewe kuhitaji msaada wao zaidi hasa wa hifadhi na chakula. Sasa mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

    1. NJOO NA MAHITAJI YAKO MADOGO-DOGO Njoo na mswaki wako, sabuni yako ya kuogea na dawa yako ya meno, taulo na mahitaji yako mengine madogo-madogo. Kuna wageni wanaomba hadi nguo za...... kwa wenyeji ,sio vizuri. 2. USIFUNGUE FRIJI WALA MAKABATI Usifungue friji ya wenyeji au makabati bila...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano Kenya yamekuwa ya amani toka yalipoanza. Hakuna mtu aliyekufa

    Inaonyesha kwamba watu wa Kenya ni watu wa amani. Tuone kesho itakuwa vipi. Sijui Ruto atafan6a Nini kesho. Lakini nimeona video clip,Rais wa Senegal anamfukuza Ruto kwenye mkutano AU. Anamwita Ruto mwizi wa kura.
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi mtu mwenye zaidi ya miaka 35 kuumia kwasababu ya mapenzi?

    Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia? Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Taifa hatupaswi kujutia kumpata mtu aina ya Hayati Magufuli

    Naendelea kuja hapa kivingine Kabla ya kuendelea na declare kwamba Mi ni Mwana CCM nilofanya kazi ngazi zote za chama na kila awamu isipokuwa ya Mwalimu Nyerere, Kila binadamu Ana mapungufu yake na ndo maana Mazuri ya JPM yapo na Mabaya yapo Pia , Niendelee kutumia frusa hii kuwa kumbusha...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo zama za kila mtu abebe msalaba wake, njia ya msalaba

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shida zako zilikuwa za familia, ukoo na jamii nzima. Furaha yako, ilikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Mtoto wako alikuwa wa familia, ukoo na jamii nzima. Maadili yako yalikuwa ya familia, ukoo na jamii nzima. Huko ndiko tulipotoka, tumefika hapa ndiko...
  9. JamiiForums Tanzania Umewahi kumfanyia dharau gani boss au mwajiri wako?

    Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...
  10. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

    Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale. Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu au mtu wa kufanya naye kazi ya ufundi wa magari

    Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Xi Jinping Mtu wa watu, kwa ajili ya watu

    Rais wa China Xi Jinping amepitishwa rasmi kuiongoza nchi hiyo kubwa inayoendelea kwa awamu ya tatu mfululizo. Tangu alipoingia madarakani mwezi Machi mwaka 2013, Xi Jinping amesisitiza mara kwa mara kutanguliza wananchi mbele katika kila eneo. Katika hotuba yake aliyoitoa ijumaa baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea leo Sports Xtra ya Clouds FM, bado kuna mtu anaamini mchezo unaoitwa Mchongo Pesa?

    Karibuni wanajamvi tushee hii stori. ====
  14. JamiiForums Tanzania Tuache lawama za kurogwa: Kama ukoo wenu kuna ugonjwa/ulemavu wa kurithishwa epuka kuzaa na mtu mnaefanana. Ualbino, Uziwi, Kifafa, n.k vinaepukika

    Na uzuri ni kwamba sayansi imekuwa kwa sasa, tunaweza kupima dna kujua kama watoto ni wetu lakini pia tunaweza kupima dna kutambua kama tumebeba genes zenye magonjwa ya kurithi kama vile ualbino, uziwi, ububu, ulemavu wa akili, n.k. Mangonjwa yanayoweza kurithika hutokea pale ambapo watu wawili...
  15. JamiiForums Tanzania Mtu mzima dawa

    Kuna umri ukiishafikia hutakiwi kuongea ovyo umri wa kuanzia miaka 55 na kuendelea unatakiwa usiongee vitu kwa kutafuta sifa kwenye jamii au watu waliokuzunguka jitahidi sana kuchunga kauli zako unazozitoa mwisho wa siku utaonekana ni mzee wa hovyo ni heri kijana wa hovyo kuliko mzee wa hovyo
  16. JamiiForums Tanzania Mtu akiacha pombe ghafla anaweza kufa

    Habari wakuu. Nimekuja tena kuwatisha. Ipo hivi, watu wengi wanafikiri pombe huchochea utendaji wa akili, ukweli ni kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili. kama ilivyo heroin. Ndiyo sababu mtu aliyekunywa pombe hawezi kufikiri wala kutenda mambo sawasawa. Inafanya hivyo kwa kuzuia sehemu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kama iko haki ya mtu kuamua kujitenga na Tanzania na kuundwa nchi ya watu wa Jamhuri ya JPM, Mimi namba moja

    Hili ni kutoka moyoni kabisa! Nchi ya watu wa jamhuri ya JPM, haifumbii macho upandaji wa mazao kiholela na kuishi kwa tozo zisizo na kichwa wala mkia, Haina uhusiano kabisa na rushwa, wazembe kule hawatakiwi, mafisadi hawaweki pua zao kule, kule ni HAPA KAZI TU Na kuishi kwa kumtegemea MUNGU...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu na bosi wake wakibadilishana mawazo...

  19. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa huyu anayedate na mke wa mtu kiasi mpaka anasahau kusaidia familia yake

    Habari wakuu Nina rafiki yangu mmoja sio tu rafiki bali pia amekuwa kama ndugu yangu jamaa anadate na mke wa mtu Tena anakaa nae mtaa mmoja na mine wake ya huyo manzi anamjua, kibaya zaidi ameenda mbali anamgharamia kila kitu na anajua kabisa ni mke wa mtu na hapa anampango wa kumpangishia...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuachana na mtu uliewahi kumpenda? Ilikuwaje?

    Kati ya vitu vigumu ambavyo vimekuwa vinawasumbua vijana wengi sikuhizi ni pale anapokuwa ana mapenzi na mtu ambaye kiukwel yeye anampenda kutokana na mazingira labda waliokutana au vitu walivyofanya pamoja lakni mwenzake anakuwa hampendi kabsa na kuna vitu baaadhi anakuwa anafanya ili tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…