mtu

  1. JamiiForums Tanzania Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

    Hawa jamaa wameshindika. Alafu mtu mwenye akili timamu unasema wanaiba madini Africa. Nani hapa ulimwenguni mwenye uwezo wa kutengeneza hayo madude Mchina, Russia wanatamani lakini wapi. Wanaishia Ku copy na kupaste tu USA ni habari nyingine Tuache utani, jamaa wabunifu sana
  2. JamiiForums Tanzania Mtu mpaka unakuja kuitwa muheshimiwa maghayo au Nyani Ngabu(PhD) unapitia Mengi sana

  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

    -Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua. Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kweli mtu anaamni Marekani hakuna madini? Africa tujitathmini sana

    Jana nilipost ugunduzi wa madini ya RE-E rare earths nchini marekani Jimbo la Wyoming. Kuna baadhi ya watu walibisha kwamba marekani ni waongo. Hawana hayo madini. Nilijiuliza sana uwezo wa Hawa watu wa kufikiri. Ukubwa wa USA🇺🇸 ni karibia 10 million km2 za mraba. Ina maana ukubwa wa USA ni...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hii PA ya leo kuhusu maandamano, hamna mtu ambaye atasema hakusikia

    Baada ya maandamano ya Chadema Dar kushindwa kufana kama ilivyotakiwa, sababu kubwa ilisemwa ni taarifa kushindwa kuwafikia wananchi kwa wakati. Hili tatizo haliwezi kujitokeza tena Mwanza, maana magari yamezunguka Mwanza nzima kutoa taarifa. Kila baada ya saa moja kulikuwa na gari linapita...
  6. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kumfundisha mtoto kuwa, kila mtu ana haki ya kusema ndio au hapana pale mtu akitaka kuvuka mipaka yake binafsi

    Kila mtu ana mipaka yake binafsi yaani kwa kimombo tungeweza sema personal boundaries, ikiwemo watoto. Kuelewa na kuheshimu mipaka hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya watoto. Mipaka inaweza kuwawezesha watoto kujifunza kufanya maamuzi binafsi na sahihi, kujieleza, na kuwasiliana vizuri na...
  7. JamiiForums Tanzania Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

    Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi. Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuokota mali au kitu cha mtu ukamrudishia mwenyewe?

    Habari za muda huu ndugu zanguni. Mwaka fulani mida ya asubuhi wakati nikiwa kwenye harakati za kuusaka ugali nilidondosha pochi yangu. Pochi yangu wakati inadondoka ilikuwa na pesa kiasi kama 90,000/= na vitambulisho na kadi zangu za benki na wakati naangusha nilikuwa naelekea benki ya NBC...
  9. JamiiForums Tanzania Lembeli: Watanzania waache tabia ya kumsifia mtu akishafariki dunia

    Mbunge wa zamani wa Kahama, James Lembeli amewaasa Watanzania kuacha tabia ya kumsifia mtu baada ya kufariki dunia wakati akiwa hai husemwa kwa ubaya. Lembeli amesema tabia hiyo inazidi kuchonganisha Taifa. Akimzungumzia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, amesema kuna kipindi watu...
  10. JamiiForums Tanzania Usijisifu kumfanyia mtu ubaya mbele za watu

    Kama umepanga kulipiza kisasi kwa adui yako basi panga kimya kimya; kisasi hiko usije kuanza kuropoka maneno mabaya mbele za watu. Kuna Matukio mawili nayakumbuka. La kwanza tulikuwa tunakunywa sehemu sasa watu wawili maadui wakaanza kuzinguana mmoja anaanza kumwambia mwenzake nitakuua wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako 2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni 3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
  12. JamiiForums Tanzania CCM class of 2015 (Wagombea Urais) tumepoteza top 3 yote

    Wagombea urais wote wenye nguvu 2015 top 3 wote wameondoka. Haijalishi unatumia vigezo gani lakini top 3 ya wagombea urais CCM 2015 bado itabaki kuwa Lowassa, Magufuli na Membe. Kwa maana hiyo angechaguliwa yoyote kati yao basi hamna ambaye angetoboa miaka 10.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kupendwa au kuchukiwa na watu kunatokana imani za giza au muonekano wa mtu?

    Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili. Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa watu ninaojihisi nachukiwa sana katika maisha yangu, nimekuwa napitia changamoto za...
  15. JamiiForums Tanzania Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
  16. JamiiForums Tanzania Askari watuhumiwa kuteka mtu tangu Oktoba 2023, Polisi hawatoi ushirikiano

    Jeshi la Polisi limetuhumiwa kutotoa ushirikiano kwa watu wanaofikisha malalamiko ya kupotelewa Ndugu zao ambao inadaiwa wametekwa na Askari wa Jeshi hilo.
  17. JamiiForums Tanzania Kuondoa lawama sasa kila mtu abaki na mali zake. Wadada mubaki na mali zenu na wakaka tubaki na mali zetu.

    Kila kukicha kundi moja linalaumu kundi jingine. Eeeehh mara hivi mara vile. Dawa ni kila mmoja abaki na kitu chake anachoona ni cha thamani. Mapenzi zama hizi hayana faida . Mambo ya kugeuzana ATM machine hapana. Ni biashara ya upande mmoja.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa mandate na mtu mmoja kweli au mko standby

    Huwa siamini kama kina dada mna date na mtu mmoja kwa dhati. Huwa naona kama mmejishikiza mda wowote mnabadili gia na kuwa na mtu mwingine
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayesomea Kiswahili UDSM anipe muongozo

    Habari. Natafuta mtu anayesomea Shahada ya Kiswahili UDSM anipe msaada wa uchambuzi wa vitabu fulani vya Kiswahili. Ni Muhimu awe mwanafunzi maana kazi tutaifanyia chuoni. Naomba aniDM.
  20. JamiiForums Tanzania Video: Angalia jinsi panga linavyodunda kwenye mwili wa mtu aliechanjwa madawa ya asili

    Kama ushawahi kusikia mtu amechanjwa madawa yanayozuia silaha kutomdhuru eg. Mapanga, risasi, visu n.k ANGALIA VIDEO HAPA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…