mtu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa. Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nape asema utakuwa mtu wa ajabu sana ukiamini kuwa CCM hutoa takwimu sahihi kwa umma

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameibua mjadala kwenye mtandao wa X baada ya kusema kuwa amefanya kazi makao makuu ya CCM kwa takriban miaka 20, na mtanzania atakayepata takwimu zozote zinazokihusu chama hicho na akazimini atakuwa mtu wa ajabu. “Mpaka report...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chatu mkubwa katika pori jirani na 'Chuo Nyeti' Mbweni Malindi adhibitiwe upesi kabla hajaleta madhara

    Mida yake ya kuvuka barabara hiyo ya lami ni kati ya saa 2 hadi Saa 3 usiku na ni mkubwa sana. Nina uhakika wale wote wanaopita hiyo njia wakiwa ama katika Bajaji au Pikipiki za Bodaboda au DalaDala za Mbweni - Makumbusho au hata gari binafsi ama mmeshawahi kukutana nae au nanyi hivi karibuni...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa mtu yaani cheo uendane na uzalendo kwa TAIFA. Msitutishe na sheria mbovu mlizotunga

    Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata heshima moja mnayostahili. Mnatumia mamlaka vibaya kukandamiza wananchi wanaohoji na kukosoa. Kuhusu...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Akili za mtu na choo anachotumia

    Kama unatumia choo cha kuflash basi... Kama cha shimo Karatasi maji... Mtihani ni pori mfuto Jani😃😃😃
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni dawa mbili tu nimeshuhudia zinamuachisha mtu pombe, moja nikiitekeleza mwenyewe

    1. Kupasuliwa yai - kaka wa rafiki yangu huyu alikuwa ni mlevi kupindukia, kilichofanyika ni siri yangu mimi na rafiki tu, kaka mtu kama kawa alikunywa mpaka hajitambui tena akazima, tulipomuona chap chap rafiki akamvua boxer kaka yake , nilipasua yai nikalikoroga nikaliweka kwenye bomba la...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mdau hapa nauliza:- Kama kigezo ni kujitolea kwanini kuwe na ubaguzi?? Yaani mtu anayejitolea taasisi A, Asiombe kazi taasisi B

    Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi. Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF. So...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anauza laptop ya PackardBell na Dell inspiron N5040 leo kwa pamoja nijulishe, Donge nono litatolewa

    Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna critical files ambazo hazina backup kwingine. Donge nono litatolewa.
  9. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kupima uwezo wa akili ya mtu?

    Habari wakuu Ipi ni njia sahihi ya kutambua akili ya mtu
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtu hujasoma halafu hutaki kulipwa mshahara mdogo na hutaki kujiajiri, unajielewa kweli?

    Kwema Wakuu! Unajua hawa Vijana wa sasa hivi ni kama wamewehuka fulani hivi. Unakuta mtu analalamika Mshahara wake ni mdogo, unajaribu kumsikiliza, unamuuliza unalipwa bei ngani, anakuambia labda laki tatu au laki mbili. Unamuuliza Elimu yako vipi, anakuambia Darasa la Saba au aliachia njiani...
  11. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
  12. C

    JamiiForums Tanzania Aliniacha kwa nyodo na kuniita mbwa eti na mtu wake baada ya siku kadhaa akafariki

    Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa. Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

    Nawasalimu Kwa Jina la JMT. Kama Thread inavyojieleza,Huyu Mhe.Rais Samia Mimi binafsi naona amebeba maono makubwa sana ya Nchi hii, malengo yake ni makubwa,kila nikimtazama natamani Watanzania wote muelewe Dhamira yake ilivyo Kubwa ya maendeleo na kuifanya Tanzania kama Ulaya. Sababu Kubwa...
  14. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Rwanda kujenga kinu cha nyuklia kuzalisha umeme ifikapo mwaka 2026

    Serikali ya Rwanda imetia saini hapo jana makubaliano na shirika kutoka mataifa ya Canada na Ujerumani, ili kuanzisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa tayari kwa majaribio ifikapo mwaka 2026. Ujenzi wa Kinu cha Nyuklia mjini Kurchatov, Urusi:02.11.2022 Mkurugenzi Mtendaji wa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Umewahi jutia kwa kutomsaidia mtu?

    Nawapa salamu wanajukwaa, JF iendelee kuishi milele. Naomba niingie kwenye mada, Je, umewahi kujutia kwa kutokutoa msaada kwa mtu ambaye alikuwa akihuhitaji na ulikuwa na uwezo wa kumsaidia lakini ukamuacha bila ya msaada wowote? Hali hii imenikuta siku ya leo, lakini sitasimulia kisa cha leo...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ajali za Barabarani ziliua wastani Mtu mmoja kila baada ya saa 5 mwaka 2022

    Mtu mmoja alifariki dunia kila baada ya saa tano na dakika 40 mwaka 2022 kutokana na ajali za barabarani, ikilinganishwa na kifo kimoja kila baada ya saa 6 na dakika 24 mwaka mmoja kabla. Takwimu za Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani zilizochapishwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mtu akikupokea kwake, jiongeze hama mapema

    Habari wana-JF, Kama Watanzania na Waafrika tuna tamaduni za kukaribisha sehemu za ugenini hasa mtu mlietoka sehemu moja. Sasa kuna binadamu wengine akikaribishwa hujisahau kama vile kafika jumla Wala haangaiki kutafuta nyumba wala kiwanja. Sio ustaarabu huo!
  19. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Kweli kuna Watanzania wako bize sana na maisha, mtu hajui hata DP World ni nini

    Inafurahisha na kusikitisha pia hebu msikilize huyu jamaa akihojiwa😂😂💔
  20. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
Back
Top Bottom