Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,519
- 4,365
Usimlazimishe mtu akuelewe.
Watu sahihi wataona nia yako bila kulazimika kujieleza mara elfu. Sio kila mtu atatafsiri moyo wako kwa usahihi, na si kila mtu anahitaji kupata maelezo ya kila unachofanya.
Acha matendo yako yazungumze. Linda amani yako, na usipoteze nguvu ukijaribu kujithibitisha kwa mtu ambaye tayari ameamua kutokuelewa.
Wakati mwingine, ukimya ni jibu bora kuliko maelezo marefu.